Mahakama ya kadhi hii hapa!

Mahakama ya kadhi hii hapa!

hawa jamaa wakingangania kitu hata kama hakina faida wanataka tu washinde then basi!!!nchi haina dini wao wanataka kadhi mbaya zaidi watanzania tunaoana tu bila kujali dini na unaweza kuta ukoo mmoja ila dini tofauti sasa wao wanadhani hili litafanikiwa kweli!!nendeni shule acheni ukadhi waachieni wasomali wenye kadhi yao bongo hakuna dini

Wanatafuta ajira mpya mwanangu hilo Dili linasukwa na wajanja vijiweni pia jingine kuwadhulumu kina mama wakipewa talaka anapewa KITHUMUNI achimbe! Hiyo kama itaanza Bakora watazitembeza wenyewe sijui qadi awe nani kati ya kadiani shia suni....hapo tena FFU ijiandae so nyingine yaja!
 
Wapendwa wa Jukwaa hili, naomba niende zaidi ya kile kilichoelezwa kwenye mtiririko huu wa michango kwa leo. Going beyond borders, kama wanavyosema CNN. Ila mimi kwanza natangaza maslahi yangu kwenye suala hili, ili kuepuka unafiki ambao wengi wetu huonesha humu. Mimi ni Mzanzibari na ni Muislam. Nachangia suala ambalo linanihusu na halinuhusu pia. Linanihusu kwa kuwa wanaoongelewa hapa ni Waislam wenzangu walio upande wa pili wa Jamhuri ya Muungano. Halinihusu kwa kuwa kwetu Zanzibar tayari tunayo Mahakama ya Kadhi na tunakusudia pia kwenda mbele kwa kujiunga na Jumuiya ya OIC, baada ya kurekebisha mawili matatu, ambayo huko nyuma yalituzuia tusijiunge.

Tuangaliane machoni kisha tuambizane ukweli, kwamba kinachotuhangaisha wengi wetu ni udini na hali ya kutokukubali kwamba tuna udini. Hali hii, kwenye saikolojia huitwa 'perplexive complexity'. Inapochanganywa na ile 'superiority complex' ambayo wengi wetu tumejengwa kujiaminisha kwamba Waislam Tanganyika ni raia wa daraja la tatu kwenda chini, unakuwa ugonjwa kamili - absolute abnomality.

Mahakama ya Kadhi imekuzwa na kufanywa liwe jambo kubwa sana, na hoja yoyote inayoletwa kuitetea hukandamizwa kwa kuuhusisha Uislam na westoxicated definitions za ugaidi, mujahidina, na mengine mengi, ambayo hayaelezi chochote zaidi ya Islamophobia, ugonjwa mwengine wa kisaikolojia. Ukweli hasa hauelezwi kwamba huko kwenye Mahakama za Kadhi, kama hapa petu Zanzibar, sheria zinazotambuliwa kuhukumu mambo ya kiraia na kihalifu ni zile za serikali.

Baya zaidi ya yote ni mjadala unapopotoshwa na kuja suala la nani atalipia mahakama hiyo, husemi kwamba hakuna mahakama nyengine ambazo haziwahusu raia wote lakini zinaendeshwa na kulipiwa na serikali hiyo hiyo. Husemi kwamba hakuna miradi mengine mingi ya taasisi za kidini ambazo zinaendeshwa na mfuko wa serikali hiyo hiyo inayolipiwa kodi na raia wote.

Ni woga tu, wapendwa. Woga wa kwamba jamii ya Kiislam Tanganyika imetengwa kando ya mfumo wa utawala na uendeshaji kwa miaka nenda miaka rudi na sasa jamii hii imeanza kujitambua na kujiimarisha kama jamii yenye taasisi zake, ndio unaowafanya wenye imani tafauti ya kidini waone kwamba sasa kuna kundi linakuja kuchukua nafasi yao.

Si kweli kwamba unaowangoza hapa ni uzalendo wa nchi na khofu kwamba ikiwa Waislam wataanzisha mahakama ya kuhukumu mambo yao, Tanganyika itakuwa Jamhuri ya Kiislam kama ya Iran. Munajuwa kwamba hilo haliwezekani na wala halipo kwenye makusudio, ila munajenga picha ya makusudi ili mutimize muradi wenu, kama ambavyo huko nyuma, kwa kutumia njia, mbinu na mikakati tafauti, mulifanikiwa kuwasukuma kando Waislam kwa visingizio vingi, kikiwemo hiki munachokitumia sasa cha kwamba hawana elimu, hawakusoma, hawajui kuongoza.

Kwangu, tafauti ni ya fursa ya kiuchumi na maslahi ya kuutawala mfumo zaidi kuliko lilivyo la kidini.

Nawasilisha
 
Mkuu nikuulize swali dogo tu, unapo kubali kuwa ndoa yako ni ya kikristo... Kisha kukatokea tatizo kwenye ndoa yako... Ukaona kuwa wewe kama wewe labda huta faidika na hukumu ile, je unaweza kukataa na kusema kuwa wewe si mkristo tena!?

Jaribu kuelewa kile nilicho ainisha hapo juu, suhala la kuwepo kwa mahakama ya kadhi si kila Muislam anaelewa, ilo kwanza ufahamu, pili hiyo mahakama itakuwa inashughulika na mambo ya ustawi wa tu wa jamii ya Kiislam na ni pale tu wewe utakapo kubaliana na hizo sheria...

Mahakama hii inatarajiwa kushughurikia mambo haya kwa uchache:

1. Ndoa na Talaka
2. Matunzo ya watoto
3. Mirathi
4. Kuitanguliza ndoa
5. Ugawaji wa mali za marehemu

Sasa ikitokea kuwa uridhiki (na si wote wenye kuridhika) basi utakata rufaa kwenda mahakama itakayo hainishwa ambayo itakuwa juu ya mahakama ya Kadhi. Mimi sioni tatizo hapo.
wewe ni muislam au kafiir
Kweli umepigwa muhuri huoni wala husikii Mpaka huoni Huoni ni KUFURU kumuomba asiye amini(rerkali) mahakama ya qadi wakati unafahamu fika rejea yetu ni furqan el karim na hadith ima kigezo chema Mtume Muhammad SAW Wapi tumeagizwa tumuombe Kaafir atupe utaratibu wa ibada na faida ipatikanayo na mauzo ya nguruwe ukahaba ufisadi alipwe mshahara qadi naomba jibu mpingaji mbaya wee!
 
Nikisoma maelezo yako hapo juu, yanaonyesha wazi kabisa kuwa wewe si katika Waislam, ila unataka kuonekana kuwa ni Muislam...! Kitu kilicho nionyesha kuwa wewe si Muislam ni jinsi ulivyo kurupuka kujibu kile ambacho wala ukijui...! Soma tena nilicho andika kisha kitafakari.
 
Tehe Tehe Tehe, ndugu yetu myhem inaonekana umesahau ule msemo wa wahenga wetu "UKIKUBALI KUOLEWA UKUBALI KULALA BILA NGUO" hivyo ukikubali Mahakama ya Kadhi usijekataa OIC.
Hata hivyo kama nakumbuka kulikuwa na tamko la Maaskofu kwamba mahakama ya Kadhi ikiruhusiwa basi wajiandae kutakuwa na mahakama ya Wakristo . HAPO JE?
 
Wapendwa wa Jukwaa hili, naomba niende zaidi ya kile kilichoelezwa kwenye mtiririko huu wa michango kwa leo. Going beyond borders, kama wanavyosema CNN. Ila mimi kwanza natangaza maslahi yangu kwenye suala hili, ili kuepuka unafiki ambao wengi wetu huonesha humu. Mimi ni Mzanzibari na ni Muislam. Nachangia suala ambalo linanihusu na halinuhusu pia. Linanihusu kwa kuwa wanaoongelewa hapa ni Waislam wenzangu walio upande wa pili wa Jamhuri ya Muungano. Halinihusu kwa kuwa kwetu Zanzibar tayari tunayo Mahakama ya Kadhi na tunakusudia pia kwenda mbele kwa kujiunga na Jumuiya ya OIC, baada ya kurekebisha mawili matatu, ambayo huko nyuma yalituzuia tusijiunge.

Tuangaliane machoni kisha tuambizane ukweli, kwamba kinachotuhangaisha wengi wetu ni udini na hali ya kutokukubali kwamba tuna udini. Hali hii, kwenye saikolojia huitwa 'perplexive complexity'. Inapochanganywa na ile 'superiority complex' ambayo wengi wetu tumejengwa kujiaminisha kwamba Waislam Tanganyika ni raia wa daraja la tatu kwenda chini, unakuwa ugonjwa kamili - absolute abnomality.

Mahakama ya Kadhi imekuzwa na kufanywa liwe jambo kubwa sana, na hoja yoyote inayoletwa kuitetea hukandamizwa kwa kuuhusisha Uislam na westoxicated definitions za ugaidi, mujahidina, na mengine mengi, ambayo hayaelezi chochote zaidi ya Islamophobia, ugonjwa mwengine wa kisaikolojia. Ukweli hasa hauelezwi kwamba huko kwenye Mahakama za Kadhi, kama hapa petu Zanzibar, sheria zinazotambuliwa kuhukumu mambo ya kiraia na kihalifu ni zile za serikali.

Baya zaidi ya yote ni mjadala unapopotoshwa na kuja suala la nani atalipia mahakama hiyo, husemi kwamba hakuna mahakama nyengine ambazo haziwahusu raia wote lakini zinaendeshwa na kulipiwa na serikali hiyo hiyo. Husemi kwamba hakuna miradi mengine mingi ya taasisi za kidini ambazo zinaendeshwa na mfuko wa serikali hiyo hiyo inayolipiwa kodi na raia wote.

Ni woga tu, wapendwa. Woga wa kwamba jamii ya Kiislam Tanganyika imetengwa kando ya mfumo wa utawala na uendeshaji kwa miaka nenda miaka rudi na sasa jamii hii imeanza kujitambua na kujiimarisha kama jamii yenye taasisi zake, ndio unaowafanya wenye imani tafauti ya kidini waone kwamba sasa kuna kundi linakuja kuchukua nafasi yao.

Si kweli kwamba unaowangoza hapa ni uzalendo wa nchi na khofu kwamba ikiwa Waislam wataanzisha mahakama ya kuhukumu mambo yao, Tanganyika itakuwa Jamhuri ya Kiislam kama ya Iran. Munajuwa kwamba hilo haliwezekani na wala halipo kwenye makusudio, ila munajenga picha ya makusudi ili mutimize muradi wenu, kama ambavyo huko nyuma, kwa kutumia njia, mbinu na mikakati tafauti, mulifanikiwa kuwasukuma kando Waislam kwa visingizio vingi, kikiwemo hiki munachokitumia sasa cha kwamba hawana elimu, hawakusoma, hawajui kuongoza.

Kwangu, tafauti ni ya fursa ya kiuchumi na maslahi ya kuutawala mfumo zaidi kuliko lilivyo la kidini.

Nawasilisha

Hakuna mtanganyika anaye kataa waislamu wawe na mahakama ya qadi hapa hoja waislamu muianzishe na muigharamie serkali haikuanzisha uislamu wala kutoa misaada ya kuchonga misalaba na kwenda hija maca au roma si vipaumbele vyetu kama zenj ni vipaumbele vyenu ni kuwalipa mishahara maqadi na maaskofu its up to you mbona hamjiamini hasa viongozi wa kiislam kinacho takiwa waelimisheni waislam faida ya mahakama ya qadi wakisha elewa umuhimuhimu anzisheni muone kama kuna muislamu ataenda kwa mjumbe wa nyumba kumi umebaki mnajitambua huko ndio kujitambua MBAAZI UKIKOSA MAUA HUSINGIZIA JUA Ima ada ya mja hunena MUUNGWANA NI VITENDO INSHAALAH.
 
