Umeulizwa!? kweli wewe kiherehere!
Jina lake nadhani linaendana na maneno yake kiherehere kinamsumbua
Umeulizwa!? kweli wewe kiherehere!
Nyie walalmishi sana! Hivi mnafikiri imani nyingine hawana utaratibu? Kwa taarifa yako wakristo hawatakiwi kupeleka kesi zao kwa asiye mkristo na wanalifanya hilo kwa hiari kupitia wachungaji/mapadre etc. Sasa na ninyi si mfanye kivyenu? Au mnahofia kuna mambo yatagongana na katiba ndio maana mnalazimisha takeover? Kama ni hivyo si muwe wazi?Kwani Watanzania wengine sio waislamu? Wewe vp mbona unazungumza pumba. Tutaianzishaje nje ya mfumo wa mahakama si tatizo lilipo sasa hivi au mnafurahia kuona waislamu wakihangaika na chuki zenu mbaya.
Ukiona serikali inashirikishwa jua moja kwa moja bajeti inatoka serikalini!ITAENDESHWA KWA GHARAMA ZA NANI ? KAMA NI KWA GHARAMA ZA SERIKALI WATAKUWA NA UPUNGUFU WA AKILI KICHWANI. :mod:
what will happen if kila kabila litataka liwe na mahakama za jadi?
hawa jamaa wakingangania kitu hata kama hakina faida wanataka tu washinde then basi!!!nchi haina dini wao wanataka kadhi mbaya zaidi watanzania tunaoana tu bila kujali dini na unaweza kuta ukoo mmoja ila dini tofauti sasa wao wanadhani hili litafanikiwa kweli!!nendeni shule acheni ukadhi waachieni wasomali wenye kadhi yao bongo hakuna diniQadi (also known as Qaadi, Qaadee, Qazi, Kazi or Kadi) (Arabic: قاضي qāḍī‎😉 is a judge ruling in accordance with the sharia, Islamic religious law appointed by the ruler of a Muslim Country. Because Islam makes no distinction between religious and secular domains, qadis' traditionally have jurisdiction over all legal matters involving Muslims. The judgment of a qadi must be based on ijmah, the prevailing consensus of the ulema, Islamic scholars.
A qadi must be an adult and free man(not a slave or having been one), a Muslim, sane, unconvicted of slander, educated in Islamic science, and his performance must be totally congruent with Sharia without using his own interpretation. In a trial in front of a qadi, it is the plaintiff who is responsible to bring evidence against the defendant in order to have him or her convicted. There are no appeals to the judgements of a qadi.The Qadi must exercise his office in a public place, the chief masjid is recommended, or, in his own house, where public should have free access. A qadi must not receive gifts from participants in a trial and he must be careful in engaging himself in trade. Despite the rules for the office, Muslim history is full of complaints about qadis. Often it has been a problem, that qadis have been managers of waqfs, religious endowments. The origin of the institution of qadi, is the old Arab arbitrator, the hakam, but qualities from officials in areas conquered by Arabs have been added to the structure.
Tunahitaji POLISI na MAGEREZA na ndio sababu kuu ya kutaka iwe kwenye katiba, hukumu hukaziwa na amri za Dola na polisi na Magereza ndio dola yenyewe.Halafu si watataka POLISI na MAGEREZA ya kiislamu vinginevyo hizo mahakama za kiislamu zitafanyaje kazi bila POLISI na MAGEREZA? watuhumiwa watakamatwa vipi? watafungwa wapi? ikiwa mtuhumiwa siyo muislamu inakuwaje?....mimi sielewi hii kitu umuhimu wake
Utakwenda kuswali kwenye msikiti wa Waislam hali yakuwa we si Muislam? haiwezekani! Mahakama hii ni kwa watu Wanaoamini tu, na ni IBADA kwao kuhakikisha ipo na inafanya kazi! ilikuwapo wakati wa mkoloni(ndio maana maeneo ya pwani kulikua hakuna kesi za kuuwana wala kunyang'anyana mashamba)na ilifanya kazi,kwataarifa yako, ipo katika KATIBA ya sasa ya KENYA.ikiwa mtuhumiwa siyo muislamu inakuwaje?
Katika Uislam, "SHARIA" zimegawanyika katika sehemu kadhaaMahakama hiyo ikija isiache kutoa hukumu za haki kama kuwakata pua wasichana wanaokataa waume zao. Ggonga hapa kwa ushahidi http://http://news.yahoo.com/s/ap/20101208/ap_on_re_as/as_afghan_woman_disfigured kuwapiga mawe wazinzi na kuwachapa viboko washerati. Mahakama ihakikishe inaajiri wanazuoni waliofuzu na ikiwa hapa nchini hawapo iende ikachukue Somalia wapo wengi sana kule natumaini hapa watawalipa vizuri hivyo watakuja tu.
Unapo ulizwa unatakiwa kutoa majibu aidha unaweza kujuwa jibu la swali au kutojuwa jibu la swali... na kutojuwa jibu la swali si ujinga, bali ni moja ya njia moja wapo ya kuelekea kujuwa jibu la swali.
Hatushindani mkuu.
