Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

mimi simo huko
Hacha tu na sisi northerners tulivo na damu mbaya huko nchini .
wahamasishe wapate mimba, halafu uone kama watasomeshwa bure

jiandae kuwalipia!!
Hivi mkuu pale mlimani mbona wadada wengi tu ulisoma nao wakiwa na watoto na wakaperform better.
Rais inabidi ajiombee mwenyewe maana kauli zake zimekaa kikorea kaskazini.
 
Ndio hapo ninapoamini utafiti wa Twaweza,mnaoshabikia wengi vilaza!Kwani hujui kuwa watoto wanabakwa???Sasa waliobakwa na wengine,wote hakuna shule!!!!
Ndio namimi nashauri,waliopata kwa kuzini au kutozini wote hakuna dawa za bure!!!!!
Kuna umuhimu wakukupeleka CT SCAN sijazungumzia NGO YOYOTE HAPA,, twaweza ni walele wafata upepo,,, staki kwenda huko,,, tuzungumzie mada
 
Exactly hiki ndicho tunachokisema kuwa hawa ni watoto! They just do it for fun, they have never thought mwisho wake utakuwaje.
Ila Nadhani kimsingi Kuna Mambo mengi ambayo msingi wake ni uzembe na serikali inasaidia!
Mfano kipindupindu au malaria, mtu ili augue ni lazima afanye uzembe wa Kula uchafu au kunywa maji machafu hilo kwa kipindupindu au afanye uzembe wa kuumwa na mbu kwenye malaria
Mkuu kula uchafu ni uzembe? Kuumwa ni uzembe? Miili inachoka na kuchakaa as days go by? Huo nao ni uzembe. Mimba za utotoni 90% ni uzembe.
 
Mimba zinazosababishwa na kubakwa sawa ni tatizo la kushughulikia. lakini hizi za kawaida unastukia mwanao mja mzito ndio nauliza tufanyejee
Kwa mujibu wa sheria za nchi,ukitembea na mtoto chini ya miaka 18 umembaka!Haijalishi kama mmekubaliana au la!Ndio maana kuna adhabu ya miaka 30 kwa wabakaji!
Sasa hapa mnataka mwanaume ahukumiwe kwa kubaka,ila mtoto ahukumiwe kwa kubeba ujauzito badala ya kuwa muhanga wa ubakaji!
 
Watoto lazima wachague shule ama mapenzi. We can't allow them to have both.
 
Exactly hiki ndicho tunachokisema kuwa hawa ni watoto! They just do it for fun, they have never thought mwisho wake utakuwaje.
Ila Nadhani kimsingi Kuna Mambo mengi ambayo msingi wake ni uzembe na serikali inasaidia!
Mfano kipindupindu au malaria, mtu ili augue ni lazima afanye uzembe wa Kula uchafu au kunywa maji machafu hilo kwa kipindupindu au afanye uzembe wa kuumwa na mbu kwenye malaria
Mbona husemi kama ni uzembe wa kwanza wa wazazi kutowaelimisha watoto hawa namna ya kuishi na kuepuka vishawishi. Usirushie tatizo kwa serikali kwani ndio imezaa watoto hawa
 
Kiswahili ni lugha kama zingine,,, acha kuwa mwepes
BKiswahili ni zaidi ya lugha,ni somo ulilojifunza miaka 7 primary,ukaenda kulisoma miaka 4 sekondari(kama ulifika level hiyo)!Ni ajabu kama huwezi kuandika kiswahili halafu unataka kujenga hoja!Yaani darasani miaka 11 hukuelewa,hapa mimi nitakuelewesha kwa dakika hizi chache??
 
Kwa mujibu wa sheria za nchi,ukitembea na mtoto chini ya miaka 18 umembaka!Haijalishi kama mmekubaliana au la!Ndio maana kuna adhabu ya miaka 30 kwa wabakaji!
Sasa hapa mnataka mwanaume ahukumiwe kwa kubaka,ila mtoto ahukumiwe kwa kubeba ujauzito badala ya kuwa muhanga wa ubakaji!
Sawa tunatafuta mbinu mbadala za kuepuka majanga haya
 
Demu akipigwa mimba, atazaa harafu mimi niliyempiga mimba jioni naenda kumlala, kesho asubuhi anaenda shule kusoma.
 
Hapo ndipo ambapo hamuelewi!Mtoto kabakwa,sasa unamuambia achague kati ya kubakwa na kusoma!!!?
Watoto wengi hubakwa kwa kuwa wazazi wanashindwa ama hawana nia ya kuwadhibiti wasiende kuzurura baada ya saa 12 jioni. Wao pamoja na wazazi ndio wanatengeneza mazingira ya uhalifu wa ubakaji.

Anyways, wengi husema wamebakwa baadha ya kupata mambo mabaya, ila wasipopatwa na mabaya hukaa kimya na kurudia tena. Kubakwa gani huko?
 
Mkuu nusu hela, ulitaka rais asimame majukwaani atangaze kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa? Wewe binafsi ungemuelewaje? Dunia ingemuelewaje? Na kama akitangaza kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa, madhara yake ni makubwa kuliko hili la kuzuia. Tafakari kidogo mkuu
Kumbe hujui nazungumzia nini?
Sisemi mh rais asimame majukwaani abariki au aruhusu ngono kwa wanafunzi.

Ninachosema mimi ni kuwa, njia bora ya kulimaliza hili tatizo sio kumnyima mtoto elimu. Bali ni kutafuta visababishi vya tatizo hilo na kuvitokomeza ili tatizo liondoke kwenye jamii yetu.

Mfano vitendo vya ubakaji vinaweza kuwa chanzo cha wanafunzi kupata mimba. Kwa mtoto aliyebakwa na kupata mimba, kumwambia asiendelee na masomo ni kumbaka kwa Mara ya pili.

Mfano mwingine ni hizi tamaduni zetu. Kumbuka mpaka sasa jamii zetu ni tofauti. Hatuna utamaduni mmoja. Kuna jamii nyingine mtoto akivunja ungo, anachezwa na kupewa mwanaume. Kwahiyo kwa jamii hizi, tukisema tumuadhibu mtoto, ni kumuonea.

Hebu fikiria mara mbili kwa mifano miwili hiyo alafu tutaendelea.

Ndio maana nikasema nchi sio familia kusema kwamba unaendesha kwa utamaduni wako
 
Wazazi msifuate ushauri wa JPM!Huyu ni Rais,hata mtoto wake asiposoma hatashinda njaa mpaka anaingia kaburini!Sasa wewe sijui mwalimu,jifanye nunda umsusie mwanao kisa kapata ujauzito!Mtasota wote,msiwaige hao matajiri!Hawategemei elimu kama ninyi makapuku!Za kuambiwa changanya na zako
Mshauri mzazi amsaidie mwanae na kumueleimisha madhara ya mimba za utotoni. Maana hata asipozuiwa masomo, madhara ya mimba za utotoni ni makubwa kuliko hata hilo la kukosa kurudi shule.
 
Back
Top Bottom