Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Wazazi msifuate ushauri wa JPM!Huyu ni Rais,hata mtoto wake asiposoma hatashinda njaa mpaka anaingia kaburini!Sasa wewe sijui mwalimu,jifanye nunda umsusie mwanao kisa kapata ujauzito!Mtasota wote,msiwaige hao matajiri!Hawategemei elimu kama ninyi makapuku!Za kuambiwa changanya na zako
Serikali pia haijawasusia ndio maana inatoa ruzuku huko CLINIC wakasome huko.
 
Umeandika pumba tu baada ya kutafakari chanzo ni mini unakimbilia kulaumu upande mmoja tu.
 
Kwakweli inakera kuletewa mjukuu badala ya cheti.mjukuu yupo tu.
 
Nawaza tu uzi huu ungesomekaje kama wanaume nao wangekuwa wanapata ujauzito!!!!! LoL
 
Wazazi msifuate ushauri wa JPM!Huyu ni Rais,hata mtoto wake asiposoma hatashinda njaa mpaka anaingia kaburini!Sasa wewe sijui mwalimu,jifanye nunda umsusie mwanao kisa kapata ujauzito!Mtasota wote,msiwaige hao matajiri!Hawategemei elimu kama ninyi makapuku!Za kuambiwa changanya na zako
Jitahidi mwanao asipate mimba.
 
Huna akili ya maisha!Ukikua utaacha!Subiri Magu aseme wewe ushangilie!Hata kesho akibadili uamuzi utashangilia,ndio akili zenu hizo za kuendea chooni!

hakuna mahali niliposhangilia, ila nime support alichosema 100% weka hoja kinzani hapa na usikimbilie kutukana

kama umempa mimba mwanafunzi, unaenda jela aka 30, usisahau pia

mwanafunzi ana mtoto, mwalimu hajazaa!!
 
Tatizo ni akili ndogo zisizo na ufahamu zinajadili mambo yanayozizidi! Watu wanashabikia mabinti kuzuiwa kupata elimu bila kuangalia athari zake!

u got it wrong

msimamo wa magu umetokana na elimu bure, akipata mimba jiandae kamsomeshe private mkuu!!! hajakataza eti wasisome kabisa!!
 
Tatizo ni kwamba hatuelewani.

Alafu kwani aliyekwambia wanapata mimba kwa ruhusa ya kuendelea na masomo ni nani???

Mimba za watoto wetu hatutaweza kuzizuia kama hatujaanza kung' oa mizizi.

Ufukara ni moja kati ya sababu

Ujinga wa jamii nzima ni moja kati ya sababu. Hii ya ujinga ni sababu kubwa. Tena nyie mnashabikia ili ujinga uendeleee. Hakika nakuambia, kama hatutampa elimu mama, sahau hili janga kuisha.

Ubakaji ni sababu ya tatu.

Sababu nyingine ni mabadiliko ya mwili. Mwanamke akisha vunja ungo, mwili una stimulate. Yaani unakua tayari kwaajili ya reproduction. Sasa kuweza kuushinda huo mwili, inahitaji busara.

Foolish age. Hapa napo ndo pabaya. Ukiongeza na careless ya jamii zetu ndo usiseme.

Hizi sababu ndo ilitakiwa mkuu au kiongozi wa nchi, aaanze kuzifanyia kazi.

Chaajabu nyie watu waajabu, mnashabikia jamii kukosa elimu.

Kweli tz tumeingiliwa

uko mule mule

1.kubakwa ni criminal, akitoa taarifa akafanyiwa checkup na kuthibitika alibakwa, huyo anaendelea na shule, msijifanye kama magu hana akili hiyo....

2.ufukura sio sababu ya kupata mimba, hata malaya wanaojiuza mitaani wanatoa sababu hiyo!! asilimoa 90 ya raia ni fukara, mbona wote basi hawapati mimba?? na lini tutakuwa matajiri?

3. waliowapa mimba ni akina nani? mtoto hajui? hao ndio wamsomeshe private ba ikiwesekana wafilisiwe na kuwelwa jela


msimamo wa rais utapelekea kukaza uzi kwa wanaowapa mimba!! wawe tayari kuwasomedha private

msimamo unasimama wima!!
 
u got it wrong

msimamo wa magu umetokana na elimu bure, akipata mimba jiandae kamsomeshe private mkuu!!! hajakataza eti wasisome kabisa!!
Vichekesho vya mwaka! Kwahiyo kama isingekuwa elimu bure (ambayo sio bure) angeruhusu waendelee na masomo? Hoja zingine za ajabu kweli kweli! Hivi unafahamu kwamba wahanga wa haya mnayoyashangilia ni watoto (wenu ? wa walala hoi), wale wa vigogo watapata ujauzito watatoa, na wale ambao hawatatoa wakiishajifungua wataendelea na masomo kwenye shule za private ambazo ada mtawalipia nyie wenyewe walalai hoi kwa kodi zenu?
 
