Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Mahakama kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaanza likizo ya kimahakama kuanzia Jumamosi ya tarehe 15 December 2018 hadi tarehe 31 January 2019. Katika kipindi hicho mahakama itashughulikia kesi zile zenye udharula tu. Na kwa upande wa Mahakama ya hakimu mkazi na wilaya itashughulikia kesi za madai zile za dharula tu.