Magwanda: Ishara ya Udikteta wa wanasiasa!

Ulitaka waje na suti za CCM??? Nyie si mlogoma kuja kwenye ,mdahalo??
 
kama mimi unaniona sina akili, punguani kwa sababu namuunga mkono Jk, jee wazee wako waliokulea wenye msimamo kama wangu unawaonaje?JK TULIA IKULU, TUMIKIA TAIFA LETU,JENGA NCHI NA WAHUDUMIE WANANCHI UTASHINDA KWA KISHINDO ZAIDI 88% , HAWA WATANI TUACHIE SISI
Hivi MS, serikali ya JK inakusadia vipi wewe? Umenufaika vipi na miaka 5 aliyotumikia 'inji' hii?
 
kama mimi unaniona sina akili, punguani kwa sababu namuunga mkono Jk, jee wazee wako waliokulea wenye msimamo kama wangu unawaonaje?JK TULIA IKULU, TUMIKIA TAIFA LETU,JENGA NCHI NA WAHUDUMIE WANANCHI UTASHINDA KWA KISHINDO ZAIDI 88% , HAWA WATANI TUACHIE SISI

Hapana, usijisshtukie, mi nimesema kama vile leo malaria yapo kichwani vile....uangalie usije kosea ukampgia kura DK wa Ukweli wa kusomea
 
Niliangalia na mwanangu ambae yupo std 6
hadi leo ananipa maswala ambayo hushindwa kujibu.
i) Uvaaji wa mgombea wa chadema Mrema. eti anamfananisha kama mpiganaji wa msituni anaedai uhuru, hii imemuathiri sana kijana wangu. kuvaa mavazi kama ya kijsehi ndio uzalendo?
kwanini wanasiasa wavae mavazi yanayofanana na majsehi husu wanaongalia wapo watoto. tunawafunza nini watoto wetu?
hadi leo ananiuliza tz yetu inaelekea wapi?

Pumba tupu babake.

Huyo mtoto wako nina wasiwasi kama atafaulu la Saba kama yuko la na hajui kinachoendelea Tanzania.
 
Niliangalia na mwanangu ambae yupo std 6
hadi leo ananipa maswala ambayo hushindwa kujibu.
i) Uvaaji wa mgombea wa chadema Mrema. eti anamfananisha kama mpiganaji wa msituni anaedai uhuru, hii imemuathiri sana kijana wangu. kuvaa mavazi kama ya kijsehi ndio uzalendo?
kwanini wanasiasa wavae mavazi yanayofanana na majsehi husu wanaongalia wapo watoto. tunawafunza nini watoto wetu?
hadi leo ananiuliza tz yetu inaelekea wapi?

Naona Ugonjwa wako wa malaria umemwambukiza pia mwanao pole
 
KAKIMBIA NINI? Mbona simsikii tena, kaenda kwa makamba atumwe cha kusema tena hapa jamvini eeeehhh
 
Nakuomba ukamuulize huyo mwanao, kwamba hao ccm wanaovaa nguo za kijani zinazofanana na askari (officers) au rangi ya majani...kwani wao wanafanya kazi za afisa wanyama pori? Kwani wao ni askari wa JWTZ? Huyo mtoto kamezeshwa sumu ya ccm nini?
 
Basi hilo toto halioni vema. Kwani wapiganaji gani wa msituni wanaovaa kama CHADEMA!!?
 
Maralia sugu kwa taarifa yako uhuru alisha ondoka nao nyerere kama unabisha jaribu kuhatarisha maslahi ya ss-m kama hujashitakiwa kwa kuiba mke wa mtu.
 
Niliangalia na mwanangu ambae yupo std 6
hadi leo ananipa maswala ambayo hushindwa kujibu.
i) Uvaaji wa mgombea wa chadema Mrema. eti anamfananisha kama mpiganaji wa msituni anaedai uhuru, hii imemuathiri sana kijana wangu. kuvaa mavazi kama ya kijsehi ndio uzalendo?
kwanini wanasiasa wavae mavazi yanayofanana na majsehi husu wanaongalia wapo watoto. tunawafunza nini watoto wetu?
hadi leo ananiuliza tz yetu inaelekea wapi?

Mwanao si chipukizi wa CCM mbona haulizi kwanini wanavaa magwanda ya kigeshigeshi??
 
Back
Top Bottom