Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge

The Application Is Incompetent and Unmaintainable and ts dismissed WITH COST'S

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Tumekupata.

Lakini stori haijakamilika.

Tujuze haya:

1. Mapingamizi ni yapi?

2. Uamuzi wa mahakama ni upi kwa kila pingamizi?

3. Nassari amesema nini baada ya hukumu?
 
Nasari ni disgrace mwehu mkubwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii movie mimi hata siilewi. Katika wakati huu wa kuwindwa na CCM na serikali yake ya kishetani, Nassari alipaswa kuwa makini zaidi. Halafu miongoni mwa wabunge wote wale Ndugai alijuaje kuwa Nassari hajahudhuria mikutano 3? Huu uvuaji wa ubunge ni wa kihistoria.
 
Watoto show!

🎵Waatooto
Wathafi moyonii
Ni nyota dha macho kwa wadhadhi
Thithii ni maua
Tuliio pendwa
Na Mungu mwenyedhiii.. 🎵
 
..nina mashaka na usahihi wa taarifa hii.

..Nassari amekwenda mahakamani akipinga uamuzi wa uongozi [ spika + katibu ] wa bunge kumvua nafasi yake ya uwakilishi.

..mahakama inawezaje kusema imekubaliana na uamuzi wa bunge wakati shauri lilikuwa limewekewa PINGAMIZI?

..naamini mahakama imetupilia mbali kesi ya Nassari lakini naamini ni kwasababu tofauti na hizi tulizoletewa na mtoa mada.

..Nassari bado ana nafasi ya kufungua upya shauri lake akizingatia mapingamizi aliyowekewa mwanzo.

..Mahakama inatakiwa itoe maamuzi baada ya kusikiliza upande wa Nassari na upande wa uongozi wa bunge.
 
Haya wale vijana wa Arusha waliokuwa wanapiga mikwara kipindi cha JK kwamba Arusha ni mkoa wa kijanja ujinga hakuna mbona hawamtii adabu Nasary?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Dogo mda c mrefu tutamuona amevaa nguo za rangi ya ukoka
Si kwa ajili ya ubunge tena. Watu wake wakiongozwa na washili walishasema dogo hawamuhitaji tena. labda kama kaizimikia kijani kwa moyo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…