Mjinga ni wewe unayefikiria mimba zaid kuliko kufikiria mimba inapatikanaje..ukimwi je?? mtoto wa shule haruhusiwi ngono..period! ili asipate mimba na ukimwi..!

mpaka atakapoolewa!! jamii sasa ipambane kutokomoze gest bubu, watoto wafundishwe kukataa, kuwe na sungusungu ya mabinti wetu kutokuguswa!! if u take issue ya magu positively jamii inabidi iamke katika kuandaa mikakati hawa watoto wasiguswe
 
u got it wrong

msimamo wa magu umetokana na elimu bure, akipata mimba jiandae kamsomeshe private mkuu!!! hajakataza eti wasisome kabisa!!
Mbona mnajitoa ufahamu?Kama malaki ya wazazi walishindwa kugharamia shule za serikali,wataweza hizo za private?
Ni kwamba anajua kwa zuio lake,ni wacha he mno,labda 5% watamudu shule private!Hii haina tofauti na kuwanyima elimu!Tunatengeneza taifa la wajinga!
 
mpaka atakapoolewa!! jamii sasa ipambane kutokomoze gest bubu, watoto wafundishwe kukataa, kuwe na sungusungu ya mabinti wetu kutokuguswa!! if u take issue ya magu positively jamii inabidi iamke katika kuandaa mikakati hawa watoto wasiguswe
Na ikitokea wameguswa,wakalime!
 
uko mule mule

1.kubakwa ni criminal, akitoa taarifa akafanyiwa checkup na kuthibitika alibakwa, huyo anaendelea na shule, msijifanye kama magu hana akili hiyo....

2.ufukura sio sababu ya kupata mimba, hata malaya wanaojiuza mitaani wanatoa sababu hiyo!! asilimoa 90 ya raia ni fukara, mbona wote basi hawapati mimba?? na lini tutakuwa matajiri?

3. waliowapa mimba ni akina nani? mtoto hajui? hao ndio wamsomeshe private ba ikiwesekana wafilisiwe na kuwelwa jela


msimamo wa rais utapelekea kukaza uzi kwa wanaowapa mimba!! wawe tayari kuwasomedha private

msimamo unasimama wima!!
Ndio maana tunasema tunahangaika na akili ndogo hapa. Sheria inasema binti mwenye umri wa miaka 18 kushuka chini (ambao ndio wanafunzi) akifanya tendo la ngono anakuwa amebakwa. Sasa wewe unakuja na hoja zako za ajabu eti watafanyiwa checkup, huyo Rais ndiye atakuwa anafanya checkup?
 
Vichekesho vya mwaka! Kwahiyo kama isingekuwa elimu bure (ambayo sio bure) angeruhusu waendelee na masomo? Hoja zingine za ajabu kweli kweli! Hivi unafahamu kwamba wahanga wa haya mnayoyashangilia ni watoto (wenu ? wa walala hoi), wale wa vigogo watapata ujauzito watatoa, na wale ambao hawatatoa wakiishajifungua wataendelea na masomo kwenye shule za private ambazo ada mtawalipia nyie wenyewe walalai hoi kwa kodi zenu?

ukiisha jiona mlala hoi, jua una wajibu mkubwa wa kumlea na kumtunza mtoto wako kuwa asipate mimba maana elimu ni lulu!!

kwa sisi walalahoi tunatakiwa kufanya hivyo
 
--- Eti wanadai ni haki ya mtu kupata elimu kwa maana kuwa na elimu ndio silaha ya kwanza ya kupambana na umasikini. Hiyo ni sawa. Lakini haki ni lazima iendane na wajibu (to get your Rights you should behave responsibly)

Ase! Hivi si viroba siku hizi hakuna au mnatumia gongo?
Bandugu hapa tunazumgumzia Mtoto na si makurubembe yaliyovuka 18yrs. Kwa hiyo unapotoka povu uwe unaelewa msingi wa hoja.
 
ukiisha jiona mlala hoi, jua una wajibu mkubwa wa kumlea na kumtunza mtoto wako kuwa asipate mimba maana elimu ni lulu!!

kwa sisi walalahoi tunatakiwa kufanya hivyo
Wajibu wa kutembea nae mgongoni?
 
Ndio maana tunasema tunahangaika na akili ndogo hapa. Sheria inasema binti mwenye umri wa miaka 18 kushuka chini (ambao ndio wanafunzi) akifanya tendo la ngono anakuwa amebakwa. Sasa wewe unakuja na hoja zako za ajabu eti watafanyiwa checkup, huyo Rais ndiye atakuwa anafanya checkup?

hujaelewa mtu akibakwa anatakiwa atoe taarifa polisi!! Dr. anatakiwa atoe confirmation ya kuwa kabakwa huyo hana shida!!


ukiandika kejeli au matusi hayabadili kauli ya rais!! utakosa raha ya Idd bure!

ha ha ha
 
Back
Top Bottom