Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Breaking News!!
Kesi ya Uchochezi iliyokuwa ikimkabili Mbunge Lema imefutwa!

Kesi ya uchochezi iliyokuwa ikimkabili Lema Mbunge imefutwa na mahakama Kuu Arusha,kwa mujibu wa makosa ya jinai Mahakama imefutilia mbali mashitaka yaliyofungulia;
Leo waliokuwa wakitakiwa kutoa ushidi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha na OCD,;'
images
Z

Chezea cross examinations za kina Kibatara na Tundu Lissu...Nani yuko tayari kuumbuka?
Heri nusu shari kuliko shari kamili...
 
Lengo ni kuwapotezea muda makamanda ili kupunguza kasi ya kueneza sera za chama. VIVA CDM! Nashauri na hizo kesi nyingine za uchaguzi zitolewe hukumu kwani uchaguzi mwingine unakaribia.
 
Bahati yake muluugo, tena awashukuru sana hao mapoliccm walio futa hicho kikesi cha kubumba, vinginevyo mahakamani Kamanda Lissu angemuabisha na kumuadabisha vilivyo!
kwanza hata kujielezea hawezi, wakati wote hana confo, leo angeweza kusimama mahakamani na Kamanda Lissu kweli? yaani angekuwa humiliated vibaya adi asinge sahau maisha mwake mwote, bahati yake!
 
Bibie FaizaFoxy, tafadhali hiyo red hebu ijengee "hoja" na uifungulie uzi kama ulivyofanya kule kwa "indigo walk". Maana kwa hoja za kijinga wewe ndiwe mwenyewe Mjane Mweusi. Typos zote tutakuwa tunaku-fowadia maana wewe ni bingwa kugeuza typos kuwa hoja.

cc FaizaFoxy , a Black widdow
 
Last edited by a moderator:
hii kwakweli ni aibu kwa Ccm na watawala wake hivi baba riz unajiskiaje ktk utawala wako,nikikumbuka alivyokamatwa usiku wa manane kwa mbwembwe utazani Lema ni gaidi.
 
Habari kama hizi sichoki kuzirudia rudia kusoma ... zinaniburudisha sana moyo wangu ... Thank you very much Jesus Christ.
 
jamani hii ni aibu ya ngapi?

Ndugu yangu Duble Chris, ni aibu nyingi sana zipo! Hawa watu wa c ni kama wale maafande wa JKT enzi zile tukiwa JKT Ruvu nafikiri kwa yeyote aliyepitia JKT anajua maafande walivyokuwa. Hawafikiri na kufanya analyses za haraka kabla ya kufanya kitu!! Sasa tunakwenda wapi???
 
Walichokifanya CCM na Mulongo wao ni sawa na kutishia kujamba wakati una tumbo la kuharisha...

CHADEMA hii ni fursa nzuri sana ya kutajirika kwa kudai fidia kubwa ili hawa maCCM wajue kuwa akili za maiti haziwezi kuwavusha barabara
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor CCM.
Toa hoja za kisomi kama ilivyo elimu yako. Unaposema CCM hawajashinda kesi unanajisi elimu yako kwa sababu hata layman aki goggle atapata kesi mbali mbali ambazo CCM wameshinda.

By the way, ulitakiwa ufahamu kuwa Serikali na CCM kiutendaji ni tofauti na hata kesi iliyofunguliwa ilifunguliwa na serikali.

Siyo kuja hapa na kauli na maneno ya kwenye vijiwe na barabarani. Jaribu hata kidogo kuvaa akili ya GT.

By the way, siyo ninyi kila mkishindwa mahakamani huwa mnadai mahakama zimehongwa, leo DPP ameiondoa kesi mahakamani unakuja na madai na kusema mahakama ziko huru!.

Tutayatunza maneno yako haya na tutakukumbusha baada ya uchaguzi wa ubunge 2015.
 
Acha kujidhalilisha kwa unafiki wako
 
Back
Top Bottom