Magufuli yupo wapi

Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Jamaa sjamuona Magufuri wapi aliko siku zinaenda baki sk 13
 
Mnayedhani mzima ndiyo hivyo kalazwa hospitali tena za nchi za watu wengine!.

Tusijeshangaa kuletewa taarifa za "kuzima" kwa kukosa mafuta

Wiki hii wametangaaaaaza kuwa wangekuwa na Mzee Mkamba viwanja vya Mwembe yanga. Cha ajabu wakawepo wale vijana wa UVCCM wahuni na wenye midomo michafu iliyojaa mitusi mithiri ya choo cha shimo!!

Something is wrong with him. Muda haudanganyi ni lazima tu waumbuke hawa!,
 
mhhhhhhhhhhhhhh haya mambo ngoja waje wahusika.
 
CCM hawamlindi maana amewakacha. Sio ajabu wakamkolimblize
 
Magufuli anaumwa hii kutoka vyazo sahihi.....toka akiwa bagamoyo hali yake haikuwa Njema
 
Anauguzia misuli. Vile vile baada ya kuona mambo si mambo amesepa labda
 
Anajipanga atoroke kuja ukawa. Lowassa amemuhakikishia nafasi yake ya uwaziri wa ujenzi. Saizi yake katapila ikulu ni kwa mtu mwenye hekima na busara
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga
 
ilikuwa kidogo niweke thread kwa mara ya kwanza kwa swali ulilouliza!

Sisemi ni mgonjwa tunauliza yuko wapi?

Tunashukuru kwa kuhisi hombwe la Magufuri, mziki wa Magufuri hauna replacement mpaka sasa mpaka wananchi wanamtafuta kujua rais wao kaenda wapi ..yupo jamani na mzima wa afya
 
Tatizo alianza na mbio sana akijua ni uwanja mfupi, hakujua kuwa ni Marathon na mshindi anahitaji anza taratibu ili aweze shinda....
Alikurupuka sana

Ruti ndefu, pumzi fupi.. Lazima wakae! ✌✌✌
 
Wandugu mwenye kujua sababu ya kutokuonekana kwa huyu mgombea majukwaani kwa siku ya pili leo atujuze. Nimemiss mapush up

Kaishiwa pumzi. Si wanamtukana lowasa ni mgonjwa. Yeye yuko wapi sasa. Haijawai tokea...mapushap yamechoka...haaaa ccnm wanachekesha sana
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga
Yuko nairobi hospital hoi.

swissme
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom