sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Duh, Kwani walikuwa hawajaoana?.
Kumbe walikuwa/wanaendelea kuzini kulingana na macho ya imani ya Roman catholic church?.
Sijui kanisa nalo lina sheria ya double jeopardy kwa haya makosa mawili 1)Kuasi Upadri 2)kufanya tendo la ndoa na kupata mtoto kabla ya kuoana.
Haya na wewe muwahi mahimbo mfunge ndoa mpate watoto wa ndani ya ndoa!