Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Why today?
Kupoza makali ya Mtwara kwenye vyombo vya habari........I can bet on my old lady's pension leo TBC-0 Watatangaza hili
Why today?
Haya Ritz kaolewe na mahimbo sasa yupo single .. Si ulikuwa unalalamika kuwa kaibiwa mke
Duh, Kwani walikuwa hawajaoana?.
Kumbe walikuwa/wanaendelea kuzini kulingana na macho ya imani ya Roman catholic church?.
Sijui kanisa nalo lina sheria ya double jeopardy kwa haya makosa mawili 1)Kuasi Upadri 2)kufanya tendo la ndoa na kupata mtoto kabla ya kuoana.
Suala la Dr.Slaa lilikamatiwa bango sana, je hao wanaojiita viongozi wanaweza thubutu kuweka wazi vyeti vya ndoa zao?
Ina maana hata wachina anao , kwani umesema wa kila rangi!Swali hili lingefaa sana kama angeulizwa Mkuu wa Kaya maana ana watoto wa kila rangi
Mawazo ya kibavicha haya.CCM sijui mtafanyaje tena
Huu utani wa ngumi sasa!!! Kwamba nani akaolewe yeye?!!!
Mawazo ya kibavicha haya.
Kwani CCM ndiyo iliyomwambia Dr. slaa aachane na Upadri au Josephine aachike katika ndoa yake.
Yaani wafanye madhambi katika macho ya Mungu halafu wakimbilie kwa wanadamu kutafuta commiseration. Wewe vipi?.
Waambie wakatubu kwenye chumba cha kitubio na siyo kuanza kuilaumu CCM.
Mwambie CHADEMA mwenzako aliyeleta huu uzi kuliko kupiga kelele kwenye sikio langu.Ngoja tutoke mtwara kwanza msituchanganyie habari.Tuangalie wanaenda kukatwa mapembe ni kina nani.au kama wanaenda kujikata wenyewe.Then nitarudi kwa swala jema la rais wangu slaa.
Ee Mungu ahsante kwa kutenda haki.Watanzania wanaunga mkono maamuzi haya ya mahakama.
Wewe kweli akili zako ndogo.kumbe na wewe unajua kuwa Josephine alikuwa ameachika?