Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

...KODI za jamhuri hazitoshelezi kulipia kesi hiyo....ingebidi KESI za jamhuri zipate HISANI YA WATU WA UMOJA WA watu wa........
 
..na bado tutawachapa kuanzia mtaani mpaka mahakamani...

..pamoja na kutumia nguvu kuuubwa kumkamata kama watawinda magaidi wa alshabab,mwisho wa siku unaangukia pua,aibu sana kwa viongozi dhalimu...
 
Kila siku chadema wanashinda hizi kesi ndiyo kusema hawa wanaozifungua hawajuia sheria au ni majuhu?

Maana hata zile kesi alizoagiza katibu mkuu wa ccm kipindi hicho zifunguliwe zidi ya wabunge wa chadena nazo cdm imeshinda karibia 75%, ni lini tutakomesha ujinga huu wakupotezeana mda?

Tatizo la C.C.M ni kutokukubali kwamba Chadema is taking over tena drastically so kuhandle desperation na fulstration wanatumia dola na cheap propaganda.

Hoja za watanzania zinajibiwa kwa kutekeleza ahadi zilizopo katika ilani ya chama chao na sio ujanja ujanja. Sasa Godbless Lema ni mtu mmoja ameshaprove kuishinda dola in several times, jee kila mkoa ukitoa Lema mmoja?

Historia itakuja kuuhukumu huu utawala wa hasa awamu ya nne. So disappointing.
 
wa kuchukuliwa hatua na mahakama alikuwa ni RC wa A-Town na si Lema,ila ndio hivyo tena,kiongozi hakosei kwa hapa Tz.
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.

kitila wewe umewahi kushinda lipi katika mipango yako?
 
Mungu huwa hamfichi mnafiki na ame rule out in favour ya mtu wake. Mulongo ameumbuka na kama vp akate rufaa
 
Sometimes huwa wanafungua kesi za ushahid tu ila lengo la huwa ni kuwaweka wapinzani ndani kwa nia ya kuwakomoa na kuwadhlilisha tu na wala si kushinda kesi hizo wanazowabambikizia!

Hata hivyo,huu udhalimu wao una mwisho wake!
 
Ni habari nzuri na yakutia moyo. Ila naomba utujuze kwani kunagari la matangazo limepita hapa nje na limetangaza kuwa leo lema anamkutano kwa Mromboo na atakuwa na mkuu wa mkoa Mh. MULONGO?
 
Kashinda nini sasa wakati kasababisha tafrani chuoni pale na kupelekea chuo kufungwa? Si kila anaeshinda kesi ndio mwenye haki.
 
kwahiyo inabaki ya ubakaji tu nayo akienda uk akaishinda basi tena.
 
Mbele ya wakili makini Tundu Lisu mlitegemea maccm yashinde kesi! Thubutu
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.

Dr Kitila. Sasa kumbuka ile nguvu polisi walotumia kwenda kumkamata usiku wa manane wakiwa na silaha nzito kana kwamba wanaenda kupambana na majambazi sugu. Polisi wetu uwezo wa kutenganisha utendaji wao na siasa upo chini sana, labda kwa kua elimu ya wengi wao bado sio ya kuridhisha.
Sijui mkuu wa Mkoa haoni aibu kwa tabia hizi za kijinga??
CCM wamelewa sana, wakafikri kama wao ndio kila kitu, ule msemo wao wa kuwa CCM wakiweka hata jiwe litashinda sasa hawautumii tena. Na wananza kujua kuwa Mahakama zinajitahidi kuwa huru
 
Back
Top Bottom