Mapenzi ni ujinga

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,029
Salam wana JF,

Mapenzi pasipo kuwa na muda wa kucheka pamoja, kuongea kwa pamoja na kufurahia mahaba kwa pamoja ni sawa na jela ya kujitakia mwenyewe.

Hamna mapenzi bIla mahaba. Cha ajabu kuna wanawake bado wanaamini kuwa haya mahaba ni utoto au ujinga.

Nipende tu kusema kwenye mahaba kila mtu anakuwa mtoto. Pale mtu unapochat na mwanamke na ukianza kuingiza story za mahaba anasema uache utoto. Ni bora tutafute watoto watakaoelewa utoto wetu kuliko kuwa na watu wanaowaza ujenzi wa barabara muda wa kufanya mahaba na kujitetea kusema ni utoto na ujinga na Upumbavu.

Swali moja tu kwa hao wanawake, kama mahaba ni Upumbavu wao walizaliwaje bila huo upumbavu? Kama walizaliwa kwa huo upumbavu basi wao ni wapumbavu wakubwa sana.
 
Salam wana JF,

Mapenzi pasipo kuwa na muda wa kucheka pamoja,kuongea Kwa pamoja na kufurahia mahaba Kwa pamoja ni sawa na Jela ya kujitakia mwenyewe.

Hamna mapenzi BIla mahaba.Cha ajabu Kuna wanawake Bado wanaamini kuwa haya mahaba ni utoto au ujinga.

Nipende tu kusema kwenye mahaba Kila mtu anakuwa mtoto.Pale mtu unapochat na Mwanamke na ukianza kuingiza story za mahaba anasema uache utoto.Ni Bora tutafute watoto watakaoelewa utoto wetu kuliko kuwa na watu wanaowaza ujenzi wa bara bara muda wa kufanya mahaba na kujitetea kusema ni utoto na ujinga na UPUMBAVU.

Swali Moja tu Kwa hao wanawake kama mahaba ni UPUMBAVU wao walizaliwaje BIla huo upumbavu?Kama walizaliwa Kwa huo upumbavu basi wao ni wapumbavu wakubwa Sana.
Mi napenda utoto
 
Mapenzi sijui mahaba ni kitu flan hiv overated sana.Ni ujinga ujinga flan hiv uliopewa heshima usizostahili.

Mimi ukiona naendekeza mapenzi bas we jua time hiyo sina kazi na sina hela wala ishu ya maana yenye mchango kwenye jamii. Hapo ndio napataga nyege
 
Back
Top Bottom