Magufuli yupo wapi

Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga
MMMM!! Hapa kuna shida, Haya akipona aje kwenye mpambano.
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga
Mkapa si wamemzomea leo Sumbawanga.
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga

Ha ha haaaaaa!!
 
Tinga tinga ni cartoon za watoto...on a mnavyomdhalilisha meneja miradi wenu wa ujenzi. Ngoja Raisi aje..EL
 
Majimbo matatu uchaguzi umesogezwa mbele, Hatutaki na Urais iwe hivyo' maana hapa nawaza kama Mtikila nae angekua mgombea?
 
Tinga tinga ni cartoon za watoto...on a mnavyomdhalilisha meneja miradi wenu wa ujenzi. Ngoja Raisi aje..EL
Mkuu, kama wewe hujui nini maana ya Tingatinga basi utakuwa na utindio wa ubongo
 
Nyie bado mko kwenye kampeni? Mwenzenu anaandaa baraza lake la mawaziri sasa. Tumeshafunga mahesabu
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga

bora mwenyekiti aje atupe majibu ya richmond na escro bila kusahau mitambo ya gesi ambayo tumesikia ni mali ya mtu binafsi tunahitaji kumfahamu pia
 
Unahitaji mazoezi ya kutosha ili kupiga push up na ubaki salama
 
Hii kasi ya Lowassa lazima atulie avute pumzi kwanza.
Ila ameshaona kuwa hashindi,ameona anapoteza muda tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom