Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,692
- 41,136
Hakuna kitu kama hicho...........na hawezi kugusa hiyo sehemu........akiigusa wote mnibanike mzima mzima...........
Unapatikana wapi?🙄
Hakuna kitu kama hicho...........na hawezi kugusa hiyo sehemu........akiigusa wote mnibanike mzima mzima...........
Naomba iwe kweli na hicho kifungu kitolewe.
Ila kwa ufahamu wangu, mtu aliyetenda kosa jana hawez hukumiwa kwa sheria iliyoundwa leo..
Ila ni good move itawanyoosha wanafuata baada yake
He won't do that and if he do it I will join him completely
Huyu JK anastahili kuwa keko kwa sasa na sio Msoga.
Kaharibu hii nchi na maswahiba wake na sasa anakula raha na kodi zetu
He will never ever do that...