Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

kabla ya kuitiza kauli ya mkuu iko sawa au ina makosa bora kutiza sababu inayosababisha mimba za utotoni, kama serikali imechikua hatua gani kupunguza mimba za utotoni, na mwaka baada mwaka zinapungua au kuzidi, na serikali imechukua hatua gani kupunguza mimba za utotoni kwa maana ya kuwapa elimu wanafunzi wa kike dhidi ya mafataki,
kama serikali inatoa tamko la kuwasomesha wanafunzi wenye ujauzito iende sambamba na problem solving,
Fikiriria kwa mfano ikiwa wanafunzi wanaopata mimba kwa wingi kipindi hichi na mkuu kashasema hasomeshi, kwa hiyo idadu kubwa ya wanafunzi watakua hawasomi ndani ya kipindi hichi cha miaka kumi je tutakua tayari kuwa nataifa la wajinga huko mbeleni
kuna mengi ya kusema ila kwa ufupi kutafuta muarbani wa sababu ya hizi mimba za utotoni na kukomeshwa kabisa kabisa
 
I like huu Mfano wa ARV.
Kwamba watoto wakifanya ngono na kupata mimba tunakuwa hatuwezi kuwalipia shuleni kwa uzembe wao, Ila wazazi wao wakifanya na kupata ukimwi, pesa za kununulia dawa za ARVs Zipo!!
Ndio hapo,akili zao zimegota kufanya kazi!
 
Mimi huwa nafikiliaga tofauti baadhi ya mitazamo ya rais ila kwa hili hatuna budi kuwa upande wake huku uswahilini kwetu Mara ya mwisho kupata kesi ya kubaka ilikuwa ni 2002 lakini sasa hivi karibia mtaa mzima mabinti wote wana watoto kama wakiambia warudishe shule robo yao watakuwa ni wazazi sio wanafunzi
Ndio,as long as anapata elimu!
 
Hapo ndipo mlipofeli,hamjui hata nini msingi wa utetezi wa hawa watoto kupata elimu!Nikuulize swali moja,kwanini serikali inagharamia ARV'S?Inamaana tuitangazie nchi hili suala la ngono zembe ni la kawaida???Fikirisha kichwa chako!!!!Tunachosema tunaweza beba yote mawili kwa pamoja,tupambane watoto wasipate mimba mashuleni,ila inapotokea amepata mimba basi tusimnyike haki yake ya kusoma!Msikilize Samia Suluhu kwa ufafanuzi zaidi!
kati ya mbinu bora kuipunguzia serikali kugharamia manunuz ya ARV Nikuhakikisha ngono zembe zinazuiwa hasa mashulen ambako hadi sasa takwimu zinaonesha asilimia kubwa ya waathilika wa UKIMWI NI UNDER 18. Nauhakika kauli ya Rais itapunguza ngono zembe mashulen nakusaidia kupungua kwa maambukiz ya virus vya ukimwi
 
Mimi huwa nafikiliaga tofauti baadhi ya mitazamo ya rais ila kwa hili hatuna budi kuwa upande wake huku uswahilini kwetu Mara ya mwisho kupata kesi ya kubaka ilikuwa ni 2002 lakini sasa hivi karibia mtaa mzima mabinti wote wana watoto kama wakiambia warudishe shule robo yao watakuwa ni wazazi sio wanafunzi
Hivi kumpa mimba mtoto wa chini ya miaka 18 si Kosa? Then kama mnamuamini kuwa anaweza kufanya wise decisions then kwanini watu wakiamua kuwaoa tunaenda kuwashtaki?
Ni wakati gani Huyu mtoto anakuwa hana uwezo wa kufanya maamuzi Sahihi na hivyo kuamua kumlinda kwa kumfunga yeyote anayefanya naye mapenzi hata kama binti atasema anampenda na ameamua kwa ridhaa yake, na ni wakati gani Huyu binti sasa anakuwa mzembe kajitakia tu!
Kwa mtizamo wangu nikijaribu kutafsiri mawazo yenu, ni kuwa mimba tu kwenu nyinyi ndio inayoamua kuwa mtoto ana akili au la, akipata mimba ni mzembe na hastaili kuonewa huruma, Ila kama hajapata ni innocent na aliyetembea naye kamrubuni mtoto asiyeweza kuwa na maamuzi Sahihi!
 
Huyo binti kwenye picha hawezi kufaulu vizuri anasoma ili maradi tu atimize wajibu ili apate cheti chenye miswaki mingi ambacho hakitamfikisha popote. Tusishangulie kusoma tu! Ili ufaulu vizuri, unapaswa kuweka mkazo kwenye kile unachosoma, kulea mtoto huku unasoma kunapunguza concetration ya kwenye masomo. Hivyo basi ukipata mimba halafu urudi shule sidhani kama utafaulu vizuri na ukapata cheti kitakacho kuwezesha kuendelea na ngazi zingine za juu za masomo. Utapoteza muda, nguvu na mali zako. Kwani wakivumilia hiyo miaka ili wamalize masomo yao kuna kitu wanapungukiwa? Naungana na rais, wanaopata mimba wasiendelee na masomo, walee watoto na baadae waende veta kwa masomo ya ufundi tu
Umetumia research gani ndugu, ebu tuwekee data basi, usiache na sample zake. Maana mmekuwa kama wajinga suala la kuzaa au kushika mimba ni mambo mawili tofauti. Hakuna mwanafunzi anetaka kushika mimba, amini ukipenda, huwa inatokea kama accident. Kwahiyo inatakiwa tujue mbinu gani ya kuzuia lakini sio kutoa amri hadharani. Halafu mnakuja huku kussuport kweli? Lini mtamuambia mfalme yuko uchi? Au mpaka atokee mtoto mdogo ndio aone kuwa mfalme hajavaa nguo!! Haki kweli, haya muda ndio rafiki wa kweli.
 
I like huu Mfano wa ARV.
Kwamba watoto wakifanya ngono na kupata mimba tunakuwa hatuwezi kuwalipia shuleni kwa uzembe wao, Ila wazazi wao wakifanya na kupata ukimwi, pesa za kununulia dawa za ARVs Zipo!!
Kasome takwimu uonee maambukiz mapyaa yanasumbua group lip?? Usikurupuke
 
Kaz kuongelea mimba,,, fanyen tafit kuhusu kwann watoto walioko mashulen wanakumbwa sana na magonjwa ya zinaaa na ukimwi,,, ebu tujitokeze kuja na kauli mbiu ya kukataa mimba mashulen, wazaz tujitathmin upya kama tunalengo la kuifikisha nchi hii mbele,,, sio kupinga kila kitu,, Rais katupa njia
 
kati ya mbinu bora kuipunguzia serikali kugharamia manunuz ya ARV Nikuhakikisha ngono zembe zinazuiwa hasa mashulen ambako hadi sasa takwimu zinaonesha asilimia kubwa ya waathilika wa UKIMWI NI UNDER 18. Nauhakika kauli ya Rais itapunguza ngono zembe mashulen nakusaidia kupungua kwa maambukiz ya virus vya ukimwi
Kupunguza hayo angetangaza watu watakaopata maambukizi wakajinunulie ARV's,serikali haiwezi gharamia wazinzi!Kama wamewaambia watoto elimu ya serikali hakuna kwa sababu ya uzinzi,basi watakaopata maambukizi nao waambiwe dawa za bure hakuna!!!!
Halafu iwe mara ya mwisho kuja hapa na takwimu za kufikirika!Ni nani aliyekuambia asilimia kubwa ya walioathirika ni chini ya miaka 18????Unakaa nyuma ya keyboard na kutunga takwimu!
 
