Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,249
...haijatokea na haitatokea siku hata moja katika dunia hii dhuluma ikaishinda haki kwani haki ni mpango wa Mungu na dhuluma ni kazi ya shetani...
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kesi iliyokuwa inamkabili mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema imefutiliwa mbali na mahakama leo jijini Arusha baada ya Jamhuri kupeleka maombi ya kufuta kesi hiyo.
Kesi hiyo ilifunguliwa kwa shinikizo la mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo kwa madai kwamba Lema alichochea vurugu kwenye chuo cha Uhasibu Arusha na pia Lema anadaiwa kumtukana mkuu huyo wa mkoa.
Lema anadaiwa kutamka maneno kwamba..Mkuu wa mkoa anakuja kama anaenda Send-off..Maneno ambayo polisi wanadai yalichochea uvunjifu wa amani.
Mahakama imefutilia mbali kesi hiyo kwa madai kwamba Lema hana kesi ya kujibu.
Kama kawaida umati wa wafuasi wa CHADEMA ulifurika mahakamani na kushangilia kwa nguvu mara baada ya hukumu hiyo.
mkuu nawe hopeless kabisa!!!!Toa hoja za kisomi kama ilivyo elimu yako. Unaposema CCM hawajashinda kesi unanajisi elimu yako kwa sababu hata layman aki goggle atapata kesi mbali mbali ambazo CCM wameshinda.
By the way, ulitakiwa ufahamu kuwa Serikali na CCM kiutendaji ni tofauti na hata kesi iliyofunguliwa ilifunguliwa na serikali.
Siyo kuja hapa na kauli na maneno ya kwenye vijiwe na barabarani. Jaribu hata kidogo kuvaa akili ya GT.
By the way, siyo ninyi kila mkishindwa mahakamani huwa mnadai mahakama zimehongwa, leo DPP ameiondoa kesi mahakamani unakuja na madai na kusema mahakama ziko huru!.
Tutayatunza maneno yako haya na tutakukumbusha baada ya uchaguzi wa ubunge 2015.
Toa hoja za kisomi kama ilivyo elimu yako. Unaposema CCM hawajashinda kesi unanajisi elimu yako kwa sababu hata layman aki goggle atapata kesi mbali mbali ambazo CCM wameshinda.
By the way, ulitakiwa ufahamu kuwa Serikali na CCM kiutendaji ni tofauti na hata kesi iliyofunguliwa ilifunguliwa na serikali.
Siyo kuja hapa na kauli na maneno ya kwenye vijiwe na barabarani. Jaribu hata kidogo kuvaa akili ya GT.
By the way, siyo ninyi kila mkishindwa mahakamani huwa mnadai mahakama zimehongwa, leo DPP ameiondoa kesi mahakamani unakuja na madai na kusema mahakama ziko huru!.
Tutayatunza maneno yako haya na tutakukumbusha baada ya uchaguzi wa ubunge 2015.
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kesi iliyokuwa inamkabili mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema imefutiliwa mbali na mahakama leo jijini Arusha baada ya Jamhuri kupeleka maombi ya kufuta kesi hiyo.
Kesi hiyo ilifunguliwa kwa shinikizo la mkuu wa mkoa wa Arusha Magessa Mulongo kwa madai kwamba Lema alichochea vurugu kwenye chuo cha Uhasibu Arusha na pia Lema anadaiwa kumtukana mkuu huyo wa mkoa.
Lema anadaiwa kutamka maneno kwamba..Mkuu wa mkoa anakuja kama anaenda Send-off..Maneno ambayo polisi wanadai yalichochea uvunjifu wa amani.
Mahakama imefutilia mbali kesi hiyo kwa madai kwamba Lema hana kesi ya kujibu.
Kama kawaida umati wa wafuasi wa CHADEMA ulifurika mahakamani na kushangilia kwa nguvu mara baada ya hukumu hiyo.
Uzi kama huu huwezi kulikuta genge la kina Rtz1, Zemakacol0, FaizaFoxy na HAMY-D hata siku moja, wao utawakuta zile thread za shutma za kutengeneza juu ya DR. Slaa na familia yake ndiyo wanashinda huko wakipika majungu.
Mwigulu eee, itika basi mbona kiburi dogo? Napeee uko wapi??? Stela Mwampamba Upo?? Na Wewe Mboga Ya Mwigulu Juliana Upo?? Mtazificha wapi nyuso zenu?? Hata -------- wa drs la tatu la wakati WA NYERERE LUSINDE AMESTUKA, NYIE JE?? AIBU YA CCM, AIBU YENU.
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor CCM.
jamani hii ni aibu ya ngapi?