Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Njia ya kwenda kuwatekeleza watoto wetu!!!!Ewe masikini usimsikilize Rais,yeye sio masikini kama wewe!Hata watoto wake wasiposoma hawawezi kulala njaa hata siku moja!Pia yeye hawezi hitaji msaada wa kifedha toka kwa mwanaye huko mbeleni kwani atagharamiwa na serikali mpaka anaingia kaburini!Akili za kuambiwa changanya na zako,yeye anasema hawezi mrudisha mwanaye shule akipata mimba,ni sawa kabisa!Familia ina urithi wa kutosha!Wewe kapuku,mwanao akipata mimba,jipange na mrudishe shule kama ana nia ya kusoma!Huwezi jua kesho atakuwa msaada gani kwako!
Nashauri tuwalee watoto wetu katika maadili mema,tuwe karibu nao na kuwaonya mara kwa mara!Lakini hili halitoi guarantee 100% kuwa mwanao yuko salama!Yakimkuta mweke chini mzungumze,akikiri mtafutie shule!Mwache JPM asipeleke mtoto shule peke yake!Uzeeni hatakuwepo utakapohitaji walau sukari au dawa!
Achaa siasa za kingono,,, wanaume tujitathmin kwann tunahalibu watoto wa shule??? Hasa walimu wanaofundisha wanafunz wetu,,,, tuanzie hapo,,,, sio siasa zako
 
Acha kutumia elimu ya standard 0 ukimwi hauenezwi kwa ngono tuuu,,,ispokuwa mimba haiwezekan kapatikana wodin bila kakutana kimwili,,,, tatu kama huna dada kamili sema nikupe link,, sio kubwabwaja,,,
Ndio hapo ninapoamini utafiti wa Twaweza,mnaoshabikia wengi vilaza!Kwani hujui kuwa watoto wanabakwa???Sasa waliobakwa na wengine,wote hakuna shule!!!!
Ndio namimi nashauri,waliopata kwa kuzini au kutozini wote hakuna dawa za bure!!!!!
 
Mkuu nusu hela, ulitaka rais asimame majukwaani atangaze kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa? Wewe binafsi ungemuelewaje? Dunia ingemuelewaje? Na kama akitangaza kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa, madhara yake ni makubwa kuliko hili la kuzuia. Tafakari kidogo mkuu
Mimi nimezaa wa kike kwa hili la Magufuri nimetema mate chini tufanyavyo kikwetu.
 
Nchi sio familia ndugu yangu.
Nchi haiongozwi kwa hisia, inaongozwa kwa umakini na kutumia akili nyingi.

Hebu jiulize, ni lini wanafunzi waliozaa walisomeshwa na serikali?????

Kama jibu ni hakuna, basi kauri hiyo ni mbaya sana maana inalenga kuwatenga na kuwanyanyapaa watoto wanaopata mimba.

Unajua madhara yake??
Tutazika sana watoto waliokua wakijaribu kutoa mimba ili aibu hiyo isiwakute

Tutasikia matukio mengi ya kujiua kwa watoto waliopata mimba

Suala la mimba kwa watoto, linasababishwa na mambo mengi. Hayo mambo ndo ilitakiwa tupambane nayo. Kumbuka kutompa elimu mama mmoja, ni kutoipa elimu jamii nzima

Busara kwenye uongozi ni kitu cha muhimu sana
Utapambanaje na mtoto kupata mimba wakati ni maamuzi yake ya siri kati yake na mwenzie
 
Hivi vitabu vitakatifu vinasemaje juu ya tendo la Ndoa nje ya Ndoa??
Wazungu wanatulazimisha kufuata mambo yao ya kiSODOMA NA KIGOMORRAH! na sisi tunafurahia..ee Mungu kisamehee kizazi hiki
Ni kweli kabisa. Tunasahau matakwa ya dini zetu tunabaki kuunga mkono mambo ya kijinga. Utumwa wa kifikra ni utumwa mbaya kuliko zote
 
15438e4598ca4154c94f180f46c724f4.jpg
Exactly hiki ndicho tunachokisema kuwa hawa ni watoto! They just do it for fun, they have never thought mwisho wake utakuwaje.
Ila Nadhani kimsingi Kuna Mambo mengi ambayo msingi wake ni uzembe na serikali inasaidia!
Mfano kipindupindu au malaria, mtu ili augue ni lazima afanye uzembe wa Kula uchafu au kunywa maji machafu hilo kwa kipindupindu au afanye uzembe wa kuumwa na mbu kwenye malaria
 
Exactly hiki ndicho tunachokisema kuwa hawa ni watoto! They just do it for fun, they have never thought mwisho wake utakuwaje.
Ila Nadhani kimsingi Kuna Mambo mengi ambayo msingi wake ni uzembe na serikali inasaidia!
Mfano kipindupindu au malaria, mtu ili augue ni lazima afanye uzembe wa Kula uchafu au kunywa maji machafu hilo kwa kipindupindu au afanye uzembe wa kuumwa na mbu kwenye malaria

na hapo wazazi wala hawahusiki!! aisee umetokota
 
Nailaumu taasisi ya urais kwakua imeshindwa kufanya utafiti kwa kina ili kukomesha kama sio kulimaliza kabisa. Yaani wanatoa matamko as if watoto wanapenda kufanya hivyo.

