Mahakama kuingia likizo tarehe 15 Disemba 2018 hadi tarehe 31 Januari 2019

Mshangao wenu ni athari za mitandao ya kijamii kutochuja vitoto vodogo na vijinga vinachojua nu kubonyeza tu keyboard.

Hata mngekuwa mbumbumbu kiasi gani basi ungeona barua imeanza naneno Under G.N. 307 of 1964.

Mahakama inaenda Likizo? Dah
Duh sijawahi kusikia "justice serving" ikienda likizo

Kama ni uhaba wa watendaji mbona vijana tupo hatuna ajira mitaani huku.
Imeshawahi kutokea mahakama kwenda likizo tena kwa mda mrefu hivo?
 
Dogo hiyo likizo ipo miaka yote na haijawahi kuleta sintofahamu yoyote. Jambo jipya labda ni hilo la kiongozi mkubwa kuruka dhamana.....tena karibia na msimu wa likizo ya mahakama!
Unauhakika na unachodai au lengo lako lilikuwa kuchomekea ya Mbowe! Haya maisha ya CCM na Mbowe yanatufanya watanzania tuonekane wahovyo, wenzetu Kenya wanagombana wenyewe kwa wenyewe lakini pia wakobize kuimarisha viwanda tofauti na sisi bize kuimarisha CCM.
 
Mshangao wenu ni athari za mitandao ya kijamii kutochuja vitoto vodogo na vijinga vinachojua nu kubonyeza tu keyboard.

Hata mngekuwa mbumbumbu kiasi gani basi ungeona barua imeanza naneno Under G.N. 307 of 1964.
Ndo tabu ya kuamka ukiwa kwenye heat na bwana yako hajakugusa!

Unategemea kila mtu humu anajua maana ya under G.N?Mbona wenzako wamejibu kiustaarabu?
 
Kesi ya Mbowe haina udharura wowote, na kimsingi anastahili kupambana na hali yake.

Kila mtu mwenye akili timamu anajuwa alichokifanya Mbowe.
Bora wewe umewaambia ukweli wana cdm, sijui chama kilibeba wajinga wote chamani!!Mwenyekiti alifanya ya kitoto nao wanacomment humu ya kitoto. Sijui hajawahi kunywa juice huko Bomang'ombe!
 
Lengo limetimia(uneless kesi yake itastahii huo udharura),vinginevyo ndio hivyo ila tujue katika mapambano ya kutafuta haki na usawa, ni lazima kuna watu wataumia na kuteseka kwa faida ya walio wengi.

Niwataarifu tu,huu ni mwanzo kwani watakaoendelea kuumia na kuteseka ni wengi ila tukumbuke kila kitu kina mwisho.

Baada ya hapo,sitashangaa wakitamka kuwa hawana nia ya kuendelea na kesi maana watakuwa wametimza lengo lao.

Gharama ya kulipa bado ni kubwa sana huko mbeleni na hii ni sehemu ndogo tu ya gharama ya awali tutakayoilipa huko siku za usoni-tujiandae.

Hata hivyo,ni jambo la kushangaza kwa utaratibu huu wa chombo hiki nyeti kwenda mapumziko ya muda wote huo ila hali watumishi wengine wote wa umma hawana mapumziko ya aina hii.
Narejea kauli yangu ya awali, watuhumiwa walicheza danadana kesi yao kwa vipingamizi mbalimbali, kwa ushauri wa mawakili wao, ikawa haitajwi.

Kibaya zaidi baadhi ya watuhumiwa wakaruka dhamana na kuishutumu mahakama kuwa Hakimu anafanya maamuzi ya kuagizwa, bila ushahidi.

Matokeo ya hayo tusubiri jibu.
 
Wewe ni mjinga wa kwanza maana wa mwisho ana afadhali, ni mshtakiwa gani anaweza kuiingilia mahakama isitaje kesi yake? Date za kimahakama ni siku 14.
 
Mbona mwaka Jana hamkuchukua?
Hii ni kalenda ya mahakama iko kila mwaka na inaitwa mwaka wa mahakama. Kwa uelewa wako unafikiri miaka mingine huwa hawachukuwi likizo kwa sababu mbowe huwa yuko Nyumbani kwake hivyo akili za wengine zinafuata ratiba ya Mbowe na kudhani duniani hakuna likizo kama hizi za kimahakama.
HBD mbowe ni 14 sept 1960, ila kwa sababu yuko gerezani imebadilishwa ili kupumbaza watu wasiojuwa kuna likizao ya mahakama.
 
Wewe ni mzazi wa Mbowe mpaka upingane na tarehe yake ya kuzaliwa?

Kuna tofauti gani ya ujinga wao na wako?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom