Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Toka mahakamni
Ee Mungu ahsante kwa kutenda haki.Watanzania wanaunga mkono maamuzi haya ya mahakama.
Duh, Kwani walikuwa hawajaoana?.
Kumbe walikuwa/wanaendelea kuzini kulingana na macho ya imani ya Roman catholic church?.
Sijui kanisa nalo lina sheria ya double jeopardy kwa haya makosa mawili 1)Kuasi Upadri 2)kufanya tendo la ndoa na kupata mtoto kabla ya kuoana.
ushindi wa mezani
Blue, huna uelewa na mambo ya upadri.Kaa kimya.Ulisoma Kinondoni Muslim?
Aya...single ya "kupora mke" imeisha.....waje na nyingine....
Yaani single zote za ccm zinachuja haraka. Watoe single nyingine
Na ajabu kubwa hawazungumzii Kibibi kizee Anna Abdallah kuiba mume wa mtu Pius Msekwa!
Na ajabu kubwa hawazungumzii Kibibi kizee Anna Abdallah kuiba mume wa mtu Pius Msekwa!
Padri mzinifu !