Nilicho kiona mimi wewe huoni tatizo nami nimekuonyesha tatizo lilipo Sijakurupuka kama usemavyo: Nilicho tarajia toka kwako ukanushe kwamba, Mtume Mohammad si kigezo chema na furgan na hadith si rejea ya waislamu bali rejea yao ni serkali isiyo amini umebaki wewe sio mwislamu haijalish naomba ukufuru habari ndio hiyo!
 
Mahakama ya kadhi haihusiani na wasiokuwa Waislam, na hata waislam wenyewe watahukumiwa na Mahakam hiyo pale tu watakapokubaliana. Mahakama ya Kadhi itahusika tu na masuala ya Ndoa na Mirathi, kuhusu kukatwa mikono, kuwa na gereza la Kiislam au Polisi hayo mambo hayapo na ni Propaganda tu kwa wale wanaotaka kupotosha watu. Naomba tusiwe mafundi wa kuelezea kitu ambacho hatuna uelewa nacho kwani tunaweza kupotosha watu juu ya uhalisia wa jambo lenyewe.

Samahani naomba unisaidie. Mie si mjuvyi sana wa haya masuala. Hizo ndoa zina matatizo makubwa kiasi gani hadi zitengenezewe mahakama? Unataka kusema jamii hiyo haina muafaka wa kawaida juu ya mali na mirathi hadi zifike mahakama special? Kwa uzoefu ulio nao vyombo vilivyopo vya kidini ambavyo tunaona vinafungisha ndoa na kufundisha maadili ya dini hiyo, havina uwezo wa kusimamia timbwili timbwiili za ndoa hizo na mirathi zinapotokea? Tatizo ni kwamba hawana uweledi wa kutosha kukabili hizo zali ama waumini hawana adabu ya kuheshimu vyombo hivyo? Kama ndivyo hivyo, kwa nini dini isianzishe kama inavyoanzisha idara zingine za kiimani katika dini na badala yake Serikali inalazimishwa kuanzisha? What is the agenda behind? Na kama issue ni taaluma, hiyomahakama kama alivyotangazwa kwamba itaanza kazi mwakani, mnategemea ku import wataalamu kutoka nje? Kwa gharama ya nani? Na kama wataalamu wa hizo sheria wako hapa bongo kwa n ini sasa wanashindwa kuzitumia hadi kuwe na mahakama maalumu iliyoanzishwa na Serikali?

Ninaomba tujadili bila jazba hapa. Nikikosea mnisahihishe. Ninachokifahamu mimi, watz wamepewa autonomy ya kumaliza migogoro kwa njia yoyote ambayo wahusika wataipenda. Wameruhusiwa kutumia njia za kimila, kidini ama mahakama za kiserikali. Nilichotegemea ni kwamba kama kuna kabila ama dini itaona inahitaji kuwa na kitengo maalumu cha kumaliza migogoro kati ya wadau wake, inaruhusiwa kuanzisha kwa utaratibu maalumu bila kulazimisha serikali kuwaanzishia. Inakuwaje hii mahakama ya kiislamu ina lazimisha mkono wa serikali? Hakuna unique features ambazo kwa kawaida hazikubaliki kwa hiyari hivyo inatafutwa support ya serikali? Kama issue ni fedha, kwa nini wasianzishe mchango maalumu kama wanavyofany a katika ujenzi wa misikiti wakapata fedha za kufanyia hiyo mahakama?

