Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Huku ni kupoteza taifa mkuu na kujenga dhana ya wanafunzi kuendlea kufnya mambo ya ajabu kak lkn endapo mwanafunzi ataelewa kua nikipata mimba elimu ndo basii.....am sure atakua more than care kaka....lkn kusema kua wapate mimbaa warud shule bac htaa ilee care ya wazaz haitukuwepo tenah coz wanajuaa atarud lkn.....mwanafunz anayejitambuaa ...jielewaa ....nakujuaa thamni ya utu wake....atasoma kwa malengo na nia kubwa huku akiwa makin...kukwepaa hloo la mimbaa....mkuu
Unadhani hilo ndio litazuia mimba kwa 100%?Mbona kuna adhabu kali ya miaka 30 kutembea na watoto chini ya miaka 18?Je,ubakaji umeisha?Kila siku si wanafungwa ila bado kuna watu wanatenda!
Nasema,tatizo hilo haliwezi kwisha kwa 100%,sana sana tunaweza punguza tu!
Hao wachache watakaopata ujauzito,tuwatelekeze ili wenzao waogope,sivyo???Huo utakuwa ni ujinga!
 
Mkuu nusu hela, ulitaka rais asimame majukwaani atangaze kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa? Wewe binafsi ungemuelewaje? Dunia ingemuelewaje? Na kama akitangaza kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa, madhara yake ni makubwa kuliko hili la kuzuia. Tafakari kidogo mkuu

Hatakiwi atangaze ngono ni ruksa,vile vile hatakiwi atangaze nai yake ya kuwabagua na kuwanyanyasa watoto waliopata mimba wakiwa shuleni,kama kiongozi angelikuja na kauli thabiti yenye busara

Kauli yake inakaribisha unyanyasaji wakijinsia,utowaji holela wa mimba,umasikini unaolenga kikundi fulani cha watu,tabaka kwa wanaweke,umasikini wa akili kwa kikundi fulani cha akina dada,Kwa vile mama ni mlezi wa mtoto hii itatengeneza taifa la watu wajinga.........etc

Tanzania sio nchi ya mwanzo kuwa na tatizo kama hili aige nchi nyengine zinafanya nini kutatua hili tatizo,Kiongozi bora ni yule anaekuja na njia mbadala ya kitatua jambo fulani sio kila kitu kitu kinatatuliwa kwa adhabu
 
Mkuu sorry for offensive words i spurted out.lakin mkuuu wataka raisi aseme nini??
aseme wanafunzi wa kike wote mliopata mimba rudini shule,
aseme wote mkipata mimba kwangu bakini shule hamna shida elimu bure??
Toa kauli ambayo raisi aseme ,??? I recall back in schoolihood,during kikwete thronedom,kuna wadada watatu walirudishwa school,yo know what aftermaths??division zero at the end of day!!!
Why?? Gals want ride bike and bughatti simultaneously on the same lane.
Kila jambo sio la kulitoa kauri kwenye majukwaa. Mambo kama haya ni ya kutafuta mzizi ulipo ili kuung'oa. Ni bora mtoto aliyepata mimba kulilia kurudi shule, maana akikomboka yeye, vizazi vijavyo vimekomboka pia.

Tusitatue tatizo kwa kulikimbia.

Wenzetu wanatamani kila mmoja angepata elimu kama wangekua na muda, sisi tunataka kwenye matatizo wasipate elimu.

Note: sishabikii wanafunzi kupata mimba. Ila nataka waliozaa wasikatishiwe masomo. Kama ni adhabu, basi itafutwe mbadala lakini sio kumnyima elimu
 
Ulitakiwa ujiulize swali hili la mwisho kabla ya kuunga mkono. Kama hujui hapo ndio mjadala umefungwa. Ungekuwa na utulivu kichwani kabla ya kushangilia hili, ungejiuliza ni kwanini mkuu ameibuka na tamko hili sasa.

Ni hivi, kwa miaka mingi tu tumekuwa na sheria inayoelekeza kuwa mwanafunzi akipata ujauzito haruhusiwi kuendelea na masomo. Pia, sheria kwamba kufanya ngono na mtoto wa chini ya miaka 18 ni ubakaji imekuwa ikienda sambamba ambapo wanaowapa mimba hao mabinti wamekuwa wakifikishwa mahakamani na inapothibitika mahakamani, with no doubt wanapigwa mvua 30.

Lakini pamoja na sheria hizo, imekuja kubainika kwamba kumekuwepo na ongezeko kubwa na idadi ya wanafunzi wanaopata ujauzito na kuacha shule kama sheria inavyoelekeza. Na hapa uelewe kwamba tamko la Rais sio jipya maana kuna sheria inayowazuia wanafunzi kuendelea na masomo wakipata mimba na sheria hiyo inaendelea kutekelezwa.

Sasa baada ya kuonekana sheria haisaidii kitu ndipo wadau wenye wisdom wakaona kuna hatari ya kutengeneza kundi kubwa la wajinga katika nchi hii. Kama binti atazuiwa kuendelea na masomo ataenda kuwa mjinga, mtoto naye kuna uwezekano mkubwa wa kukosa elimu, na wajukuu vile vile. Wengine wakawa na hoja kwamba elimu ni haki ya msingi na haipaswi kuzuiwa kwa namna yoyote ile na ndio maana kuna watu wanasoma wakiwa magerezani; nakadhalika.

Tayari serikali iliishaunga mkono hoja hizo, na ndio maana CCM wenyewe waliweka kwenye Ilani yao kwamba kama wangeingia madarakani wangeruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea na masomo baada ya kujifungua. Aidha, ndio maana mama Samia mara kadhaa amesikika akisema serikali iko katika mchakato wa kuruhusu. Waziri wa Afya dada Ummy naye amesikika mara kadhaa akilisema hilo.

asante mkuu, ushauri unataka nini kifanyike kwa situation hii?
 
Hatakiwi atangaze ngono ni ruksa,vile vile hatakiwi atangaze nai yake ya kuwabagua na kuwanyanyasa watoto waliopata mimba wakiwa shuleni,kama kiongozi angelikuja na kauli thabiti yenye busara

Kauli yake inakaribisha unyanyasaji wakijinsia,utowaji holela wa mimba,umasikini unaolenga kikundi fulani cha watu,tabaka kwa wanaweke,umasikini wa akili kwa kikundi fulani cha akina dada,Kwa vile mama ni mlezi wa mtoto hii itatengeneza taifa la watu wajinga.........etc

Tanzania sio nchi ya mwanzo kuwa na tatizo kama hili aige nchi nyengine zinafanya nini kutatua hili tatizo,Kiongozi bora ni yule anaekuja na njia mbadala ya kitatua jambo fulani sio kila kitu kitu kinatatuliwa kwa adhabu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie watu wa gender mumeweza mengi na mumeharibu mengi vilevile
 
Nchi sio familia ndugu yangu.
Nchi haiongozwi kwa hisia, inaongozwa kwa umakini na kutumia akili nyingi.

Hebu jiulize, ni lini wanafunzi waliozaa walisomeshwa na serikali?????

Kama jibu ni hakuna, basi kauri hiyo ni mbaya sana maana inalenga kuwatenga na kuwanyanyapaa watoto wanaopata mimba.

Unajua madhara yake??
Tutazika sana watoto waliokua wakijaribu kutoa mimba ili aibu hiyo isiwakute

Tutasikia matukio mengi ya kujiua kwa watoto waliopata mimba

Suala la mimba kwa watoto, linasababishwa na mambo mengi. Hayo mambo ndo ilitakiwa tupambane nayo. Kumbuka kutompa elimu mama mmoja, ni kutoipa elimu jamii nzima

Busara kwenye uongozi ni kitu cha muhimu sana
Hv kama kumpa elimu mwanamke ni kuelimisha jamii nzima, je kumpa elimu mwanaume ni kufanyaje?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie watu wa gender mumeweza mengi na mumeharibu mengi vilevile
Mkuu katika utafiti wangu watanzania IQ zetu ndogo sana,uwezo wetu wa kufikiri mdogo,maamuzi yetu ni ya muda mfupi sio ya muda mrefu,tuna maamuzi ya pupa na ndio maana hamna kitu cha kuendelea, utasikia wanasiasa au polisi au halmashauri wametangaza sheria au tangazo litafanyiwa kazi siku mbili baada ya wiki husikii au huoni tena ile sheria kutekelezwa,huo ndio ukweli
 
Matamko mengi yanakuwa yanawahusu na kuwakandamiza walalahoi pekee wanaotegemea huruma za umma..

