Magufuli wewe ni mzazi unayejitambua

Mkuu nusu hela, ulitaka rais asimame majukwaani atangaze kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa? Wewe binafsi ungemuelewaje? Dunia ingemuelewaje? Na kama akitangaza kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa, madhara yake ni makubwa kuliko hili la kuzuia. Tafakari kidogo mkuu
Mkuu, ninakujua personally nje ya hapa JF. Believe it or not.
 
Mkuu nusu hela, ulitaka rais asimame majukwaani atangaze kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa? Wewe binafsi ungemuelewaje? Dunia ingemuelewaje? Na kama akitangaza kuwa ngono kwa wanafunzi ni ruksa, madhara yake ni makubwa kuliko hili la kuzuia. Tafakari kidogo mkuu
Yeye alitakiwa kuwakemea wakware wanaomendea wanafunzi na kuhaidi adhabu kali basi. Mimba zingine ni za waalimu, zingine ubakaji na zingine miundo mbinu mibovu mashuleni eg kukosa mabweni, usafiri, chakula hasa shule za kata na vijijini ambako wazazi hawana uwezo wa kuwabadilishia shule, na zingine ni mihemuko ya ujana jambo ambalo ni asili . Hatutakiwi kuhukumiana kwa lolote bali kuendelea taifa letu.

Asiye na dhambi na awe wa kwanza kuwahukumu watoto lakini siyo hawa waliopo hawana sifa hizo. Ukimuacha mwanamke na mtoto huku na mmewe umemfunga na elimu yake ni duni unaliua taifa.
 
Hiyo nayo ni kazi ya serikali? Magufuli atoke ikulu aende Tandale akamwambie mama Fatuma eti "mama jioni imeingia mwambie binti yako akae nyumbani asizurure zaidi ya saa 12 jioni? Really?
Hebu tuwekee kazi za raisi unazozijua wewe!
Kwani kazi yake ni kufungua viwanda?
Hivi kusimamia well-being ya wananchi si jukumu la raisi?
Hivi kulinda haki na usalama wa watoto si jukumu lake?
Please labda uanze kuelezea majukumu ya raisi kabla hujaendelea na mada yako!
Sasa hao wa tandale mbona wakiuza unga anasema waache? Hao watandale mbona wakipata mimba anasema wasisome?
Imekuwaje sasa anajua kuwa watoto wa tandale wanaingia class na mimba Ila haimuhusu ikiwa Huyu binti kawa mistreated!!
 
Wewe huna akili kabisa!Niligraduate degree na binti aliyepata ujauzito akiwa sekondary,sasa ana kazi nzuri serikalini!Nadhani alivyosikia kauli ya Rais alimdharau sana!
Kati ya watoto 80,000 wanaopata mimba kila mwaka na kukatisha masomo yao, haifiki asilimia 10 ya watoto wanaoweza kuendelea na masomo na wakafaulu vizuri. Hivyo, huyo mmoja aliyefulu baada ya kupata mimba ni wachache kati ya wengi wanaoweza kufanya hivyo. Kwa kuwa ni wachache wanaoweza kuendelea na masomo na wakafaulu vizuri, haina budi kupiga marufuku ujinga huo ili kunusuru waliowengi kuchezea maisha yao. Fala!
 
Hivi vitabu vitakatifu vinasemaje juu ya tendo la Ndoa nje ya Ndoa??
Wazungu wanatulazimisha kufuata mambo yao ya kiSODOMA NA KIGOMORRAH! na sisi tunafurahia..ee Mungu kisamehee kizazi hiki
Hakuna mzungu anayelazimisha ndoa za utotoni bali ni uvunjifu wa sheria na taratibu za ndoa

Tusimeshe taifa letu bila kujali
 
View attachment 530269

--- Kama umasikini ndio chanzo cha kupata mimba kwa wanafunzi wa kike, kwanini shule nzima wasiwe na mimba? Kama umbali wote wanatoka mbali na wanaishi katika mazingira yanayofanana.