Tumeshuhudia sheria nyingi zikiboreshwa ama kuanzishwa. Kama utekelezaji wa sheria hizo unahitaji mkono wa serikali, kwa nini wasipeleke mapendekezo ya sheria mpya ama kuboresha pale wanapoona pana upungufu ili ziwekwe kwenye sheria za Nchi badala ya kung'ang'aniza serikali ianzishe mahakama maalumu ya kutenganisha ndoa na kusuluhisha mirathi kwa watu wa dini fulani ambayo inaoneakena huwa hawana miafaka kwa njia za kawaida? Na kama ni kwa waislamu tu, itakuwaje pale ambapo mgogoro utazuka katika familia yenye imani mchanganyiko? Ama itakuwa ni lazima ukiwa na mke/mme baba, mjomba, mtoto ama shangazi muislamu, akataka mambo yafanywe kwa mahakama ya kadhi
basi wengine katika familia hiyo hawana tena utashi wa kusuluhisha kwa njia wanazozitaka? Itakuweje pale muislamu atakapopeleka shauri lake hapo kwa kadhi katika mazingira ya kuhitilafiana na mtu asiyemuislamu na aka hukumiwa kwa sheria ya kadhi na hapo hapo yeye haitaki? Vipi kwa waislamu hasa wanawake ambao hawatataka kuhukumiwa kwa kadhi na badala yake wakataka sheria za mila ama za serikali zitumike?

Tafadhali naomba anayeelewa anipe majibu ya maswali yangu bila kuwa na jazba ili niweze kutoa mchango wangu katika hili.
 
Nikisoma maelezo yako hapo juu, yanaonyesha wazi kabisa kuwa wewe si katika Waislam, ila unataka kuonekana kuwa ni Muislam...! Kitu kilicho nionyesha kuwa wewe si Muislam ni jinsi ulivyo kurupuka kujibu kile ambacho wala ukijui...! Soma tena nilicho andika kisha kitafakari.

Sijakurupuka ulisema mchakato wa uanzishwaji wa mahakama ya qadi hauna tatizo Nimekuonyesha dhahiri tatizo lilipo Labda nimekosea sasa wewe WAfahamishe umati wa Muhammad SAW kwamba rejea yetu si furqan el karim hadithi Ima Mtume Mohammad SAW si kigezo chema kwa wauminii Bali rejea ya waumini ni serkali ambayo imekiri dhahiri haiamini (makafir) umebaki wewe sio mwisjam sasa wewe uliye mwislam kama una ujasiri kuliko ibilisi KUFURU leo hii Habari ndio hiyo!
 
Tehe Tehe Tehe, ndugu yetu myhem inaonekana umesahau ule msemo wa wahenga wetu "UKIKUBALI KUOLEWA UKUBALI KULALA BILA NGUO" hivyo ukikubali Mahakama ya Kadhi usijekataa OIC.
Hata hivyo kama nakumbuka kulikuwa na tamko la Maaskofu kwamba mahakama ya Kadhi ikiruhusiwa basi wajiandae kutakuwa na mahakama ya Wakristo . HAPO JE?

Sisi tunatamani iwepi hiyo mahaka ya wakristo na pindi ikiombwa tutaipigia debe kwa nguvu zote ianzishwe haraka iwezekanavyo, kwani tuna uhakika kuwa Ukristo hauna sheria zake za mirathi, ndoa, talaka.

Nakuhakikishia ikianza tu, mimi ntakuwa mwandishi wa habari za mahakamani kuleta vioja vinavyotokea huko. Maana ikija kesi ya mwanamke kurithi sijui, mahakama ya kikristo itaamuwa vipi?
 
Kama hii mahaka ya kadhi itaanzishwa kwa kodi za wananchi, yaani pamoja na za wakristu, hapo serikali moja kwa moja itakua na wajibu wa kusimamia utendaji wa hii mahakama. Yes, maana source ya fund ni za serikali. Kwa maana nyingine hata wakristu watakua na haki ya kuhoji utendaji wa hizi mahakama maana fedha zao zitakua zinatumika kuendesha hizi mahakama.