Jitahidini na Jihad yenu ila tu muwe wazi! Msitafunetafune maneno, hakuna mtoto mdogo hapa!
Mahakama ya kadhi haitahitaji polisi wala magereza, kwa sababu itashughulika na mirathi na mambo ya ndoa tu, na haitamlazimisha kila muislam aende akatafute haki yake huko, ni kwa wale tu watakao kuwa tayari kurithia maamuzi ya mahakama hiyo. So kama wewe ni muislam na una imani na mahakama za kawaida you proceed na kufungua malalamiko yako huko, na kama una imani na mahakama ya kadhi waenda huko, so hakuna kulazimishana!
Acha ujinga huo wewe nani kakuambia waislamu wanataka fedha za makafiri na wakristo? Ila tatizo ni kwamba mmeweka katika vichwa venu wakristo pekee ndio walipa kodi endelee kuota tu. Tanzania walipa kodi ni waislamu na wakristo na kama kutahitajika pesa ya kuiendesha itatokea katika fungu la kodi za waislamu. Wewe na kodizako za nguruwe endeleeni na ujinga wenu. Kujitegemee hakumaanishi nguvu ya kisheria sisi tunataka mahakama ya kadhi iwe na nguvu ya kisheria basi. Kuhusu kuendeshwa itaendeshwa tu but msifikiri hii serikali ni ya wakristo peke yenu tuondolee ujinga wako hapa!!
MZALENDO MKUU,
Mkuu unapoongea weka na mifano kidogo au ukubali kuwa hujapata habari za kutosha kuhusu mahakama ya Kadhi. Mimi nimelifuatilia kidogo hili la mahakama ya kadhi kwa nia ya kutaka kujuwa mahakama ya kadhi ni nini, kazi zake na kwa nini ni muhimu kwa waislamu.
Katika tafuta tafuta hizo habari, Nimejuwa kuwa kwanza hii mahakama ipo Zanzibar, ipo Kenya pia. Huko Kenya baada ya katiba mpya kulikuwa na tofauti ya mawazo kuwa jee ibaki kuendelea kuwepo au la. Lakini tokea Kenya kupata uhuru imekuwepo.
Kazi kubwa za mahakama hii ni kushughulikia migogoro ya ndoa za kiislamu na urithi kwa utaratibu wa dini ya kiislamu na siyo kuendesha kesi za madai na makosa ya jinai kama ambavyo mahakama za kiserikali zinafanya. kwa hiyo hilo la kukatwa mikono au miguu halipo, ni hofu tu uliyojijengea, pengine kwa kutokujuwa nini mahakama ya kadhi na kazi zake, au kwa sababu nyengine unazozijuwa wewe.
kwa kifupi, mahakama ya kadhi itakuwa inatoa usuluhishi katika mambo ya ndoa na talaka za kiislamu, na kuelekeza mgao wa urithi kwa waislamu watakaotaka kufuata viwango vilivyoekwa katika uislamu. Walio na matatizo kama wote ni waislamu wanakuwa wana-option ya kuitumia hii mahakama ya kadhi, ila hawalazimiki kufanya hivyo, wanaweza kutumia mahakama za kawaida wakiamua hivyo.
Ama kama ni lazima, serikali iridhie na iruhusu hii mahakama iwepo au wenyewe tu waislamu waianzishe, hapo nafikiri ndio penye mjadala.
Pengine ni vizuri kutofautisha mahakama za kiislamu kwa maana ya mahakama katika nchi za kiislamu kama Saudi Arabia, Iran, na mahakama ya kadhi katika nchi ambayo misingi yake ya sheria si Islamic laws (sharia).
Mahakama ya kadhi katika Tanzania Bara(Tanganyika) haitakuwa na uweza wa kutoa hukumu ya kukatwa mtu mkono, kunyongwa au kufungwa jela. Nimetumia , Tanzania bara ili kutofautisha na Zanzibar kwani Zanzibar ambayo ni m-bia katika Tanzania wanayo mahakama ya kadhi na wala hakuna aliyekatwa mkono kupitia mahakama hii,wala kupelekwa jela kupitia hukumu ya mahakama hii. Ni vivyo hivyo huko Kenya, vilema hawajaongezeka kutokana na kuwepo kwa mahakama ya kadhi.
Wala si katika kazi zake mahakama ya kadhi kusilimisha mtu au nchi.
Tujielimishe kwanza kabla ya kukurupuka kufanya ubishani na malumbano ambayo hayazingatii facts.
Mbona kodi za waTanzania kwa miaka mingi tu zimeendesha mashule ya kikatoliki?
kwa mara ya kwanza mchungaji umepotoka.
hawa jamaa huwa wanamsururu wa ajenda katika harakati zao za kutaka kuitawala dunia.
hiyo ishu ya kadhi na takataka zake ni moja tu katika mamilioni ya hoja zao.
subiri uone.
wakiruhusiwa kuendesha mahakama ya kadhi lazima wataibua madai mengine mapya.
yakumbukwe maneno yangu hata nijapo kufa.
hoja ni kuzuia kabisa harakati za waislamu wenye msimamo mkali Tanzania
mambo ya kadhi, sijui nini peleka huko kwenye banda la nguruwe. tupa huko!!!!