Hawa watu sijui wamelishwa nini. Nadhani ni zaidi ya gongo!Ase! Hivi si viroba siku hizi hakuna au mnatumia gongo?
Bandugu hapa tunazumgumzia Mtoto na si makurubembe yaliyovuka 18yrs. Kwa hiyo unapotoka povu uwe unaelewa msingi wa hoja.
Hawa watu sijui wamelishwa nini. Nadhani ni zaidi ya gongo!Ase! Hivi si viroba siku hizi hakuna au mnatumia gongo?
Bandugu hapa tunazumgumzia Mtoto na si makurubembe yaliyovuka 18yrs. Kwa hiyo unapotoka povu uwe unaelewa msingi wa hoja.
evidence ni mimba!! kumbuka wakizaa wanaendelea na masomo, ila privateNa ikitokea wameguswa,wakalime!
Hoja unapewa ila huelewi!hakuna mahali niliposhangilia, ila nime support alichosema 100% weka hoja kinzani hapa na usikimbilie kutukana
kama umempa mimba mwanafunzi, unaenda jela aka 30, usisahau pia
mwanafunzi ana mtoto, mwalimu hajazaa!!
Hiyo sheria ndio kejeli? Ni kama mmekubali kujitoa akili kwa gharama mnayoijua wenyewe. Tumekwambia hii ni kwa mujibu wa sheria, kwamba ile tu kufanya ngono na binti wa umri wa chini ya miaka 18 unakuwa unabaka. Maana yake haijarishi umeripotiwa polisi wakati huo au la, lakini binti wa chini ya umri huo akipata ujauzito amekuwa ameupata kwa kubakwa. Hiyo ni kwa mujibu wa sheria. Sasa wewe unakuja na ngonjera zako ndio maana tunakuuliza kwa mtazamo wako uthibitisho kuwa binti kabakwa utafanywa na Rais ili iaminike, na sio kama sheria inavyosema?hujaelewa mtu akibakwa anatakiwa atoe taarifa polisi!! Dr. anatakiwa atoe confirmation ya kuwa kabakwa huyo hana shida!!
ukiandika kejeli au matusi hayabadili kauli ya rais!! utakosa raha ya Idd bure!
ha ha ha
Unawalipia wewe hizo gharama?evidence ni mimba!! kumbuka wakizaa wanaendelea na masomo, ila private
Wajibu wa kutembea nae mgongoni?
AhsanteeeeeMkuu nusu hela, ulitaka rais asimame majukwaani atangaze kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa? Wewe binafsi ungemuelewaje? Dunia ingemuelewaje? Na kama akitangaza kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa, madhara yake ni makubwa kuliko hili la kuzuia. Tafakari kidogo mkuu
Mtaondoa guest bubu, guest 'zinazoongea' zitaendelea kuwepo; vichaka vitaendelea kuwepo, magari yataendelea kuwepo (ngono hufanyika hata kwenye magari), madarasa yataendelea kuwepo, ofisi za walimu zitaendelea kuwepo; nakadhalika . Anyway, kwa hoja unazoweka hapa juu ya suala hili, ngoja nikuache tu maana uko chini sana! Endelea kuunga mkono...mpaka atakapoolewa!! jamii sasa ipambane kutokomoze gest bubu, watoto wafundishwe kukataa, kuwe na sungusungu ya mabinti wetu kutokuguswa!! if u take issue ya magu positively jamii inabidi iamke katika kuandaa mikakati hawa watoto wasiguswe
bado tuna Akili za kimasikini na tunafikiri kimaskini. hii siyo issue ya kulumbana kiasi hiki swala LA msingi utaratibu gani utumike ili binti aliyepata mimba aweze kujiendeleza kielimu baada ya kujifungua. kupata mimba, kulea mimba kujifungua na kulea mtoto katika umri wa shule tayari hiyo ni adhabu tosha.View attachment 530269
--- Kama umasikini ndio chanzo cha kupata mimba kwa wanafunzi wa kike, kwanini shule nzima wasiwe na mimba? Kama umbali wote wanatoka mbali na wanaishi katika mazingira yanayofanana.
--- Eti wanadai ni haki ya mtu kupata elimu kwa maana kuwa na elimu ndio silaha ya kwanza ya kupambana na umasikini. Hiyo ni sawa. Lakini haki ni lazima iendane na wajibu (to get your Rights you should behave responsibly)
--- Wengine wanadai eti serikali ndiyo ya kulaumiwa kwa maadili mabovu kwa maana wao ndio wametufikisha hapa kwa miaka 50 ya utawala wao. Ninasema hapana. Serikali haiwezi kuja nyumbani kwako ikakwambia baba na mama flani sasa zimeni TV ili mtoto wenu aache kuangalia cartoons afanye homework yake. Huo ni mfano tu juu gani ya wazazi wanapaswa kutimiza wajibu wao katika maadili ya watoto.
Huku uswahilini ninapokaa sio jambo la kushangaza kukutana na mtoto wa kike darasa hata la 3 usiku wa 4 eti ametoka kwende kibanda kuangalia movie. Hivi binti kama huyu akibakwa na kupata mimba (achilia mbali magonjwa mengine) italaumiwa serikali? Let's be serious guys.
