Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,044
- 60,235
Ee Mungu ahsante kwa kutenda haki.Watanzania wanaunga mkono maamuzi haya ya mahakama.
bado ile aliyofungua mke wa Dr slaa Rose kamili
Ee Mungu ahsante kwa kutenda haki.Watanzania wanaunga mkono maamuzi haya ya mahakama.
Wewe kwenye udin upo..kwenye ufisadi upo...kwenye matapu tapu upo..acha uchwara wewe kijana, fanya kazi na wengi wape..MAAMUZI YA WENGI NI MAAMUUZI YA MUNGU..one day uta prove haya..
Haya Ritz kaolewe na mahimbo sasa yupo single .. Si ulikuwa unalalamika kuwa kaibiwa mke
.... kwa sasa amekuwa akiishi na Dk Slaa na tayari wamefanikiwa kupata mtoto mmoja, lakini harakati zao za kufunga ndoa zimekwama baada ya kupingwa na Mbunge wa Viti Maalumu wa Chadema, Rose Kamili akidai kuwa ana ndoa halali na Dk Slaa.
ya kufunga ndoa na Dk Slaa
Josephine na Dk Slaa walitarajia kufunga ndoa Julai 21, 2012, lakini imekwama baada ya Rose Kamili kufungua kesi Mahakama Kuu akiipinga kwa madai kuwa ana ndoa halali na Dk Slaa.
kuingilia ndoa yake.
[/FONT][/COLOR]
wala malecela kumuibia mke mzee Charles Nyange,
Na ajabu kubwa hawazungumzii Kibibi kizee Anna Abdallah kuiba mume wa mtu Pius Msekwa!
HATIMAYE DR. SLAA
AKUBALIWA
KUOANA NA MPENZI
WAKE... HATIMAYE Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na aliyekuwa mume wa Josephine Mushumbusi ( KWA SASA NI MCHUMBA WA DR. SLAA) , Maimbo baada ya kuiona rufaa hiyo haina msingi wowote kisheria. Hukumu hiyo ya rufaa ya madai ya ndoa Na.32/2012 ilitolewa leo na Hakimu Aniseth Wambura ambapo alisema mahakama yake imefikia uamuzi huo wa kuitupa rufaa hiyo kwasababu haina mantiki ya kisheria. Hakimu Wambura alisema mahakama yake imekubalina na hukumu iliyotolewa Aprili 2012 na Mahakama ya Mwanzo Sinza katika kesi ya madai talaka iliyokuwa imefunguliwa na Mushumbusi anayetetewa na wakili wa kujitegemea Philemon Mutakyamilwa dhidi ya Maimbo ambapo mahakama hiyo ya chini ilitangaza kuwa hakukuwa na ndoa baina ya watu hao kwasababu Maimbo alikuwa ni mzinzi, simwaminifu katika ndoa yake na alikuwa akimtesa mkewe. "Baada ya mahakama yangu kusikiliza hoja za mwomba rufaa na mjibu rufaa ,mahakama hii imefikia uamuzi wa kukubali hoja za Mushumbisi kuwa kwa tabia ile ya mbaya ya uzinzi na ukosefu wa uaminifu katika ndoa yake hapakuwepo na ndoa baina yao hivyo mahakama yake inatangaza kuwa hukumu ya mahakama ya Mwanzo Sinza ambayo iliivunja ndoa hiyo ilikuwa hukumu sahihi "alisema hakimu Wambura. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo wakili Mutakyamilwa alisema amefurahishwa na hukumu hiyo kwani mahakama imetenda haki kwasababu kesi hiyo ya madai ya talaka ilikuwa na msukumo wa siasa chafu zilizokuwa na lengo chafu la kumchafulia jina mteja wake(Mshumbusi) ambaye kwa sasa ni mzazi mwenzie Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilbroad Slaa. KWA HIYO, KWA SASA DR. SLAA NA MPENZI WAKE W ANAWEZA KUOANA..!!!
Kutokana na kesi iliyokuwa imefunguliwa na Aminiel Mahimbo vs Josephine Mushumbusi kesi ya rufaa ya kupinga talaka iliyotolewa na mahakama ya mwanzo Sinza katika kesi ya ndoa namba 4/2012 , baada ya kesi hiyo kutupiliwa mbali na mahakama ya hakimu mkazi mahakama ya wilaya ya kinondoni ndugu Wambura, katika kesi ya rufaa namba 32/2012.
Ametoa uamuzi huo baada ya kuridhika kwamba kulikuwa na ushahidi wa kutosha kwa mahakama ya mwanzo kutoa talaka hiyo na hivyo Josephine ni mtalikiwa rasmi.
Kutokana na hukumu hiyo, Josephine ana haki ya kuolewa na mtu mwingine kwa kuwa ni mtalakiwa.
![]()