Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,535
- 61,968
Wee jamaaKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
Wee jamaaKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
weka Akina ya maneno rafiki yangu kwa dizaini ya huu upepo utaniambia.Mkumbuke wewe binafsi. Usifanye jumla maana watu wana hasira na Marehemu wako.
Mammo yako sawa kabisa. Tumepiga ukabila na ukanda chini, MATAGA wamepigwa chini, uhuru wa Habari na kika kitu ndiyo Habari ya mjini, hakuna anayekamatwa na kuteswa au kufunguliwa kesi kisa amesena ukweli kuhusu huyo Mungu wenu, hakuna ambaye anafia mahabusu, Mbowe aliongea na media hakukua na virungu vya polisi au barua ya polisi kuzuia press conference yake, hatujasikia kuna mtu amekamatwa na wasiojukikana na kupotea kusikijulikana, hatujasikia kuna mtu amekamatwa na wasiojukikana na baadaye kukutwa mwili wake juu ya mtu eti amejinyonga, hatujasikia kuna mtu amepigwa risasi zaidi ya 20, hatujasikia mtumishi wa umma amedhalilishwa mbele ya camera.
Mambo ni mengi na muda ni mchache kuyaandika yote.
Kifupi hana la kukumbukwa. Hivyo alivyojenga ni kwa kodi zetu na zile pesa walizochukuliwa watu ambao Mbunge mmoja alisema ni za Ujambazi bila Silaha. Hiyo miradi haina Baraka. Mh. Rais wetu kipenzi Samia Mungu aliyetupa kutukomboa atajenga miradi yenye Baraka na ameshakuwa ni Baraka kwa watanzania mpaka sasa. Mungu amlinde na kuendelea kumuongezea maarifa ya kuongoza nchi yetu. Mateso tumesahau ndani ya muda mfupi mno.
"Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania " Kazi Iendelee. Ndiyo tuko huko siku hizi. Kwenye salamu ya umoja na amani.
Habari za Wafu wenu msitukumbushie. Tuko na mama yetu na nchi sasa inaongozwa na KIONGOZI na si DIKTETA.
Kajamaa kalipenda sifa sanaKafanya kipi cha maana kwanza tuanzie hapo
Ndiyo,ila Mungu kamuvuzisha kilazimaKwahiyo hataki kuondoka?
😄😃😀😁😁Kwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
[emoji23][emoji23][emoji23]Wee jamaa
Ulipata namba?Kwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
Kumbe ilijulikana deni linapaa,kwa nini Ndugai hakuhoji kipindi hicho?huyu jamaa limeyumba sana asa ana lipi la maana ama hii kuteka tena na kuua kibwege bwege na kuzidi kupaa kwa deni la taifa.
Usicheke siyo mazuri hayo[emoji3][emoji38]
Duh...!. Kumbe...!.“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
Mkuu hivi FDR yaani Franklin D Roosevelt wa Tanzania atatwaa lini nchi?Ili miradi ya nchi iendelee kama kawaida??Duh...!. Kumbe...!.
Naendelea kusisitiza kauli huumba, kwa vile sadaka ni kitu kinachotolewa kwa Mungu, ukijitoa sadaka, Mungu hana hiyana, anajitwalia sadaka yake...
P
Who is FDR wetu?.Mkuu hivi FDR yaani Franklin D Roosevelt wa Tanzania atatwaa lini nchi?Ili miradi ya nchi iendelee kama kawaida??