Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Iko njema
At least hatujasikia mbwa kavalishwa magwada sio kama hizo t-shirts za CCM ambazo zimedharaulika mpaka hata mbwa siku hizi wanavalishwa
Magwanda ni ishara ya vita na ukomonisti. CHADEMA wakiingia madarakani watakuwa madikteta kama Hugo Chaves au Fidel Castro.
![]()
Hata Zitto Kabwe naye anavaa. Mpaka sasa asiyevaa haya ni Dr Slaa mnyenyekevu mtumishi wa Mungu
PM
Mavazi!!!!
Kwa kukusaidia kama hujui,kuvaa magwanda kwa chadema ni ishara kuwa mambo yako ovyo,hakuna raha ya mtu kuvaa suti ili hali watu ni maskini.Ni ishara ya masikitiko ,gwanda zinasimama kama nguo za kazi hata nyerere alivaa!Magwanda ni ishara ya vita na ukomonisti. CHADEMA wakiingia madarakani watakuwa madikteta kama Hugo Chaves au Fidel Castro.
![]()
Hata Zitto Kabwe naye anavaa. Mpaka sasa asiyevaa haya ni Dr Slaa mnyenyekevu mtumishi wa Mungu
PM