Kesi ya mimba na under 18, naifananisha na kesi ya mtu kutengana na mwanamke ambaye wameishi bila ya kuoana!
Serikali Hii takatifu inayomuhukumu binti kwa kupata mimba, inamkataza mzazi asimuachishe shule binti yake na kumuozesha akiwa under 18 hata kama baba naye akiona binti yake anapenda ngono na Kuna uwezekano wa kupata mimba! Hawa wanamfukuza binti mwenye mimba eti kwa kuwa ni mzembe, anashindwaje kujua zuri na baya! Ila kama ukimchukua Huyo binti wanakufunga 30 years kwa kuwa umemrubuni mtoto hawezi kufanya maamuzi sahihi, hata kama binti kasema anakupenda!
Kwa Lile la kuishi na mwanamke, serikali Hii inasema ukiishi na mwanamke miezi 6 Huyo ni sawa na mkeo na maamuzi yataamuliwa kama vile nyinyi ni mke na mume, Ila Huyo binti akiumwa, akifa au hata kama utamtolea taarifa zozote ofisini, Basi wataomba cheti cha ndoa na kama huna hueleweki. Hapa wanasahau Ile hukumu yao ya miezi 6 ya kuhesabu mahusiano yanakuwa ndoa
 
Kaz kuongelea mimba,,, fanyen tafit kuhusu kwann watoto walioko mashulen wanakumbwa sana na magonjwa ya zinaaa na ukimwi,,, ebu tujitokeze kuja na kauli mbiu ya kukataa mimba mashulen, wazaz tujitathmin upya kama tunalengo la kuifikisha nchi hii mbele,,, sio kupinga kila kitu,, Rais katupa njia
Njia ya kwenda kuwatekeleza watoto wetu!!!!Ewe masikini usimsikilize Rais,yeye sio masikini kama wewe!Hata watoto wake wasiposoma hawawezi kulala njaa hata siku moja!Pia yeye hawezi hitaji msaada wa kifedha toka kwa mwanaye huko mbeleni kwani atagharamiwa na serikali mpaka anaingia kaburini!Akili za kuambiwa changanya na zako,yeye anasema hawezi mrudisha mwanaye shule akipata mimba,ni sawa kabisa!Familia ina urithi wa kutosha!Wewe kapuku,mwanao akipata mimba,jipange na mrudishe shule kama ana nia ya kusoma!Huwezi jua kesho atakuwa msaada gani kwako!
Nashauri tuwalee watoto wetu katika maadili mema,tuwe karibu nao na kuwaonya mara kwa mara!Lakini hili halitoi guarantee 100% kuwa mwanao yuko salama!Yakimkuta mweke chini mzungumze,akikiri mtafutie shule!Mwache JPM asipeleke mtoto shule peke yake!Uzeeni hatakuwepo utakapohitaji walau sukari au dawa!
 
angekua na binti mdogo ningepambana nimtie mimba alfu tuone
 
Huku uswahilini ninapokaa sio jambo la kushangaza kukutana na mtoto wa kike darasa hata la 3 usiku wa 4 eti ametoka kwende kibanda kuangalia movie. Hivi binti kama huyu akibakwa na kupata mimba (achilia mbali magonjwa mengine) italaumiwa serikali? Let's be serious guys.
wengine wanashinda kwenye vigodoro, wanashiriki maandamano ya kusutana na humo kwny tv anaangaliwa gigy money zaidi ya vipindi vya elimu. mlipata kusikia pale buguruni mzazi alipokuja kumshambulia kwa matusi makali mwalimu kisa alimrudisha mtoto wake nyumbani akabadilishe nguo kwani ilikuwa fupi sana?
 
Kupunguza hayo angetangaza watu watakaopata maambukizi wakajinunulie ARV's,serikali haiwezi gharamia wazinzi!Kama wamewaambia watoto elimu ya serikali hakuna kwa sababu ya uzinzi,basi watakaopata maambukizi nao waambiwe dawa za bure hakuna!!!!
Halafu iwe mara ya mwisho kuja hapa na takwimu za kufikirika!Ni nani aliyekuambia asilimia kubwa ya walioathirika ni chini ya miaka 18????Unakaa nyuma ya keyboard na kutunga takwimu!
Acha kutumia elimu ya standard 0 ukimwi hauenezwi kwa ngono tuuu,,,ispokuwa mimba haiwezekan kapatikana wodin bila kakutana kimwili,,,, tatu kama huna dada kamili sema nikupe link,, sio kubwabwaja,,,
 
Hiyo nayo ni kazi ya serikali? Magufuli atoke ikulu aende Tandale akamwambie mama Fatuma eti "mama jioni imeingia mwambie binti yako akae nyumbani asizurure zaidi ya saa 12 jioni? Really?
Mkuu unajifanya hujui maisha yetu yakubahatisha tuna amka sa 11 asubuh tunarudi sa 4 ucku utamchunga sa ngap huyo mtoto
 