JPM stay focused. Wewe ni mazazi unayejitambua sana.
Mwenye macho na asome.
Nimemaliza.
View attachment 530265
Anamimba huyuu,,, sioburekwa hiyo ukinitukana au kukasirika JPM atabadili kauli? umemshindwa Magufuli naona hasira zako unazimalizia hapa
kwani umepewa mimba?
Mzazi kama mm nitafuata huu ushaur,na nimemwambia my daugher if you are pluged in ,get tuned be offWazazi msifuate ushauri wa JPM!Huyu ni Rais,hata mtoto wake asiposoma hatashinda njaa mpaka anaingia kaburini!Sasa wewe sijui mwalimu,jifanye nunda umsusie mwanao kisa kapata ujauzito!Mtasota wote,msiwaige hao matajiri!Hawategemei elimu kama ninyi makapuku!Za kuambiwa changanya na zako
Ahsante sana.Upuuzi tu umekujaaa
Haya sawa,omba isitokee!Mzazi kama mm nitafuata huu ushaur,na nimemwambia my daugher if you are pluged in ,get tuned be off
Hiyo sheria ndio kejeli? Ni kama mmekubali kujitoa akili kwa gharama mnayoijua wenyewe. Tumekwambia hii ni kwa mujibu wa sheria, kwamba ile tu kufanya ngono na binti wa umri wa chini ya miaka 18 unakuwa unabaka. Maana yake haijarishi umeripotiwa polisi wakati huo au la, lakini binti wa chini ya umri huo akipata ujauzito amekuwa ameupata kwa kubakwa. Hiyo ni kwa mujibu wa sheria. Sasa wewe unakuja na ngonjera zako ndio maana tunakuuliza kwa mtazamo wako uthibitisho kuwa binti kabakwa utafanywa na Rais ili iaminike, na sio kama sheria inavyosema?
sheria inasema akifanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 18 ni kama ana baka!Kama Mwanafunzi aliyepata ujauzito haruhusiwi kuendelea na masomo kuna sababu gani ya kumfunga miaka 30 aliyempa ujauzito?-mtoa mada naomba unijibu hili swali
Achaa ujinga wakushawishi vjana kuchukulia ngono kama mtaja,,,, kama tabia yako ni kutoka na vibint hivyo,,,, kata mguuNani kasema anaruhusiwa??Ikitokea amepata hiyo mimba??Ndio mwisho wa elimu!Tunakuwa tunatengeneza taifa la wajinga na pengine tegemezi!Tatizo mnafikiri ndani ya box,mnadhani kumnyima huyo mtoto elimu ndio mmemaliza tatizo la mimba mashuleni!!Hiyo ni akili fupi!!!!
Kwa mujibu wa sheria za nchi,mtoto chini ya miaka 18 anakuwa kabakwa!Sasa tunahukumu watoto waliobakwa kwa kiwanyima elimu!
Ujinga,period!
Huku ni kupoteza taifa mkuu na kujenga dhana ya wanafunzi kuendlea kufnya mambo ya ajabu kak lkn endapo mwanafunzi ataelewa kua nikipata mimba elimu ndo basii.....am sure atakua more than care kaka....lkn kusema kua wapate mimbaa warud shule bac htaa ilee care ya wazaz haitukuwepo tenah coz wanajuaa atarud lkn.....mwanafunz anayejitambuaa ...jielewaa ....nakujuaa thamni ya utu wake....atasoma kwa malengo na nia kubwa huku akiwa makin...kukwepaa hloo la mimbaa....mkuuWazazi msifuate ushauri wa JPM!Huyu ni Rais,hata mtoto wake asiposoma hatashinda njaa mpaka anaingia kaburini!Sasa wewe sijui mwalimu,jifanye nunda umsusie mwanao kisa kapata ujauzito!Mtasota wote,msiwaige hao matajiri!Hawategemei elimu kama ninyi makapuku!Za kuambiwa changanya na zako
Mkuu sorry for offensive words i spurted out.lakin mkuuu wataka raisi aseme nini??Ahsante sana.
Ila bora upuuzi wangu wa kulilia watu wapate elimu ili huko mbele wazije kua mizigo. Kuliko welevu uliokujaa wewe wa kushabikia watu waendelee kuwa wajinga
Ulitakiwa ujiulize swali hili la mwisho kabla ya kuunga mkono. Kama hujui hapo ndio mjadala umefungwa. Ungekuwa na utulivu kichwani kabla ya kushangilia hili, ungejiuliza ni kwanini mkuu ameibuka na tamko hili sasa.ha ha..nilichojifunza ni kuwa
kama rais anakosea mahali, anaweka strict rules the best way ni kuja na new ways of thinking, maana mwisho wa siku si tunaumia sisi?
but as society is this not a call kuona tunatokomeza vipi hili swala? NGO na jamii tunaweza kabisa kabisa kuwabana hawa wahuni wanaowapa watoto mimba!! tunaweza kuwekw sheria ndogo ndogo za jamii husika, kijiji, wilaya kuwa wahusika watafilisiwa na pamoja na kumsomesha mtoto private na kuwa wakali kwenye sheria
maana kuna ukimwi pia!! I take this positively na sioni healthy kupingana na kilichosemwa
mfano, conclusion ya huu mjadala ni nini?