Labda tuone Ratiba yake inasemaje
mkuu jana alitakiwa awe mwembeyanga na matangazo yakutosha ila hakufanya mkutano
Ngoja niitafute tuone maana anaweza kuwa kagoma
tetesi kalazwa nairobi. Kichaa kimepanda
pamoja mkuu
Nimeona Ratiba ni tofauti na ilivyotakiwa kuwa, ila nahisi Magufuli kapotea kweli maana haiwezekani ajifiche kwa siku 2
kuna na kitu hapa ngoja tusubiri
Lijamaa linavyopenda sifa sidhani kama litakuwa limepumzika tu, lazima atakuwa kanock
Jidu ungeanza kuuliza babu duni kapotelea wapi.wiki ya tatu hii haonekani
mkuu hapa Mungu anazidi kuwa wa ajabu
VIVA UKAWA!!!
Magufuli yupo ngangari
Tatizo alianza na mbio sana akijua ni uwanja mfupi, hakujua kuwa ni Marathon na mshindi anahitaji anza taratibu ili aweze shinda....
Alikurupuka sana