kwahiyo inabaki ya ubakaji tu nayo akienda uk akaishinda basi tena.
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.
Mhadhiri unajishushia heshima sana.
Jaribu kuonyesha kuwa umekomaa na unajua vizuri utawala wa sheria.
Sisi tunaokuheshimu tusihamishe heshima yetu kwako na kuipeleka kwa mwingine.
Natarajia Mabadiliko kwenye post zako zitakazofuata Mhadhiri Mahiri.
Mulongo na ccm yake hata aibu hawaoni
Mhadhiri unajishushia heshima sana.
Jaribu kuonyesha kuwa umekomaa na unajua vizuri utawala wa sheria.
Sisi tunaokuheshimu tusihamishe heshima yetu kwako na kuipeleka kwa mwingine.
Natarajia Mabadiliko kwenye post zako zitakazofuata Mhadhiri Mahiri.
Utakuwa umefanya uamuzi wa busara. Hakika hutauta kwa kuitumia vizuri akili yako.
Inabidi watu tuanze kutumia akili maana majina mengine hayafai kushitakiwa. Hebu fikiria jina na Mhe. lingetafsiriwa kwa Kiswahili. Mbele ya mahakama, mwendesha mashtaka angetamka, "Tunamshitaki Mhe. Mungu Mbariki Lema, kwa kosa la..."
Ile tu kutaja jina lake tayari umetoa maombi, dua na sala kwa Mungu ili ambariki huyo unayemshitaki. Halafu unadhani utashinda, mawe! Wanajisumbua bure na kupoteza muda wao na fedha zetu walipa kodi. Hukumu yao iko jirani.
ITV Tanzania
Breaking News:Mahakama kuu Kanda ya Arusha imeifuta kesi ya uchochoezi iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema
jamani hii ni aibu ya ngapi?
sema weweKila siku chadema wanashinda hizi kesi ndiyo kusema hawa wanaozifungua hawajuia sheria au ni majuhu?
Maana hata zile kesi alizoagiza katibu mkuu wa ccm kipindi hicho zifunguliwe zidi ya wabunge wa chadena nazo cdm imeshinda karibia 75%, ni lini tutakomesha ujinga huu wakupotezeana mda?