Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Unaonaje tubadili sheria ili mtoto asiposema kuwa kabakwa usiwe ubakwaji!Watoto wengi hubakwa kwa kuwa wazazi wanashindwa ama hawana nia ya kuwadhibiti wasiende kuzurura baada ya saa 12 jioni. Wao pamoja na wazazi ndio wanatengeneza mazingira ya uhalifu wa ubakaji.
Anyways, wengi husema wamebakwa baadha ya kupata mambo mabaya, ila wasipopatwa na mabaya hukaa kimya na kurudia tena. Kubakwa gani huko?