Mkungo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 222
- 134
Hapa itaanzia kwake kwa kuwa sheria ikipitishwa huanzia pale kwenda mbele. Hairudi nyuma kuwaadhibu watu ambao walitenda uovu ule kipindi ambacho sheria hiyo haikuwapo. Ni sheria ya uhujumu uchumi pekee ndiyo iliyotungwa na kuanza kufanya kazi mwaka mmoja uliopita!