Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

kwa hiyo ukinitukana au kukasirika JPM atabadili kauli? umemshindwa Magufuli naona hasira zako unazimalizia hapa

kwani umepewa mimba?
Huna akili ya maisha!Ukikua utaacha!Subiri Magu aseme wewe ushangilie!Hata kesho akibadili uamuzi utashangilia,ndio akili zenu hizo za kuendea chooni!
 
Mkuu nusu hela, ulitaka rais asimame majukwaani atangaze kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa? Wewe binafsi ungemuelewaje? Dunia ingemuelewaje? Na kama akitangaza kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa, madhara yake ni makubwa kuliko hili la kuzuia. Tafakari kidogo mkuu
Anazuia kwani iliishawahi kuruhusiwa? Ni hivi: tunayo sheria inayozuia wanafunzi wanaopewa ujauzito kuendelea na masomo. Na tuna sheria pia inayoelekeza kuwa mtu yeyote anayefanya ngono na binti mwenye umri wa miaka 18 na kushuka chini (ndio hao binti zetu wanafunzi) anakuwa anatenda kosa la kubaka. Tafsiri yake ni kwamba mabinti zetu hubakwa ndipo wanapata ujauzito.

Takwimu zilizopo za idadi ya wanafunzi wanaopata ujauzito wakiwa shuleni zinatisha. Hii ni pamoja na kuwepo kwa sheria hii. Kinachofikirisha ni kama haya yote, kwa maana ya sheria hizi zinatekelezwa kama kulikuwa na ulazima wa mkuu wa nchi kutoka mbele ya hadhara kutoa maneno makali kama hayo aliyoyatoa. Alikuwa anakazia sheria au alikusudia nini?

Kibaya zaidi kuna mambo haya: kwanza, Kwenye Ilani ya Uchaguzi aliyoitumia kuwaomba kura wananchi aliwaeleza kuwa mabinti watakaopewa ujauzito wakiwa shule serikali yake itawaruhusu kuendelea na masomo. Na ukumbuke walitamka haya kwenye kampeni wakati wizara ya elimu imeanza kutafakari namna ya kusaidia hawa mabinti kwa kuwa tayari imeishabainika sheria hazisaidii tena maana mimba zinazidi kuongezeka.

Pili, baada ya kuingia madarakani, makamu wake, Mama Suluhu amewaambia watanzania mara kadhaa kuwa serikali inaangalia namna ya kuwasaidia wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni ili waendelee na masomo (kutekeleza Ilani). Waziri wa Afya, dada Ummy naye mara kadhaa amesikika akizungumza lugha ile ile ya makamu wa Rais.

Sioni mantiki ya tamko la Rais kuanzia namna lilivyotolewa na iwapo lina faida yoyote. Wanaoshabikia tamko hili la Rais hawawezi kueleza ni faida gani tunapata kama taifa kutokana na kuzuia hawa mabinti kuendelea na masomo. Mkuu Mshua's naomba unipe faida moja tu ya kuzuia hawa mabinti kuendelea na masomo kwa kulinganisha na kuwaruhusu.
 
Wazazi msifuate ushauri wa JPM!Huyu ni Rais,hata mtoto wake asiposoma hatashinda njaa mpaka anaingia kaburini!Sasa wewe sijui mwalimu,jifanye nunda umsusie mwanao kisa kapata ujauzito!Mtasota wote,msiwaige hao matajiri!Hawategemei elimu kama ninyi makapuku!Za kuambiwa changanya na zako
.

Ila wew unaamini kuwa binti yako wa shule ya Msingi au Sekondari akipata mimba atapata shibe hata mwisho wa maisha yake,kwa ufahamu wako huo acha wengine tubaki makapuku tutaendelea kuungana na JPM kukataza ngono za utotoni na kumwomba MUNGU atupe marifa ya namna ya kuwaepusha binti zetu na uovu huo.
 
Tangu zamani ilishajulikana ukipata mimba, shule huna. iweje Rais atilie mkazo kwenye utawala wake Leo watu wengine Maneno yawatoke sana, utadhani ilikuwa labda ni ruksa sasa ndio kaanza yeye kukataza. Tangu muda ukipata mimba No SCHOOL ila watu walikuwa wanafanya ujanja ujanja tu ..
 
