Salaam Wakuu,
Nilikuwa nasikiliza Hotuba ya Hayati Magufuli, alipokuwa anadai eti alikuwa anafanya kazi vizuri kipindi cha Urais wa Benjamin Mkapa Hadi Mawaziri wenzake wakaanza kumchukia akapewa Sumu dodoma ambapo anadai alikiepuka kifo(Kifo hakiepukiki).
"
Nilianza kuona dalili za baadhi ya Mawaziri tena wengine wa ngazi za juu kabisa kuanza kunichukia na muda si mrefu baada ya hapo nikanyweshwa sumu Dodoma". Alisema hayati Magufuli
Mawaziri ngazi za juu kabisa kipindi cha Urais wa Benjamin Mkapa walikuwa ni Cleopa Msuya na Frederick Sumaye ambao ndo walikuwa Mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti.
Je, ndo aliowamanisha au kuna wengine?
Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anachukiwa? Na kwanini alikuwa anawachonganisha Mawaziri wenzake na Rais?
View attachment 2382271