Mahakama kuingia likizo tarehe 15 Disemba 2018 hadi tarehe 31 Januari 2019

Hiyo mahaka sio kwenda likizo mpaka hiyo 31 January, hata waende miaka 6 bado haiondoi ukweli kwamba wanatii maelekezo ya siasa chafu toka kwa mkulu. Wale mishahara ya kodi za wananchi wapendavyo lakini iko wazi kwamba wanatumika kupoteza haki.
Mie ni Chadema lakini approach ya sikupenda dharau aliyoonyesha Kamanda wetu, wacha wamkumbushe zikae sawa
 
Kama wewe ni Chadema kweli basi unajitambuwa, kuna watu hawajielewi mahakamani ni sehemu ya hoja za kisheria na pande mbili zinawindana ukitowa loop hall mwenzako anakumaliza hapo hapo.

Issue ya Easter Matiko siwezi kuiongelea wala kumlaumu kwa sababu sielewi kilichotokea lakini kwa huyu Mbowe hapana hili kalikoroga mwenyewe je ni kwa malengo maalum? Mimi sijui, kwa hili wacha apambane na hali yake wakili bora kabisa anaye msomi Kibatala atatoka lakini atakuwa amejifunza kitu.
 
Mie ni Chadema lakini approach ya sikupenda dharau aliyoonyesha Kamanda wetu, wacha wamkumbushe zikae sawa

Ww ni cdm usiyejua msingi wa hiyo kesi? Unadhani ukisema ww ni cdm ndio utapa uhalali wa kutetea uonevu?
 
Haya we unayejua msingi kamtoe sasa tuone! Fata utaratibu vinginevyo naungana na jiwe mjazane huko magerezani akili zikae sawa. Regime haiko friendly na hayo mnayoyataka mlitakiwa kuwa na plan B kama ambavyo una mke kisha plan B mchepuko kwa kuwa mkeo sio mama yako
 
Hata akikaa huko jela miaka mia haiondoi ukweli kwamba yuko ndani kufuatia amri ya magu kutokana na siasa zake chafu na hasa kuchezea box la kura. Kwa Africa ni sifa kiongozi aliye madarakani kutumia cheo chake kuwanyanyasa na hata kuwaua wapinzani wake. Hayo anayopitia Mbowe ni muendelezo wa ulevi wa madaraka wa kiongozi mkuu.
 
Ndio maana nasema lazima kuwe na plan B kwa nini huelewi? Huo ulevi wa madaraka tayari ni kansa tushajua, sasa hao viongozi wetu waje na plan B ya ukweli. Unadhani kutakuwa na huruma kama kunywa supu? Hahahaha haya bana. Nakubaliana na hoja yako though!
 
Lengo limetimia(uneless kesi yake itastahii huo udharura),vinginevyo ndio hivyo ila tujue katika mapambano ya kutafuta haki na usawa, ni lazima kuna watu wataumia na kuteseka kwa faida ya walio wengi.

Niwataarifu tu,huu ni mwanzo kwani watakaoendelea kuumia na kuteseka ni wengi ila tukumbuke kila kitu kina mwisho.

Baada ya hapo,sitashangaa wakitamka kuwa hawana nia ya kuendelea na kesi maana watakuwa wametimza lengo lao.

Gharama ya kulipa bado ni kubwa sana huko mbeleni na hii ni sehemu ndogo tu ya gharama ya awali tutakayoilipa huko siku za usoni-tujiandae.

Hata hivyo,ni jambo la kushangaza kwa utaratibu huu wa chombo hiki nyeti kwenda mapumziko ya muda wote huo ila hali watumishi wengine wote wa umma hawana mapumziko ya aina hii.
Kwa maana hiyo mahakama inachelewesha haki.kwa mujibu wa majukumu ya kimahakama zote Tz,mahakama ya mwanzo inatakiwa imalize kesi ndani ya miezi 6,mahakama ya wilaya na hakimu mkazi kesi zinatakiwa kumalizika ndani ya miezi 12,na mahakama kuu inatakiwa imalize kesi ndani ya miaka 2.sasa cha ajabu unakuta mahaka kuu inamaliza kesi zaidi ya miaka 4 hadi 5.kwahivyo mahakama inachelewesha haki.
 
Lengo limetimia(uneless kesi yake itastahii huo udharura),vinginevyo ndio hivyo ila tujue katika mapambano ya kutafuta haki na usawa, ni lazima kuna watu wataumia na kuteseka kwa faida ya walio wengi.

Niwataarifu tu,huu ni mwanzo kwani watakaoendelea kuumia na kuteseka ni wengi ila tukumbuke kila kitu kina mwisho.

Baada ya hapo,sitashangaa wakitamka kuwa hawana nia ya kuendelea na kesi maana watakuwa wametimza lengo lao.

Gharama ya kulipa bado ni kubwa sana huko mbeleni na hii ni sehemu ndogo tu ya gharama ya awali tutakayoilipa huko siku za usoni-tujiandae.

Hata hivyo,ni jambo la kushangaza kwa utaratibu huu wa chombo hiki nyeti kwenda mapumziko ya muda wote huo ila hali watumishi wengine wote wa umma hawana mapumziko ya aina hii.
Hakuna haki inayotafutwa acha ujinga
 
Wewe ni mjinga wa kwanza maana wa mwisho ana afadhali, ni mshtakiwa gani anaweza kuiingilia mahakama isitaje kesi yake? Date za kimahakama ni siku 14.
Tii sheria bila shurti, na lugha hiyo haibatilishi maamuzi ya mahakama wala kuwapa faraja hao.
 
Kuna siku tutasikia Hospital nazo zinaenda likizo.Hii Kali,yaani ni upinzani tu unawatesa hivyo.Basi hakuna kitu aisee hatuna kitu for next 7 years.Yajayo yanafurahisha
 
uchukuaji likizo mahakaman upo siku zote ni utaratibu waliohjiwekee mwezi wa 12 ni wapumziko kwao, sema tu watu walikuwa hawafahamu mpaka ilivotokea hii kesi ya mbowe wanaona km jambo geni ila ni la muda mrefu tu, mwisho wa mwaka wengi wanachukua mapumziko, na endapo wataona kuna ulazima wa kusikiliza kesi yotote ile wanasikiliza tu, watanzania msiwe na imani au mawazo potofu.
 
Wanajulia Wapi Hawa Mambumbu
walikuwa hawatoi kwa Umma lakini ni utaratibu wa siku nyingi sana huo.....na Majaji wengi wanakwenda nje ya nchi na familia zao kupumzika na baadhi hapa hapa nchini haina uhusiano na unavyofikiri kesi ya huyo mwanachadema
 
Kesi Ya Akina Mbowe Ni Urgent Matter Maana Ililetwe Under Certificate Of Urgency
Kesi ya Mbowe haina udharura wowote, na kimsingi anastahili kupambana na hali yake.

Kila mtu mwenye akili timamu anajuwa alichokifanya Mbowe.
 
Imeshawahi kutokea mahakama kwenda likizo tena kwa mda mrefu hivo?
Nami nashangaa, nimeona leo. Sijawahi sikia taasisi ya serikali imeelekea likizo. Je wakienda polisi ama magereza itakuwaje?
 
Back
Top Bottom