--- Eti wanadai ni haki ya mtu kupata elimu kwa maana kuwa na elimu ndio silaha ya kwanza ya kupambana na umasikini. Hiyo ni sawa. Lakini haki ni lazima iendane na wajibu (to get your Rights you should behave responsibly)

--- Wengine wanadai eti serikali ndiyo ya kulaumiwa kwa maadili mabovu kwa maana wao ndio wametufikisha hapa kwa miaka 50 ya utawala wao. Ninasema hapana. Serikali haiwezi kuja nyumbani kwako ikakwambia baba na mama flani sasa zimeni TV ili mtoto wenu aache kuangalia cartoons afanye homework yake. Huo ni mfano tu juu gani ya wazazi wanapaswa kutimiza wajibu wao katika maadili ya watoto.

Huku uswahilini ninapokaa sio jambo la kushangaza kukutana na mtoto wa kike darasa hata la 3 usiku wa 4 eti ametoka kwende kibanda kuangalia movie. Hivi binti kama huyu akibakwa na kupata mimba (achilia mbali magonjwa mengine) italaumiwa serikali? Let's be serious guys.

JPM stay focused. Wewe ni mazazi unayejitambua sana.

Mwenye macho na asome.

Nimemaliza.

View attachment 530265

Sasa 60-80% failures rate ya nchi yetu, sababu ni mimba????????????
 
Wewe huna akili kabisa!Niligraduate degree na binti aliyepata ujauzito akiwa sekondary,sasa ana kazi nzuri serikalini!Nadhani alivyosikia kauli ya Rais alimdharau sana!
Kwahyoo tuchukue hiyo sifa,,, na mwishowe tuitangazie nchii kuwa hili swala la mimba mashulen ni kawaidaa
 
Nchi sio familia ndugu yangu.
Nchi haiongozwi kwa hisia, inaongozwa kwa umakini na kutumia akili nyingi.

Hebu jiulize, ni lini wanafunzi waliozaa walisomeshwa na serikali?????

Kama jibu ni hakuna, basi kauri hiyo ni mbaya sana maana inalenga kuwatenga na kuwanyanyapaa watoto wanaopata mimba.

Unajua madhara yake??
Tutazika sana watoto waliokua wakijaribu kutoa mimba ili aibu hiyo isiwakute

Tutasikia matukio mengi ya kujiua kwa watoto waliopata mimba

Suala la mimba kwa watoto, linasababishwa na mambo mengi. Hayo mambo ndo ilitakiwa tupambane nayo. Kumbuka kutompa elimu mama mmoja, ni kutoipa elimu jamii nzima

Busara kwenye uongozi ni kitu cha muhimu sana
Ndo mnavyo aminishwa na NGOs,kama unaona mwanao atatengwa mwembie aache kujihusisha na mapenzi hadi atakapo maliza shule
 
Mleta mada hajielewi au haelewi maisha ya Tanzania.
Kwa walio Wengi hawaoni tija kumsomesha binti.
Wengi miongoni mwa maskini huwafanya mabinti zao mitaji, zaidi ya 60% ya wazee vijijini wana wish watoto wao wasiende secondary ili wachukue mahari, au ili wasije kupata mimba wao wakaaibika!
Kumbuka Lakini huyo binti yupo 13 au 15 na mtaani vijana Wengi wanamsumbua, familia nyingi uswahili hazipo to protect hawa mabinti. Now kupata au kutopata mimba hakusemi kama Huyo ndio Malaya or not, mimba ni chance tu, na by the way vibinti mapepe huwa wanajua hata kujilinda wasipate mimba.
So what,,, maana haelewekii,, kushoto /kulia
So what,,, maana hueleweki kulia /kushoto
 
Kwahyoo tuchukue hiyo sifa,,, na mwishowe tuitangazie nchii kuwa hili swala la mimba mashulen ni kawaidaa
Hapo ndipo mlipofeli,hamjui hata nini msingi wa utetezi wa hawa watoto kupata elimu!Nikuulize swali moja,kwanini serikali inagharamia ARV'S?Inamaana tuitangazie nchi hili suala la ngono zembe ni la kawaida???Fikirisha kichwa chako!!!!Tunachosema tunaweza beba yote mawili kwa pamoja,tupambane watoto wasipate mimba mashuleni,ila inapotokea amepata mimba basi tusimnyike haki yake ya kusoma!Msikilize Samia Suluhu kwa ufafanuzi zaidi!
 
