Anaandika Jebra Kambole
AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC.
Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi hii muhimu kwenye historia ya taifa letu!
Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!
Tunafahamu ugumu wa utekelezaji wa Mahakama za Nje ila sisi tutaendelea kuhangaika na watesi!
=======