.

Ila wew unaamini kuwa binti yako wa shule ya Msingi au Sekondari akipata mimba atapata shibe hata mwisho wa maisha yake,kwa ufahamu wako huo acha wengine tubaki makapuku tutaendelea kuungana na JPM kukataza ngono za utotoni na kumwomba MUNGU atupe marifa ya namna ya kuwaepusha binti zetu na uovu huo.
Tatizo mnajitia ujinga!Nani kakwambia kumnyima mtoto elimu ndio umezuia mimba za utotoni???Mbona mnakuwa mnajitoa ufahamu kiasi hiki??
 
Anazuia kwani iliishawahi kuruhusiwa? Ni hivi: tunayo sheria inayozuia wanafunzi wanaopewa ujauzito kuendelea na masomo. Na tuna sheria pia inayoelekeza kuwa mtu yeyote anayefanya ngono na binti mwenye umri wa miaka 18 na kushuka chini (ndio hao binti zetu wanafunzi) anakuwa anatenda kosa la kubaka. Tafsiri yake ni kwamba mabinti zetu hubakwa ndipo wanapata ujauzito.

Takwimu zilizopo za idadi ya wanafunzi wanaopata ujauzito wakiwa shuleni zinatisha. Hii ni pamoja na kuwepo kwa sheria hii. Kinachofikirisha ni kama haya yote, kwa maana ya sheria hizi zinatekelezwa kama kulikuwa na ulazima wa mkuu wa nchi kutoka mbele ya hadhara kutoa maneno makali kama hayo aliyoyatoa. Alikuwa anakazia sheria au alikusudia nini?

Kibaya zaidi kuna mambo haya: kwanza, Kwenye Ilani ya Uchaguzi aliyoitumia kuwaomba kura wananchi aliwaeleza kuwa mabinti watakaopewa ujauzito wakiwa shule serikali yake itawaruhusu kuendelea na masomo. Na ukumbuke walitamka haya kwenye kampeni wakati wizara ya elimu imeanza kutafakari namna ya kusaidia hawa mabinti kwa kuwa tayari imeishabainika sheria hazisaidii tena maana mimba zinazidi kuongezeka.

Pili, baada ya kuingia madarakani, makamu wake, Mama Suluhu amewaambia watanzania mara kadhaa kuwa serikali inaangalia namna ya kuwasaidia wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni ili waendelee na masomo (kutekeleza Ilani). Waziri wa Afya, dada Ummy naye mara kadhaa amesikika akizungumza lugha ile ile ya makamu wa Rais.

Sioni mantiki ya tamko la Rais kuanzia namna lilivyotolewa na iwapo lina faida yoyote. Wanaoshabikia tamko hili la Rais hawawezi kueleza ni faida gani tunapata kama taifa kutokana na kuzuia hawa mabinti kuendelea na masomo. Mkuu Mshua's naomba unipe faida moja tu ya kuzuia hawa mabinti kuendelea na masomo kwa kulinganisha na kuwaruhusu.
kama unaweza andika yote haya halaf akili haiwez kuona faida..bora ubaki hvyo hvyo usijue faida.
 
Tatizo mnajitia ujinga!Nani kakwambia kumnyima mtoto elimu ndio umezuia mimba za utotoni???Mbona mnakuwa mnajitoa ufahamu kiasi hiki??
Mjinga ni wewe unayefikiria mimba zaid kuliko kufikiria mimba inapatikanaje..ukimwi je?? mtoto wa shule haruhusiwi ngono..period! ili asipate mimba na ukimwi..!
 
Kwahiyo huoni kuwa kumfanya awe mjinga huyo binti ndio itasababisha awe kwenye mazingira hatarishi zaidi ya kupata ukimwi na kuendelea kuzaa bila mpango?
 
KNOWLEDGE is knowing what to say but WISDOM is knowing how and when to say it. Bwana mkubwa has non of the capitalized.
 
Tatizo mnajitia ujinga!Nani kakwambia kumnyima mtoto elimu ndio umezuia mimba za utotoni???Mbona mnakuwa mnajitoa ufahamu kiasi hiki??
Tatizo ni akili ndogo zisizo na ufahamu zinajadili mambo yanayozizidi! Watu wanashabikia mabinti kuzuiwa kupata elimu bila kuangalia athari zake!
 
