NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,001
- 21,298
Soma uzi wa Tumia akili wa utawala wa miaka 12 wa franklin delano roosevelt ndani ya Tanzania!utanielewa!!Who is FDR wetu?.
P

... alijipa hadhi ya uungu kweli kweli!Kwendraaa!(in Mama Claree's voice)
Wameondoka mitume na sisi tutaenda.Nchi sio biashara ya Msambaa akifa,imekufa.
Hahahaha[emoji23]Kiko wapi sasa. Mungu ni muweza wa yote
Huyu magufuli slifeli shule akafukuzwa alisoma kwa kuunga unga yaani watz 60mil akosekane wa kuongoza?Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Ukimshauri mtu humu kusoma uzi fulani, unatupiamo humu na links ya huo uzi!.Soma uzi wa Tumia akili wa utawala wa miaka 12 wa franklin delano roosevelt ndani ya Tanzania!utanielewa!!
Inaelekea ulipata namba na kumpigia Israel kweli! Kwa nini ulifanya hivyo?Kwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
RIPKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
Dah!...sio kila sadaka Mungu huchukua.Duh...!. Kumbe...!.
Naendelea kusisitiza kauli huumba, kwa vile sadaka ni kitu kinachotolewa kwa Mungu, ukijitoa sadaka, Mungu hana hiyana, anajitwalia sadaka yake...
P
Sir God amemuondoa na wala hakupinga.Kwahiyo hataki kuondoka?
Hivi bado unamchukia magufuli, naweza nisiona post yako naomba unipm kabisaSir God amemuondoa na wala hakupinga.
Gibril aliamua kutekeleza hukumu lake bila hata kupigiwa simuKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
Uki beep Mungu anapiga hapohapo. Huyu pimbi alilewa madaraka na pale akina Kabudi na Aggrey Mwanri walipomfananisha na mungu akajiona mungu kweli.Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Bila kutubu Kwa kauli yako hii,,Uki beep Mungu anapiga hapohapo. Huyu pimbi alilewa madaraka na pale akina Kabudi na Aggrey Mwanri walipomfananisha na mungu akajiona mungu kweli.
Endelea kuungua na moto Magufuli, Tanzania imekuwa mahali pema pa kuishi bila wewe
Mimi nitubu kitu gani hapa? Kosa langu ni nini? Sanasana mimi nishukuriwe kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa wasijikweze baada ya kulewa madaraka kama Magufuli.Bila kutubu Kwa kauli yako hii,,
Utakuwa ushachelewa ,,
Hakuna mwenye ahadi na Mungu,,
Kifo tumeumbiwa sisi binadamu.
Tena maisha mazuri sana. Changamoto zilizopo ni za kidunia kama bei kupanda na ukame. Lakini hamna Mtanzania ana wasiwasi wa kutekwa au kuuliwa. Wanaojishughulisha na biashara au kilimo wanapata riziki.Mbona hayupo na life is good
KWANI KABLA YAKO WALIWEZAJE?Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.