Single mama wa watoto wanne anataka mapenzi ya kudekezwa kama binti kigori

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,376
Hapa kitaa kuna single mama ana watoto 4 watatu baba mmoja mmoja baba mwingine

Single maza huyu ana umri wa miaka 37 tu ni mjasiria mali. Kwa kuwa bado ni dogo dogo nikaona nimtie vokali niwe najipoozea kimtaa mtaa meshakubali

Na tayari nimemchakata. Ila chamgamoto niliyogundua bado anaendekeza mapenzi ya utoto ya kutaka kudekezwa dekezwa sms za mahaba simu za mara kwa mara kitu ambacho mimi kimenishinda.

Nafikiria kummwaga. Asanteni sana.
1705347455866.jpg
 
Nikama vile tangu unamfata ulikua umeshamdharau moyoni mwako na ulienda kukizi haja za moyo wako tu mapenzi ni kitu kizuri, kama unahisi huwezi kumbebisha leave him alone atapata watakaomuweza.

Katafte type yako
 
1.tafuta type yako mkuu

2.Mapenzi ni hisia na ajali zingine zenye kuuteka moyo haraka.hivyo ni haki yake kudeka , mdekeze tu hata akiwa na 60+

3.kwenye mapenzi siku zote mwanaume ndiyo huwa kiongozi, kama mmependana kweli na si kimaslahi.
Kwa kulitambua hili huyo mwanamke kaamua kukupa thamani yako inayostahili , yaani uliongoze penzi lenu.

4.hujawahi kukutana na demu mwenye hela kukuzidi?
Lakini anadeka na kujishusha.

5.Date na wadada Walioko TRA, TPA, wenye nafasi kubwa kwenye mabenki kiufupi wasiokuwa na shida na pesa ndogo ndogo halafu utaniambia.

Ukiona mwanamke anataka hamsini kwa hamsini kwenye mapenzi Kaa naye mbali
 
Hapa kitaa kuna single mama ana watoto 4 watatu baba mmoja mmoja baba mwingine

Single maza huyu ana umri wa miaka 37 tu ni mjasiria mali. Kwa kuwa bado ni dogo dogo nikaona nimtie vokali niwe najipoozea kimtaa mtaa meshakubali

Na tayari nimemchakata. Ila chamgamoto niliyogundua bado anaendekeza mapenzi ya utoto ya kutaka kudekezwa dekezwa sms za mahaba simu za mara kwa mara kitu ambacho mimi kimenishinda.

Nafikiria kummwaga. Asanteni sana.View attachment 2905984
we relate aisee.

huyu wangu ana watoto wawili
ukikutana naye fulu stori za kujisfia financial prowess aliyonayo ila kwa vizinga vya apa na pale hajambo

nahisi ana chembe za uhaya uyu
 
Back
Top Bottom