Kwahiyo risk ya kupata ukimwi ndio inapelekea hao mabinti wasipewe elimu?
Acha kupotosha, wasipewe elimu..kwani hawapewi?? mimba inapatikana kwa kufanya ngono, ukimwi pia..nashangaa mnashikilia kujadili matokeo badala ya kufikiria kile tamko linataka kutatua..mtoto hatakiwi afanye ngono! ili asipate ukimwi na amalize masomo yake vzr kwa ajili ya maisha yake na taifa kwa ujumla.
 
Wewe huna akili kabisa!Niligraduate degree na binti aliyepata ujauzito akiwa sekondary,sasa ana kazi nzuri serikalini!Nadhani alivyosikia kauli ya Rais alimdharau sana!
Hata dada yangu alipitia uzoefu huu na leo anamshukuru Mungu kwa wema wa waalimu waliomsaidia kumaliza masomo. Leo ni mwenye furaha sana na anamshangaa sana bwana mkubwa! Udhalimu una mwisho na mwisho huo uko karibu kuliko ilivyokuwa jana.
 
Mjinga ni wewe unayefikiria mimba zaid kuliko kufikiria mimba inapatikanaje..ukimwi je?? mtoto wa shule haruhusiwi ngono..period! ili asipate mimba na ukimwi..!
Nani kasema anaruhusiwa??Ikitokea amepata hiyo mimba??Ndio mwisho wa elimu!Tunakuwa tunatengeneza taifa la wajinga na pengine tegemezi!Tatizo mnafikiri ndani ya box,mnadhani kumnyima huyo mtoto elimu ndio mmemaliza tatizo la mimba mashuleni!!Hiyo ni akili fupi!!!!
Kwa mujibu wa sheria za nchi,mtoto chini ya miaka 18 anakuwa kabakwa!Sasa tunahukumu watoto waliobakwa kwa kiwanyima elimu!
Ujinga,period!
 
KNOWLEDGE is knowing what to say but WISDOM is knowing how and when to say it. Bwana mkubwa has non of the capitalized.
Apply your wisdom and knowledge at your home..bcs you dont know even where to get use of these.
 
Tatizo ni akili ndogo zisizo na ufahamu zinajadili mambo yanayozizidi! Watu wanashabikia mabinti kuzuiwa kupata elimu bila kuangalia athari zake!
Ndio hapo sasa!Halafu wanavyoshabikia hili jambo utadhani ndio suluhisho la kuzuia mimba!Yaani kwa akili zao wanaona hakutakuwa na mimba baada ya serikali kutangaza kuzuia wasisome!
 
Hata dada yangu alipitia uzoefu huu na leo anamshukuru Mungu kwa wema wa waalimu waliomsaidia kumaliza masomo. Leo ni mwenye furaha sana na anamshangaa sana bwana mkubwa! Udhalimu una mwisho na mwisho huo uko karibu kuliko ilivyokuwa jana.
Nitashangaa wanawake kumuumga mkono Magufuli!!Samia Suluhu sijui anajisikiaje huko aliko!
 
Nani kasema anaruhusiwa??Ikitokea amepata hiyo mimba??Ndio mwisho wa elimu!Tunakuwa tunatengeneza taifa la wajinga na pengine tegemezi!Tatizo mnafikiri ndani ya box,mnadhani kumnyima huyo mtoto elimu ndio mmemaliza tatizo la mimba mashuleni!!Hiyo ni akili fupi!!!!
Kwa mujibu wa sheria za nchi,mtoto chini ya miaka 18 anakuwa kabakwa!Sasa tunahukumu watoto waliobakwa kwa kiwanyima elimu!
Ujinga,period!
Mfumo wa elimu ya msingi na sekondari shule ina vyombo na kamati kuzuia na kuondoa changamoto zote wanazopata watoto, wabakaji hawatoki mbiguni ni miongoni mwa jamii shule ilipo..kama wazazi wana nia watoto wao wasome na kufaulu vyema kesi za ubakaji haziwezi kuwepo! tamko la Rais linaelekeza pia kila mmoja afanye wajibu wake ipasavyo, huwezi kukimbilia kurekebisha kosa badala ya kuzuia lisitokee!
 
Back
Top Bottom