Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Mahakama waiondoa kesi dhidi ya Godbless Lema

Yale yale ya kova na mkenya nakulipa buku,hakika masisiem mnaangamia na mtaisha kwa huu udhalimu wenu....
 
Haya maccm yakome kutumia mahakama zetu hovyo! Lema yadai fidia ya usumbufu tuheshimiane!
 
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.

Hahahaha DR. watu wameona jina lako tu umeshakula likes za maana kweli watu wanakukubali. CCM wanapenda kutumia fedha za umma kufungua makesi ya ajabu ajabu, 2015 lazima wazilipe hizi zote labda wafe au wahame nchi.
 
Kesi za majungu ufutika kwa aibu hawa jamaa wana uwezo mdogo wa kufikiri, sasa kama alienda kwenye send off asiambiwe hawa ndo viongozi mbumbumbu na legelege
 
Kuanzia leo nimehama ccm yaani viongozi wangu wanaakili za maiti.yaani hata sielewi..nani anambie kesi ambayo tulishinda


Utakuwa umefanya uamuzi wa busara. Hakika hutauta kwa kuitumia vizuri akili yako.

Inabidi watu tuanze kutumia akili maana majina mengine hayafai kushitakiwa. Hebu fikiria jina na Mhe. lingetafsiriwa kwa Kiswahili. Mbele ya mahakama, mwendesha mashtaka angetamka, "Tunamshitaki Mhe. Mungu Mbariki Lema, kwa kosa la..."
Ile tu kutaja jina lake tayari umetoa maombi, dua na sala kwa Mungu ili ambariki huyo unayemshitaki. Halafu unadhani utashinda, mawe! Wanajisumbua bure na kupoteza muda wao na fedha zetu walipa kodi. Hukumu yao iko jirani.
 
[h=5]Mahakama kuu Kanda ya Arusha imeifuta kesi ya uchochoezi iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema[/h]
 
Licha ya mbwembwe nyingi za kwenda kumkamata Lema kama vile gaidi ambapo vilienda gari za polisi zaidi ya kumi saa nane usiku wakiwa na mbwa silaha za kivita na kuruka ukuta ili kuingia kumkamata Lema na kama haitoshi wakatishia kupiga bomu mlangoni kwake kama hatafungua, leo kesi hiyo mwanasheria wa serikali ameomba kesi hiyo ifutwe, huu ni mwendelezo CCM kuwafungulia kesi za kipumbavu viongozi/ wabunge wa chadema wakiamini kuwa ni kuwazoofisha lakini wamekuwa wakibwagwa mahakamani kirahisi sana kutokana na kesi zao kutokuwa na kichwa wala miguu mfano kesi za hivi karibuni niili ya Sugu kumwita waziri mkuu Mizengo kayanza Peter Pinda kuwa ni -------- baada ya kutoa kauli ya kipumbavu bungeni kuwa watakao kataa kutii amri ya polisi wapigwe tu bila kujali polisi hao hao ndiyo wanao tuuzi a bangi mitaa, ndiyo hao hao waoua tembe wetu kwa kushirikiana na kinana, ndiyo hao hao wauuza sembe na kuwalinda watuhumiwa wa sembe, ndiyo hao hao wanao bambikiza watu mafuvu, ndiyo hao wanao teka wakenya na kuwaelekeza maneno ya kuongea kisha kuwaamru wakatubu..

Leo ilikuwa kesi ya kamanda Godbless lema kuwagalagaza ni kwenye kesi ya kumwambia mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo kuwa alienda kwenye msiba wa chuo cha Uhasibu kama anaenda kwenye Send Off....

hapa naona mahakama haijatenda haki. Nani atalipa gharama za kesi hii ya kiccm na mulongo????
 
mkubwa wewe ache tu maana kuna hata siku jua litakimbia hawa majambazi, na sasa nafurahi kule zanzibar kimenuka, siku wamaskini hao wakiunganisha nguvu ndio kiama cha wahuni wote wa ccm,Mungu ibariki chadema na wafuake wake wote.,
Kuna kesi wamewahi kushinda hawa? Wanafikiri mahakama ni za kwao! Wanajitutumua kulazimisha polisi wafungue kesi lakini wakifika mahakamani ni woga kama nini. Poor maCCM.
 
Back
Top Bottom