Magufuli yupo wapi

Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Zile push up alijitegua kiuno ------ anashindwa kunyenyuka we are waiting for burial bitch! Tcra are angry go to bell men
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga

Hahaaaa..huyo mkwere wa maisha bora atatia aibu watu wana hasira na ccm koz of him..labda lodilofa ajaribu bahati yake ila tu acipanik..koz watu wafupi wana matatzo kweli
 
Habari wana jamvi? nilikuwa naitaji kujua alipo mgombea wa ccm bwana john pombe magufuri alipo maana sasa yapata siku mbili hakuna habari ya huyu mgombea akijinadi kama mwenzake mh lowasa. mwenye kujua huyu bwana alipo anijuze. yuko wapi pombe?
 
Ngoja waje kujibu na mie nipate pakuanzia
 
Wewe Lizaboni acha Kupotosha watu....Magufuri yupo jijini Nairobi kwa Matibabu....Yale Mapushup yameshtua NA Kutibua Ugonjwa wake Wa moyo....
 
Kuna mambo ya kimkakati yalikuwa yanakamilishwa. Katikati ya wiki ijayo atakuwa Zanzibar kufunga kazi. Pia akina Ben Mkapa na Kikwete wanaanza ziara za kuzunguka nchi nzima kumnadi Tingatinga

Wewe Lizaboni acha Kupotosha watu....Magufuri yupo jijini Nairobi kwa Matibabu....Yale Mapushup yameshtua NA Kutibua Ugonjwa wake Wa moyo....
 
Wandugu mwenye kujua sababu ya kutokuonekana kwa huyu mgombea majukwaani kwa siku ya pili leo atujuze. Nimemiss mapush up

Anapanga baraza la mawaziri. kajihakikishia ushindi
 
Mh. Dr. Magufuli itakuwa amepumzika mahali tu. Lazima awe na fatigue kwa sababu wanamponza sana Mheshimiwa kwa kumwambia ongea masaa mengi kumkebehi anaeongea dakika 15, piga push up na viringisha mikono kuonesha kuwa mabadiliko hayawezi kuja hata uviringishe lisaa.

Wajifunze kutomchosha mgombea, kuongea tu ni kazi kubwa sana uchanganye na safari ya kusafiri kila siku.

"Hata kwa tunguli haiwezekani kutangua alichokipanga Mwenyenzi Mungu"
 
Maskini kufuli wa watu walimuonea bure kumpa mzigo asiouweza, sasa anapata tabu, tumuombeeni watz kwani bado tutamuhitaji kwenye serikali ya ukawa aweze tupatia statistic ya kms za kufumua....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom