Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Na nyie Polisi wakati mwingine muwe mnatumia akili sio kila mkiamrishwa mnatenda hata mbwa anawazidi akili...!
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor CCM.

nimekuwa nikiamini siku hawa jamaaa zetu polisi wakikataa kutumiwa tu basi ukombozi na uwajibika proper wa serikali inayokuwa madarakani utagrow na kuprosper.
 
maCCM wakisikia mh.lissu atamwakilisha mtu mahakamani,inabidi wakimbilie kufuta kesi
 
jana nilisema kama hakimu akiwa makini LEMA hatakuwa na kesi ya kujibu
na kweli leo amefanya kama sheria zinavotaka
shame on you magessa rudi nyamongo ukalime ile kitu ya sekei.

Asirudi nyamongo bali arudi Bwagamoyo akarudie kazi yake ya uhudumu wa nyumba ya MKUU
 
Pole sana Mheshimiwa Lema. Huwa wanakufanyia Mudslinging kila wakati ili Wananchi wa Arusha wakose Imani nawe. Natumaini sasa wanaona jinsi Mungu alivyo upande wako. Kaza buti Mheshimiwa watumikie wananchi wako kwa haki nao wataendelea kukuunga mkono.
Hongera kwa kufutiwa Kesi
 
Acha zako wewe mwehu! Aibu gani sasa tunayo? Wakati mafisadi ndiyo wameaibika? Ama unafikiri ni kwamba tunaigopa mahakama?
Kama siyo mmetumia mbinu zenu ya ufisadi mkamaliza kesi hii nakwambia leo huyo magesa mulongo a.k.a mpu..mb.avu angekimbia mkoa mchana kweupe na mbali na hili ataikimbia A town tu.
Eti aibu zetu. Wewe mpunguani kweli!

huna lolote wewe gamba,aibu yenu hiyo.
 
Kubishana na Mhe Lissu mahakamani inabidi ujipange


Mkuu nakwambia haki siku zote haijawahi kushindwa bali inacheleweshwa tu.

Hapo down ni baadhi ya kauli ya Mh. Mbunge wangu.
Nimeipenda sana!

Ukiona giza limetanda sana ujue karibu kunakucha!
 
Jamani hii thread mbona siwaoni wakina simiyu yetu,etc?mko wapi jamani mmekula kona eeeeee?toeni coment zenu au haiwalipi?
 
Jamani hii thread mbona siwaoni wakina simiyu yetu,etc?mko wapi jamani mmekula kona eeeeee?toeni coment zenu au haiwalipi?
 
Ni kweli aliingia chuo cha uhasibu kama anaelekea kwenye Send Off. Asante Mahakama kwa kusimamia ukweli!!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuanzia leo nimehama ccm yaani viongozi wangu wanaakili za maiti.yaani hata sielewi..nani anambie kesi ambayo tulishinda

Yaani mpaka leo ulikuwa bado hujahama!!!??
kweli nawe unaakili ya maiti!!!
 
Kesi uchwara kama hizi zinazidi tu kusaidia Chadema to gain more political mileage dhidi ya CCM na kuzidi kutuweka pabaya katika siasa za mkoa; Kulikuwa hakuna haja ya kufungua kesi kama hii kwani hukumu yake tayari wataalam wa mambo ya sheria walishatabiri matokeo kitambo sana; Vinginevyo mahakama ni chombo kinachosimamia haki na sheria, sasa kama chombo hiki kinatoa hukumu ambayo ni kinyume na matakwa ya mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa (ambae pia ni mkuu wa mkoa), basi lipo tatizo kubwa zaidi katika siasa na utawala wa mkoa mkoa husika, hasa kuelekea 2015;
 
Bibie FaizaFoxy, tafadhali hiyo red hebu ijengee "hoja" na uifungulie uzi kama ulivyofanya kule kwa "indigo walk". Maana kwa hoja za kijinga wewe ndiwe mwenyewe Mjane Mweusi. Typos zote tutakuwa tunaku-fowadia maana wewe ni bingwa kugeuza typos kuwa hoja.

FaizaFoxy's just an indigo snake!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom