Mkumbuke wewe binafsi. Usifanye jumla maana watu wana hasira na Marehemu wako.Mambo hayapo sawa kabisa.Tutakukumbuka daima.Juhudi zako na imani yako inaishi nasi Watanzania
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Naona ulipata namba na bila kuchelewa ukafanya mawasilianoKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji932][emoji99][emoji99][emoji38]Naona ulipata namba na bila kuchelewa ukafanya mawasiliano
Tangu Magufuli aondoke madarakani kuna kila dalili ya wapiga dili kurejea.Nidhamu makazini imepungua masikini wengi hasa wale wa vijijini hawana imani sana na serikali iliyopo.Umeongea mengi ila yote ni upuuzi.Mbowe kuongea na media itapelekea madawa hospitalini? Au kujenga shule kule vijijini? Kukataa ukabila na ukanda (ambacho sio kweli) itatusomoeshea watoto wetu bure? Habari ya kutekwa na nyinginezo za uzushi zitatuletea maji mpaka huku vijijini na kuboresha miundombinu na kujenga hospitali na kupunguza umasikini?? Upuuzi mtupu.Kama mtekaji ameweza kufanya hayo yote basi angeendelea kuteka watu tu na hao waliopigwa risasi 20 wangeendelea kupigwa hata 30!, haswa hao wanasiasa uchwara wanaosaka umaarufu ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani wanapoenda kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu au wagonjwa waliokuwa wanakufa kwa kukosa huduma Bora za afya! Hakumbukwi na wanaJF na Twiter ila watanzania 98% ambao wengi hawajui hii mitandao ya kijamii huko vijijini tutamkumbuka sana! Huna akili kabisa!Mkumbuke wewe binafsi. Usifanye jumla maana watu wana hasira na Marehemu wako.
Mammo yako sawa kabisa. Tumepiga ukabila na ukanda chini, MATAGA wamepigwa chini, uhuru wa Habari na kika kitu ndiyo Habari ya mjini, hakuna anayekamatwa na kuteswa au kufunguliwa kesi kisa amesena ukweli kuhusu huyo Mungu wenu, hakuna ambaye anafia mahabusu, Mbowe aliongea na media hakukua na virungu vya polisi au barua ya polisi kuzuia press conference yake, hatujasikia kuna mtu amekamatwa na wasiojukikana na kupotea kusikijulikana, hatujasikia kuna mtu amekamatwa na wasiojukikana na baadaye kukutwa mwili wake juu ya mtu eti amejinyonga, hatujasikia kuna mtu amepigwa risasi zaidi ya 20, hatujasikia mtumishi wa umma amedhalilishwa mbele ya camera.
Mambo ni mengi na muda ni mchache kuyaandika yote.
Kifupi hana la kukumbukwa. Hivyo alivyojenga ni kwa kodi zetu na zile pesa walizochukuliwa watu ambao Mbunge mmoja alisema ni za Ujambazi bila Silaha. Hiyo miradi haina Baraka. Mh. Rais wetu kipenzi Samia Mungu aliyetupa kutukomboa atajenga miradi yenye Baraka na ameshakuwa ni Baraka kwa watanzania mpaka sasa. Mungu amlinde na kuendelea kumuongezea maarifa ya kuongoza nchi yetu. Mateso tumesahau ndani ya muda mfupi mno.
"Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania " Kazi Iendelee. Ndiyo tuko huko siku hizi. Kwenye salamu ya umoja na amani.
Habari za Wafu wenu msitukumbushie. Tuko na mama yetu na nchi sasa inaongozwa na KIONGOZI na si DIKTETA.
Tena nchi inaenda vizuri kuliko ilivyokuwa miaka 5 nyuma. Kila kitu kizuri - hata hewa yenyewe tunayovuta imekuwa saaaafi! Mungu mkubwa. Hakutaka kutuchelewesha hadi 2025!Ameshaondolewa na kimbunga Jobo😃😃 alitaka kukaa kwenye throne then angetuambia yule mwanae bwanyenye ndio anafaa kuongoza. Jambawazi kabisa
Madikteta wote ndiyo wapo hivyoJamaa alikuwa na ndoto za kutawala milele!! madikteta bana sijui huwa hawawazagi kuwa kuwaga kuna kifo.
Umeandika pumbaTangu Magufuli aondoke madarakani kuna kila dalili ya wapiga dili kurejea.Nidhamu makazini imepungua masikini wengi hasa wale wa vijijini hawana imani sana na serikali iliyopo.Umeongea mengi ila yote ni upuuzi.Mbowe kuongea na media itapelekea madawa hospitalini? Au kujenga shule kule vijijini? Kukataa ukabila na ukanda (ambacho sio kweli) itatusomoeshea watoto wetu bure? Habari ya kutekwa na nyinginezo za uzushi zitatuletea maji mpaka huku vijijini na kuboresha miundombinu na kujenga hospitali na kupunguza umasikini?? Upuuzi mtupu.Kama mtekaji ameweza kufanya hayo yote basi angeendelea kuteka watu tu na hao waliopigwa risasi 20 wangeendelea kupigwa hata 30!, haswa hao wanasiasa uchwara wanaosaka umaarufu ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani wanapoenda kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu au wagonjwa waliokuwa wanakufa kwa kukosa huduma Bora za afya! Hakumbukwi na wanaJF na Twiter ila watanzania 98% ambao wengi hawajui hii mitandao ya kijamii huko vijijini tutamkumbuka sana! Huna akili kabisa!
Kijijini kwetu na vijiji vya jirani hawamkumbuki. Na hatokumbukwa kamwe. Hizo elimu zenu siyo bure. Kama ni bure angenunua na uniform, kuwapa kalamu na daftari, kuwapa vitabu, kuwapa nauli, kuwapatia chakula shuleni n.k. Yaani narudia hasa chakula shuleni maana watoto wengine wanatoka nyumbani hawajala kwa kuwa familia ni maskini na wakifika shuleni njaa inazidi wanaishia kusinzia. Mpaka hapo nyamaza maana elimu siyo Bure ni cheap popularity ilitafutwa.Tangu Magufuli aondoke madarakani kuna kila dalili ya wapiga dili kurejea.Nidhamu makazini imepungua masikini wengi hasa wale wa vijijini hawana imani sana na serikali iliyopo.Umeongea mengi ila yote ni upuuzi.Mbowe kuongea na media itapelekea madawa hospitalini? Au kujenga shule kule vijijini? Kukataa ukabila na ukanda (ambacho sio kweli) itatusomoeshea watoto wetu bure? Habari ya kutekwa na nyinginezo za uzushi zitatuletea maji mpaka huku vijijini na kuboresha miundombinu na kujenga hospitali na kupunguza umasikini?? Upuuzi mtupu.Kama mtekaji ameweza kufanya hayo yote basi angeendelea kuteka watu tu na hao waliopigwa risasi 20 wangeendelea kupigwa hata 30!, haswa hao wanasiasa uchwara wanaosaka umaarufu ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani wanapoenda kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu au wagonjwa waliokuwa wanakufa kwa kukosa huduma Bora za afya! Hakumbukwi na wanaJF na Twiter ila watanzania 98% ambao wengi hawajui hii mitandao ya kijamii huko vijijini tutamkumbuka sana! Huna akili kabisa!