Taasisi kubwa kama urais si ya kukurupuka kutoa maamuzi.
Lazima wajue kuwa kuna vyanzo vya hayo matatizo.

Mfano mkubwa wa matatizo hayo ni kitu kinaitwa foolish age. Mtu anapofikia kipindi hiki, huwa ni ngumu sana kuji control.

Mbali na foolish age, huwezi kuzuia mabadiliko ya mwili. Mfano ni pale ambapo huwezi kuzuia ndevu zisiote.

Kumbuka hizi sheria za kusoma ni nje ya nature ya mwanadamu. Kumbadilisha kutoka kwenye nature mpaka mifumo ambayo ni artificial, inabidi mikakati ya kina.
Mfano ni janga hili la ukimwi. Watu wanajua ukifanya ngono zembe, kuna hatari ya kuambukizwa. Hivi umewahi kujiuliza ni wangapi wanajari hilo pindi inapotokea nafasi ya kutenda?

wahamasishe wapate mimba, halafu uone kama watasomeshwa bure

jiandae kuwalipia!!
 
Exactly hiki ndicho tunachokisema kuwa hawa ni watoto! They just do it for fun, they have never thought mwisho wake utakuwaje.
Ila Nadhani kimsingi Kuna Mambo mengi ambayo msingi wake ni uzembe na serikali inasaidia!
Mfano kipindupindu au malaria, mtu ili augue ni lazima afanye uzembe wa Kula uchafu au kunywa maji machafu hilo kwa kipindupindu au afanye uzembe wa kuumwa na mbu kwenye malaria
Nadhani ushauri basi. Ungeshauri serikali ifanyeje kwa hili. Tusibaki kulalamika tu. Wakati mwingine tusaidie kutoka solution
 
Mimba zinazosababishwa na kubakwa sawa ni tatizo la kushughulikia. lakini hizi za kawaida unastukia mwanao mja mzito ndio nauliza tufanyejee
Na wengi huwa hawabakwi trust me. Wanasingizia kubakwa baada ya kupata mimba. Ila wasipopata mimba hukaa kimya tu. Huko kubakwa gani?
 
rais hakusema kitu kibaya, mmetafsiri vibaya

waende private
Kasema Yeye mwanaye hawezi kumrudisha shule!!!
Tuache hilo,unadhani watakaoathirika na hili ni akina nani kama sio masikini watakaoshindwa kwapeleka watoto private!!!?
Wanyonge yakiwakuta,imekula kwao!Tena ndio asilimia kubwa
 
Sijaelewa!
Hivi we Kweli unamtaka 15 years old ajilinde kukabiliana na mbinu za jitu linaloweza kumtongoza na kumdanganya mama yake mzazi?
Mimi sijaelewa arguments zenu, kwamba tuna expect hivi vitoto viweze kuepuka vishqwishi vya njemba linaloweza kuwarubuni hata maofisa wa nchi, wazazi wake etc?
Hivi tunamchukuliaje Dogo wa miaka 13?
Mi nahisi tunazungumza topic tofauti
Nakuunga mkono
 
We mwehu hizo takwimu umezitoa wapi?Au nyuma ya keyboard???
So umechagua bora wote wawe wajinga,**** kabisa!
Halafu msichanganye mambo hapo hapa,huu ujinga mliojazana sijui unatoka wapi!!!Ni nani amekwambia ukizuia wasisome ndio unakuwa umemaliza tatizo la mimba mashuleni???idiot
We jamaa hata hutumii akili hata kidogo!!! Ulitaka rais asimame majukwaani ahalalishe wanafunzi kufanya ngono? Ni rais wa awamu gani aliruhusu wanafunzi kufanya ngono kabla hawajamaliza shule? Mbona umeshupalia sana hili jambo, kwenu wanafunzi wanajiuza ili wapate pesa za kujikimu? Hii marufuku itawafanya wanafunzi waweke mkazo kwenye masomo yao na watafaulu vizuri kwenye masomo yao na kuwafanya waendelee na masomo ya ngazi za juu. Mtoto hasa hawa wa miaka 13 - 15 hawezi kuzaa halafu akarudi shule na utegemee atafanya vizuri kwenye masomo. Jaribu kutafakari japo kidogo basi we kubwa jinga
 
Back
Top Bottom