X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,604
- 1,858
Hayo yote uliyo yaandika hapo juu, yanapatikana wapi!?Hivi Mahakama ya Kadhi ipo kwenye zile Nguzo tano za Kiislam?
1. Shahada ya Imani
2. Swalah
3. Kutoa Zakaah (Kuwakunjulia Wenye Dhiki)
4. Kufunga katika Mwezi wa RamadhaanKila mwaka katika mwezi wa Ramadhaan (Swaumu)
5. Kuhiji Makkah
Hii Mahakama Ya Kadhi inaingia wapi? Msaada tafadhali