View attachment 530269

--- Kama umasikini ndio chanzo cha kupata mimba kwa wanafunzi wa kike, kwanini shule nzima wasiwe na mimba? Kama umbali wote wanatoka mbali na wanaishi katika mazingira yanayofanana.

--- Eti wanadai ni haki ya mtu kupata elimu kwa maana kuwa na elimu ndio silaha ya kwanza ya kupambana na umasikini. Hiyo ni sawa. Lakini haki ni lazima iendane na wajibu (to get your Rights you should behave responsibly)

--- Wengine wanadai eti serikali ndiyo ya kulaumiwa kwa maadili mabovu kwa maana wao ndio wametufikisha hapa kwa miaka 50 ya utawala wao. Ninasema hapana. Serikali haiwezi kuja nyumbani kwako ikakwambia baba na mama flani sasa zimeni TV ili mtoto wenu aache kuangalia cartoons afanye homework yake. Huo ni mfano tu juu gani ya wazazi wanapaswa kutimiza wajibu wao katika maadili ya watoto.

Huku uswahilini ninapokaa sio jambo la kushangaza kukutana na mtoto wa kike darasa hata la 3 usiku wa 4 eti ametoka kwende kibanda kuangalia movie. Hivi binti kama huyu akibakwa na kupata mimba (achilia mbali magonjwa mengine) italaumiwa serikali? Let's be serious guys.

JPM stay focused. Wewe ni mazazi unayejitambua sana.

Mwenye macho na asome.

Nimemaliza.

View attachment 530265
Hujielewi wewe
 
Yeye alitakiwa kuwakemea wakware wanaomendea wanafunzi na kuhaidi adhabu kali basi. Mimba zingine ni za waalimu, zingine ubakaji na zingine miundo mbinu mibovu mashuleni eg kukosa mabweni, usafiri, chakula hasa shule za kata na vijijini ambako wazazi hawana uwezo wa kuwabadilishia shule, na zingine ni mihemuko ya ujana jambo ambalo ni asili . Hatutakiwi kuhukumiana kwa lolote bali kuendelea taifa letu.

Asiye na dhambi na awe wa kwanza kuwahukumu watoto lakini siyo hawa waliopo hawana sifa hizo. Ukimuacha mwanamke na mtoto huku na mmewe umemfunga na elimu yake ni duni unaliua taifa.
Familiaa ndicho chanzo cha mimba za utoton,,, zaman nakua uwe wakiume au mtoto wa kike mwisho kuingia ndan ilikuwa saa kumi na mbili bila kujali sikukuu au sherehee,,, je hii kauli baado ipo???
 
Hapo ndipo mlipofeli,hamjui hata nini msingi wa utetezi wa hawa watoto kupata elimu!Nikuulize swali moja,kwanini serikali inagharamia ARV'S?Inamaana tuitangazie nchi hili suala la ngono zembe ni la kawaida???Fikirisha kichwa chako!!!!Tunachosema tunaweza beba yote mawili kwa pamoja,tupambane watoto wasipate mimba mashuleni,ila inapotokea amepata mimba basi tusimnyike haki yake ya kusoma!Msikilize Samia Suluhu kwa ufafanuzi zaidi!
I like huu Mfano wa ARV.
Kwamba watoto wakifanya ngono na kupata mimba tunakuwa hatuwezi kuwalipia shuleni kwa uzembe wao, Ila wazazi wao wakifanya na kupata ukimwi, pesa za kununulia dawa za ARVs Zipo!!
 
Back
Top Bottom