Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,681
HahaahaaKwahiyo hataki kuondoka?
HahaahaaKwahiyo hataki kuondoka?
Mungu katusaidia aiseeHuyu inaonekana hana mawazo ya kuachia madaraka , watanzania tujiandae kisaikolojia
Daaahh, salute mkuuKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
Kila Rais anayekuja anavaa viatu vyake. Havai viatu vya aliyemtangulia. Rais Samia Suluhu Hassan hajavaa viatu vya JPM wala hana sabau ya kufanya hivyo; kama vile ambavyo JPM hakuvaa viatu vya JK!Suala la kuondoka anajua haliko katika hiari yake lla tuwe wakweli ni watu wachache Sana wamaoweza kuvivaa viatu vyake vikawaenea!! Ana haki ya kufikiri hatima ya kazi kubwa aliyoianza! Tuwe wakweli, kwani waliopita hawakuwa wanajua makao makuu yanapaswsa yawe Dodoma? Hawakuqa wanajua umuhimu wa reli standard gauge? Hawakujua umuhimu wa kutekeleza kwa haraka ujenzi wa barabara kwa lami? Haya yote waliyajua na yalikuwa tayari yameamuliwa lakini hawakuwa na uthubutu wa kuanza maana waliamini hawawezi kwa kuwa nchi ni maskini. Kwa mazingira hayo ndiyo maana anajiuliza akiondoka atakayekuja ataweza kukamilisha alichokianza?
Rai yangu tumwombee maisha marefu na ukibidi turekebishe katiba ili atawale kwa miaka 20!! ( msinipige mawe hayo ni mawazo yangu)
Mungu mchezo!Kwahiyo mpaka afe ndio tupate rais mwingine? Watanzania tuanze kujiandaa kisaikolojia.
Niache. 😆😆😆😆Daaahh, salute mkuu
Hahahahaaa.Niache. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Masomo mkuuHahahahaaa.
Umeadimika sana mkuu
Kabla yake walikuwepo wengine..na watakuja baada yake..
Sawa mkuu kila la kheriMasomo mkuu
Kabla yake walikuwepo wengine..na watakuja baada yake..
Ameshaondolewa na kimbunga Jobo😃😃 alitaka kukaa kwenye throne then angetuambia yule mwanae bwanyenye ndio anafaa kuongoza. Jambawazi kabisaKwahiyo hataki kuondoka?