Bahati mbaya sana, akitokea raisi ambae atakua hapendi haya mambo ya kadhi anaweza akazitumia hizi hizi mahakama za kadhi ambazo watendaji wake wanalipwa na serikali kuwakata mikono, pua na kuwapiga mawe viherehere wote wanaojifanya wa siasa kali za kiislamu. Hapo ndipo matumizi mapya ya kadhi yatakapogundulika na wale waliokua wanashadadia sana uanzishwaji wa hii mahakama wanaweza kuanza kuzipinga.

Maoni yangu, mahakama ya kadhi na ianzishwe kwenye zile serikali za kiislamu tuu ... la sivyo mahakama hiyohiyo inaweza kuwatokea puani hao waislamu wanaoshabikia hizi mahakama bila ya kujua madhara yake!

Nawasilisha wakuu.
 
unakubali mahakama ya kadhi unakataa OIC sikuelewi mkuu kama nakubali basi kila kitu kifanyike! hata OIC sioni tatizo kabisa!

mambo yapo shaghala bhaghala sijui tutaishia wapi
 
Nilicho kiona mimi wewe huoni tatizo nami nimekuonyesha tatizo lilipo Sijakurupuka kama usemavyo: Nilicho tarajia toka kwako ukanushe kwamba, Mtume Mohammad si kigezo chema na furgan na hadith si rejea ya waislamu bali rejea yao ni serkali isiyo amini umebaki wewe sio mwislamu haijalish naomba ukufuru habari ndio hiyo!
Ndio maana nikakwambia kuwa wewe si Muislam, hata jinsi unavyo andika unaonekana wazi kuwa ni mgala, ninacho kiandika kiko nje ya upeo wako.
 
Sijakurupuka ulisema mchakato wa uanzishwaji wa mahakama ya qadi hauna tatizo Nimekuonyesha dhahiri tatizo lilipo Labda nimekosea sasa wewe WAfahamishe umati wa Muhammad SAW kwamba rejea yetu si furqan el karim hadithi Ima Mtume Mohammad SAW si kigezo chema kwa wauminii Bali rejea ya waumini ni serkali ambayo imekiri dhahiri haiamini (makafir) umebaki wewe sio mwisjam sasa wewe uliye mwislam kama una ujasiri kuliko ibilisi KUFURU leo hii Habari ndio hiyo!
Ungekuwa umesoma tangia mwanzo wa mjadala huu, usingekuja na hao maswali yako yasio na kichwa wala miguu...! Soma kwanza mjadala ulipo anzia na si kukurupuka.

Kwani ukisema kweli kuwa wewe ni mgala, huta eleweka mpaka ujivalishe gwanda si lako!?
 
Katika Uislam, "SHARIA" zimegawanyika katika sehemu kadhaa
1. Sheria za UHALIFU (Criminology, Adultery, Murder na vinavyofanana na hivyo) hapa ndio kuna kupigwa mawe!

Napendekeza mngeanza na hiyo ya kwanza, ama?
 
Buchu, mambo mangapi ya kidini yanafanyika kwa gharama za serikali, Unajua chochote kuhusu MoU kati ya serikali na wakristo?, inamaana kwa serikali kufinance projects za makanisa wamekuwa na upungufu wa akili?, it seems you didint think properly

Taja japo moja ya projects za kikristu zinazofadhiliwa na serikali na kisha hizo project zikatoa huduma kwa wakristu pekee. We vipi mkuu? Infact miradi nyingi sana za kikristu zimetaifishwa na serikali ... shule kibao, mahospitali nk ...
 
Halafu iletwe na Tanzania Islamic Revenue Authority(TIRA) kwa ajili ya waisalmu tu...ilikodi zio ziendeshe hiyo mahakhma
 
Back
Top Bottom