Mwendo mdundo, kupata mimba shuleni ni kosa, miaka 50 ya tawala zote hazikuruhusu jambo hili, JPM anslaumiwa kwa lipi? Macho kodoeni ndo kakazia
 
Kesi ya mimba na under 18, naifananisha na kesi ya mtu kutengana na mwanamke ambaye wameishi bila ya kuoana!
Serikali Hii takatifu inayomuhukumu binti kwa kupata mimba, inamkataza mzazi asimuachishe shule binti yake na kumuozesha akiwa under 18 hata kama baba naye akiona binti yake anapenda ngono na Kuna uwezekano wa kupata mimba! Hawa wanamfukuza binti mwenye mimba eti kwa kuwa ni mzembe, anashindwaje kujua zuri na baya! Ila kama ukimchukua Huyo binti wanakufunga 30 years kwa kuwa umemrubuni mtoto hawezi kufanya maamuzi sahihi, hata kama binti kasema anakupenda!
Kwa Lile la kuishi na mwanamke, serikali Hii inasema ukiishi na mwanamke miezi 6 Huyo ni sawa na mkeo na maamuzi yataamuliwa kama vile nyinyi ni mke na mume, Ila Huyo binti akiumwa, akifa au hata kama utamtolea taarifa zozote ofisini, Basi wataomba cheti cha ndoa na kama huna hueleweki. Hapa wanasahau Ile hukumu yao ya miezi 6 ya kuhesabu mahusiano yanakuwa ndoa
Kuna kitu umegusa nimekipenda sana,,, miez sita inahesabika ni mke halali,,, kwenye madai wanaomba vyeti,,, ahahaaa
 
15438e4598ca4154c94f180f46c724f4.jpg
 
View attachment 530269

--- Kama umasikini ndio chanzo cha kupata mimba kwa wanafunzi wa kike, kwanini shule nzima wasiwe na mimba? Kama umbali wote wanatoka mbali na wanaishi katika mazingira yanayofanana.

--- Eti wanadai ni haki ya mtu kupata elimu kwa maana kuwa na elimu ndio silaha ya kwanza ya kupambana na umasikini. Hiyo ni sawa. Lakini haki ni lazima iendane na wajibu (to get your Rights you should behave responsibly)

--- Wengine wanadai eti serikali ndiyo ya kulaumiwa kwa maadili mabovu kwa maana wao ndio wametufikisha hapa kwa miaka 50 ya utawala wao. Ninasema hapana. Serikali haiwezi kuja nyumbani kwako ikakwambia baba na mama flani sasa zimeni TV ili mtoto wenu aache kuangalia cartoons afanye homework yake. Huo ni mfano tu juu gani ya wazazi wanapaswa kutimiza wajibu wao katika maadili ya watoto.

Huku uswahilini ninapokaa sio jambo la kushangaza kukutana na mtoto wa kike darasa hata la 3 usiku wa 4 eti ametoka kwende kibanda kuangalia movie. Hivi binti kama huyu akibakwa na kupata mimba (achilia mbali magonjwa mengine) italaumiwa serikali? Let's be serious guys.

JPM stay focused. Wewe ni mazazi unayejitambua sana.

Mwenye macho na asome.

Nimemaliza.

View attachment 530265
By tundu lisu tuna raisi wa ajabu ajawai tokea
 
Kasome takwimu uonee maambukiz mapyaa yanasumbua group lip?? Usikurupuke
Sijaelewa!
Hivi we Kweli unamtaka 15 years old ajilinde kukabiliana na mbinu za jitu linaloweza kumtongoza na kumdanganya mama yake mzazi?
Mimi sijaelewa arguments zenu, kwamba tuna expect hivi vitoto viweze kuepuka vishqwishi vya njemba linaloweza kuwarubuni hata maofisa wa nchi, wazazi wake etc?
Hivi tunamchukuliaje Dogo wa miaka 13?
Mi nahisi tunazungumza topic tofauti
 
Back
Top Bottom