Pole sana ndugu MATAGA.Tangu Magufuli aondoke madarakani kuna kila dalili ya wapiga dili kurejea.Nidhamu makazini imepungua masikini wengi hasa wale wa vijijini hawana imani sana na serikali iliyopo.Umeongea mengi ila yote ni upuuzi.Mbowe kuongea na media itapelekea madawa hospitalini? Au kujenga shule kule vijijini? Kukataa ukabila na ukanda (ambacho sio kweli) itatusomoeshea watoto wetu bure? Habari ya kutekwa na nyinginezo za uzushi zitatuletea maji mpaka huku vijijini na kuboresha miundombinu na kujenga hospitali na kupunguza umasikini?? Upuuzi mtupu.Kama mtekaji ameweza kufanya hayo yote basi angeendelea kuteka watu tu na hao waliopigwa risasi 20 wangeendelea kupigwa hata 30!, haswa hao wanasiasa uchwara wanaosaka umaarufu ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani wanapoenda kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu au wagonjwa waliokuwa wanakufa kwa kukosa huduma Bora za afya! Hakumbukwi na wanaJF na Twiter ila watanzania 98% ambao wengi hawajui hii mitandao ya kijamii huko vijijini tutamkumbuka sana! Huna akili kabisa!
Humu kuna punguani wengi.Kwani hakukuwa na viongozi wazuri kabla yake na walioleta maendeleo na hakuna viongozi zaidi yake weye uwezo?Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Tena nchi inaongozwa vizuri kwelikweli. Kwani nasema uongo ndugu zangu? Angeruhusiwa kidogo afufuke akute jinsi legacy yake imeporomoka ndani ya dakika sifuri na jinsi Mh. Samia anafanya kazi kwa akili angekufa na kukauka kama umeme. Hata asingethubutu kugombea tena cheoo cha kuongoza malaika mbinguni maana kura zingetaga yai.
Ya kwako ni ya kijinga zaidi!Sawa ni mawazo yako lakini ni ya kijinga.
Kusisitiza mawazo yako ndiyo ya kijinga zaidi!Kusisitiza, mawazo na maoni yake ni ya kijinga kabisa.
Pole mkuu kubali tu jamaa ndio ameshaondoka, kuna watu wenye shida nchi hii kuliko waliopo vijijini?sema tu ni ujinga walionao, wao wanategemea kilimo waulize kwenye uuzaji wa mazao yao, nini kimetokea kwenye kipindi cha awamu ya tano?!nenda kwenye pamba, korosho, na kahawa huko uwasikilize kilichowakuta, bado kwenye mahindi, mpunga, dawa zimekuwa ni tatizo sugu kwenye hayo majengo ya hospitali, kuna kipindi chochote ambacho gharama za matibabu zimekuwa juu zaidi ya awamu ya tano?kweli tulipatikana eti rais anasema kuwa SERIKALI HUWA HAIPATI HASARA!!Kweli???MUNGU FUNDITangu Magufuli aondoke madarakani kuna kila dalili ya wapiga dili kurejea.Nidhamu makazini imepungua masikini wengi hasa wale wa vijijini hawana imani sana na serikali iliyopo.Umeongea mengi ila yote ni upuuzi.Mbowe kuongea na media itapelekea madawa hospitalini? Au kujenga shule kule vijijini? Kukataa ukabila na ukanda (ambacho sio kweli) itatusomoeshea watoto wetu bure? Habari ya kutekwa na nyinginezo za uzushi zitatuletea maji mpaka huku vijijini na kuboresha miundombinu na kujenga hospitali na kupunguza umasikini?? Upuuzi mtupu.Kama mtekaji ameweza kufanya hayo yote basi angeendelea kuteka watu tu na hao waliopigwa risasi 20 wangeendelea kupigwa hata 30!, haswa hao wanasiasa uchwara wanaosaka umaarufu ili kuokoa maelfu ya wanawake waliokuwa wanafia njiani wanapoenda kujifungua kutokana na ubovu wa miundombinu au wagonjwa waliokuwa wanakufa kwa kukosa huduma Bora za afya! Hakumbukwi na wanaJF na Twiter ila watanzania 98% ambao wengi hawajui hii mitandao ya kijamii huko vijijini tutamkumbuka sana! Huna akili kabisa!