Kwa mabwenyenye na wenye kipato cha kati haya matamko yanakuwa hayana athari hata chembe kwani wao tayari walikwisha jikwamua na hawategemei shule za kata wala huduma za serikali kwa kiasi kikubwa.
 
Hv kama kumpa elimu mwanamke ni kuelimisha jamii nzima, je kumpa elimu mwanaume ni kufanyaje?
Kumpa elimu mwanaume ni kukataza watoto waliozaa, wasipate elimu. Hahaaaaa hapa natania.

Tunaposema kumpa elimu mwanamke ni kuelimisha jamii nzima. Tunamaanisha kuwa wanawake ndio walezi wa jamii. Yaani mimi na wewe tumelelewa na wanawake. Na kila mtoto analelewa na mama.
Kumbuka, watoto tuna adopt yale tunayoyaona yanayendeka mbele ya macho yetu. Hivyo basi, ukimuelimisha mwanamke, atakuelimisha wewe anayekulea. Wewe na mimi, ndiyo jamii yenyewe inayozungumziwa
 
I like huu Mfano wa ARV.
Kwamba watoto wakifanya ngono na kupata mimba tunakuwa hatuwezi kuwalipia shuleni kwa uzembe wao, Ila wazazi wao wakifanya na kupata ukimwi, pesa za kununulia dawa za ARVs Zipo!!
ARV'S zinapunguza pia uwezekano wa maambukizi mapya.Ugonjwa wa cholera nao Serikali inagharamia kwa sababu usipodhibitiwa huenea haraka kwenye jamii.
Je mimba za mashuleni Nazo zitaongezeka haraka Serikali isipowarudisha hao watoto mashuleni?Mimi nadhani zitapungua.
 
Matamko mengi yanakuwa yanawahusu na kuwakandamiza walalahoi pekee wanaotegemea huruma za umma..

Kwa mabwenyenye na wenye kipato cha kati haya matamko yanakuwa hayana athari hata chembe kwani wao tayari walikwisha jikwamua na hawategemei shule za kata wala huduma za serikali kwa kiasi kikubwa.
Mkuu,kama una family and you are hefty and confident poppa, lazme useme asiesoma ci mwanangu,,tena unatamka kabisa mbele ya watoto talk apparently bro..unajua maana yake for children mindset???je ni kwel hawatakua watoto wako...headship talks are quite different from casual one bro
 
