Magufuli yupo wapi

Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Kwasiku 2. sasa sijaona ripoti ya kampeni ya ndugu Magufuli kwenye vyombo vya habari.amepotelea wapi?

Tupo tangu kale, CCM ile ile, wapinzani tupa kule...Maghufuli-#jembe-#jembe-,-#CCM-namba moja, naipenda mwenzio...
 
ilikuwa kidogo niweke thread kwa mara ya kwanza kwa swali ulilouliza!

Sisemi ni mgonjwa tunauliza yuko wapi?
 
Anapumzika apate nguvu mpya ya kumalizia ngwe ya mwisho.
 
Amepumzika,kwani kampeni lazima awepo yeye kila siku? Hapa ni kujipanga na kuchukua pumzi ya kumalizia wiki ya mwisho.....
 
nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kupitia vituo mbalimbali tangu jana tarehe 10/10 nimeona zinarushwa za Edward Lowassa, Samia Suluhu, Maalim Seif, Babu Duni na Dr Shein. Wadau kwa anayejua Magufuli yupo wapi atujuze.........
 
Kuna thread ilianzishwa kama tetesi kuwa kalazwa Nairobi ila mods wameiondoa fasta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom