Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.
Ni kweli mkuu mahakama haiko tayari kuendeshwa na akina Mwigulu, mwisho wa plan za CCM ni mahabusu ya polisi
mahakamani ni sheria tu.

Nawashauri maCCM kama wanaweza waanzishe mahakama zitakazoendeshwa na polisi hakimu Chagonja.
 
Dhambi kubwa na mbaya kuliko zote Duniani ni uoga,Hongera mbunge we2 lema kwa ushindi huu,nilikuwepo mahakamani hakimu hajui hata kesi aianzie wapi na iishie wapi kwa kuwa haina kichwa wala miguu,ukweli unabaki pale pale,hatimaye kesi ya send-off ya RC imefutwa.
 
As it was expected kesi za kubambikia mwisho wake ni aibu.....aibu mulongo,aibu policcm iron boys,aibu magamba.ptuuuu.
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.
Dr. Mimi kweli nimeamini Mungu akitaka kkukuangamiza anakutia upofu yani Mungu anavyo ipenda Tanzania na kuipa rasilmali nyingi kaona maccm yanazitumia ndivyo sivyo kayatia upofu mkubwa kila kukicha yanafanya mambo yasiyo tekelezeka nakuzidi kujichimbia kaburi 2014/2015 R.I.P maccp. Nampongeza Kamanda Lema kwa ushindi huo.
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kesi iliyokuwa inamkabili mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema imefutiliwa mbali na mahakama leo jijini Arusha.

Kesi hiyo ilifunguliwa kwa shinikizo la mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo kwa madai kwamba Lema alichochea vurugu kwenye chuo cha Uhasibu Arusha na pia Lema anadaiwa kumtukana mkuu huyo wa mkoa.

Mahakama imefutilia mbali kesi hiyo kwa madai kwamba Lema hana kesi ya kujibu.
Naile yakumbaka chizi je?
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.

Katika jambo linalochukiza hapa Tanzania ni kwa wanasiasa kuzifanya MAHAKAMA zetu kama mahali pa MIZAHA na KEJELI.

Kule Kenya kuna kitu kinaendelea cha kujifunza hapa kwetu kwa JAJI MKUU akiwa msimamizi wa MHIMILI wa nchi. Katika uchaguzi uliopita hapo March, kuna KESI NYINGIIII za kupinga matokeo ya uchaguzi. Jaji Mkuu W. Mtunga aliwaasa wanasiasa wasio na ushahidi mahususi wa PINGAMIZI zao wasiende mahakamani na kuipotezea Mahakama fedha za walipa kodi. Wao wakadhani utani.

Kilichotokea kila aliyeshindwa KESI analipa gharama KUBWA MNO ya kesi hiyo kuanzia milioni 1.5 hadi 5 za Kenya. Na majaji wakiwatoza faini wanawapa muda tu wa kulipa hiyo faini vinginevyo HATUA KALI Zinachukuliwa dhidi yao.

Hapa Tanzania, kila kesi ISIYO na MIGUU wala KICHWA, natamani JAJI MKUU aagize FAINI KUBWAAA SANA ikiwa kesi hiyo itatupwa ili kuepuka kupoteza hela za walipa kodi.

Hiyo itakuwa FUNDISHO kwa wanasiasa wanaipotezea fedha nchi yetu kwa kesi za aina hii.

Ni maono yangu.
 
Uzi kama huu huwezi kulikuta genge la kina Rtz1, Zemakacol0, FaizaFoxy na HAMY-D hata siku moja, wao utawakuta zile thread za shutma za kutengeneza juu ya DR. Slaa na familia yake ndiyo wanashinda huko wakipika majungu.
 
Kuanzia leo nimehama ccm yaani viongozi wangu wanaakili za maiti.yaani hata sielewi..nani anambie kesi ambayo tulishinda
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kesi iliyokuwa inamkabili mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema imefutiliwa mbali na mahakama leo jijini Arusha.

Kesi hiyo ilifunguliwa kwa shinikizo la mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo kwa madai kwamba Lema alichochea vurugu kwenye chuo cha Uhasibu Arusha na pia Lema anadaiwa kumtukana mkuu huyo wa mkoa.

Mahakama imefutilia mbali kesi hiyo kwa madai kwamba Lema hana kesi ya kujibu.

Strategically Mkuu wa mkoa alikosea sana kumwambia Lema kwamba atamfungulia kesi yeyote atakayo, angefanya kimya kimya kama walivyo fanyiwa familia ya Nguza Vicking
 
Strategically Mkuu wa mkoa alikosea sana kumwambia Lema kwamba atamfungulia kesi yeyote atakayo, angefanya kimya kimya kama walivyo fanyiwa familia ya Nguza Vicking

mungu huwapa upofu watu wabaya kama huyo Mulongo.
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.

Dr. nimefurahi sana ulivyohitimisha. May I borrow a leaf from your post and echo it, 'poor maCCM'
 
Cc. Nape Mwandosya, Ritz, sumu, Simu yetu, baba lao, Faziza foxy, Chris Lukosi a.k.a X COP, Mwigulu Madelu, My web...Kinana ze tembo, Juliana wa kufyonza (Shonza), Rejao,wingu, taswira, Mtela Mwamacotton.....Lumumba team...
 
Back
Top Bottom