Tusipotoshe umma ktk kujadili kauli ya Mh rais juu ya mtoto wa kike aidha kurudi shule au laah!baada ya kujifungua ....hapo lazima tukubali kuwa kisheria na kiutaratibu haki ya mcngi na kikatiba ya mtoto wakike itakuwa imefinywa lkn vilevile tukubali kuwa unapopindisha sheria unaumiza kundi kubwa ....Sasa naomba kuchangia kama ifuatavyo nilivyomwelewa mkuu wa nchi....Nikuwa ukipata mimba unapoteza haki zako za mcngi za kusomeshwa na serikali Ila hauzuiliwi kwenda kuitafuta elimu kwa gharama zako hapo nikimaanisha Mzazi au mlezi wako itabidi kuingia gharama yy na sio serikali ...Jamni tukumbuke kuwa utawala huu umechukua jukumu la kuwasomesha watoto wote primary hadi kidato cha nne ,sasa MTU anapokulipia ada lazima akupe masharti tutofautishe Kidogo kipindi cha mzee wa msoga aliweka mazingira ya mtoto wa kike kurudi shule baada ya kujifungua kwani ada walikuwa wanajilipia kwa hayo mazingira ilikuwa cyo rahic kuisimamia hyo sheria..... kupata mimba cyo mwisho wa kusoma Ila kupata mimba ni mwisho wa kulipiwa gharama za ada na serikali kwa maana nyingne nikujitoa kwenye mfumo rasmi wa serikali Ila maisha mengine lazma yaendelee...Kwa hyo tusipotoshe kauli ya Mzee..... vile vle tuangalie mtoto wa kike kapata mimba ktk mazingira gani....
1.Kabakwa?????
2.Kwa raha zake!!!!!
Kama kabakwa na Vyombo vya sheria vikathibitisha huyu mtoto anastahiki kusomeshwa kwenye mfumo rasmi wa serikali..
Kwa kupenda au kushawishika huyu akatafute shule yke ....Lazima tucmamie sheria .....Angalizo rushwa itaota mizizi huko vijijini kuwalinda wajazaji mimba kesi hazitafika mahakamani serikali na taasisi binafsi zicmamie sheria na jamii tushirikiane kumlinda huyu mtoto wa kike kama tuvyoshirikiana kwenye kumpiga mwizi.... Tudumishe maadili mtoto wamwenzio ni mtoto wako.....
 
Nchi sio fammkono utndugu yangu.
Nchi haiongozwi kwa hisia, inaongozwa kwa umakini na kutumia akili nyingi.

Hebu jiulize, ni lini wanafunzi waliozaa walisomeshwa na serikali?????

Kama jibu ni hakuna, basi kauri hiyo ni mbaya sana maana inalenga kuwatenga na kuwanyanyapaa watoto wanaopata mimba.

Unajua madhara yake??
Tutazika sana watoto waliokua wakijaribu kutoa mimba ili aibu hiyo isiwakute

Tutasikia matukio mengi ya kujiua kwa watoto waliopata mimba

Suala la mimba kwa watoto, linasababishwa na mambo mengi. Hayo mambo ndo ilitakiwa tupambane nayo. Kumbuka kutompa elimu mama mmoja, ni kutoipa elimu jamii nzima

Busara kwenye uongozi ni kitu cha muhimu sana
Kaka/Dada hawajielewi hawa, kwao kila analosema rais wanaunga mkono utafikiri hawana vichwa.
 
View attachment 530269

--- Kama umasikini ndio chanzo cha kupata mimba kwa wanafunzi wa kike, kwanini shule nzima wasiwe na mimba? Kama umbali wote wanatoka mbali na wanaishi katika mazingira yanayofanana.

--- Eti wanadai ni haki ya mtu kupata elimu kwa maana kuwa na elimu ndio silaha ya kwanza ya kupambana na umasikini. Hiyo ni sawa. Lakini haki ni lazima iendane na wajibu (to get your Rights you should behave responsibly)

--- Wengine wanadai eti serikali ndiyo ya kulaumiwa kwa maadili mabovu kwa maana wao ndio wametufikisha hapa kwa miaka 50 ya utawala wao. Ninasema hapana. Serikali haiwezi kuja nyumbani kwako ikakwambia baba na mama flani sasa zimeni TV ili mtoto wenu aache kuangalia cartoons afanye homework yake. Huo ni mfano tu juu gani ya wazazi wanapaswa kutimiza wajibu wao katika maadili ya watoto.

Huku uswahilini ninapokaa sio jambo la kushangaza kukutana na mtoto wa kike darasa hata la 3 usiku wa 4 eti ametoka kwende kibanda kuangalia movie. Hivi binti kama huyu akibakwa na kupata mimba (achilia mbali magonjwa mengine) italaumiwa serikali? Let's be serious guys.

JPM stay focused. Wewe ni mazazi unayejitambua sana.

Mwenye macho na asome.

Nimemaliza.

View attachment 530265
Hatutaki Machadema yatuletee mmomonyoko wa maadili.
 
KNOWLEDGE is knowing what to say but WISDOM is knowing how and when to say it. Bwana mkubwa has non of the capitalized.

How can we measure your wisdom? are you part of those who believe in God,and do you obey him?
 
Back
Top Bottom