Magufuli na Muhongo, hii sio confusion?

Magufuli na Muhongo, hii sio confusion?

Jambo amabalo kwangu binafsi naona ni sahihi. Wote ni wasomi wa level ya PhD na kuendelea, lazima kimtizamo kuna sehemu kila mmoja atakua na fikra yake. Lakini mwishowe fikra zao waziharmonize na kuja na kitu kimoja

Ni kweli.Ila Waziri anatakiwa kufanya kazi alizoagizwa na Rais.Kwa hiyo inamaana Waziri alikuwa ajamueleza Rais ana dhamiria kufanya nini.Ili kuleta maendeleo chanya na endelevu ni muhimu kwa viongozi wote wawe na uelekeo mmoja.It is a team work.
 
Wale mliomsikia Rais Magufuli alichosema leo kuhusu sera ya nishati ya umeme
mtakubaliana na mimi alichofanya leo Magufuli ni 'kumpinga waziwazi'
waziri wake wa nishati ndugu Muhongo....

nimewahi kuleta thread humu nikiuliza anayoyasema Muhongo ndo aliyotumwa
na Magufuli?Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

Tunaweza kusema sasa kuwa Muhongo alikuwa 'ana sera zake binafsi'
za nishati alizokuwa anazitekeleza na sera za Rais Magufuli ni tofauti
na za Muhongo

Muhongo toka ateuliwe amekuwa anazungumza kuhusu 'wawekezaji binafsi'
kuzalisha umeme na Tanesco kununua tu

akisema ndo solution ya matatizo ya umeme Tanzania

Leo Rais Magufuli kasema hataki kusikia tena biashara za kununua umeme na kukodisha
mitambo na mambo ya mikataba na kampuni binafsi
Tanesco ijiimarishe izalishe yenyewe....

Sasa najiuliza je hii sio confusion now?
why Muhongo aendelee kuwa waziri?
why Magufuli asimteue anaemuona anaelewa sera zake?

Je wawekezaji waliomsikiliza Muhongo waki invest mabilioni wakiwa
na imani kuwa 'muelekeo ni Tanesco kununua tu na si kuzalisha yenyewe si wataingizwa mkenge?

Niseme ingawa binafsi naona Magufuli yuko sahihi kwa hili
lakini hii 'confusion' inaweza leta shida huko mbele....

Kama Muhongo anatofautiana kimtazamo na Rais Magufuli kwenye sera za nishati ni bora
aondoke au aondolewe haraka asije sababisha 'mkanganyiko' huko mbele

Na Rais Magufuli awe very clear na sera ya nishati
tueleweke muelekeo ni upi? ili hata TANESCO nao wajipange huku wakijiamini kuwa
wapo sawa kisera na mkuu wa nchi
Kuliko kuwa na waziri anaewaambia 'wajiandae kuachia uzalishaji'
huku Rais anawaagiza 'wajiimarishe kwenye kuzalisha'
hii confusion ni jipu kubwa
Furaha yenu nikuona mnafaanikiwa kumuondoa muhongo pale lakini aliepewa kapewa tu
 
Tatizo kubwa ni Magufuli, sio rais yaani mara mia wangebadilishana kiapo na Majaliwa.
Watanzania tuna tabia ya kusifu tusivyovijua badala ya kuhoji na kuviogopa, taifa lipi sehemu mbaya zaidi sasa tunahitaji vision ya kututoa hapa visasi tutarudi baadae majipu hayana tija kwa sasa kuwa agenda.
 
Tu
Kwenye Nishati ndo migogoro mingi ipo na ndiyo moyo wa nchi.

Ukisimama imara kwenye nishati umemaliza kila kitu.

Sidhani kama Tanzania itatokea.

Tumeona Libya kwa mfano tu hapa Africa walisimama imara ikawaletea shida mpaka leo wamesambaratishwa.

Nishati ..Nishati..

Quwait..n.k.hakuko salama.

Mtu yeyote atakaeleta sera nzuri ya kunufaisha watu wake kutokana na nishati lazima aionje.

Ndo maana hawa wetu WANAIGIZA tu.[/QQUOTE
Tusipende kuwasemea wale tujaribu tuone Kama yana ukweli,
 
Wale mliomsikia Rais Magufuli alichosema leo kuhusu sera ya nishati ya umeme
mtakubaliana na mimi alichofanya leo Magufuli ni 'kumpinga waziwazi'
waziri wake wa nishati ndugu Muhongo....

nimewahi kuleta thread humu nikiuliza anayoyasema Muhongo ndo aliyotumwa
na Magufuli?Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

Tunaweza kusema sasa kuwa Muhongo alikuwa 'ana sera zake binafsi'
za nishati alizokuwa anazitekeleza na sera za Rais Magufuli ni tofauti
na za Muhongo

Muhongo toka ateuliwe amekuwa anazungumza kuhusu 'wawekezaji binafsi'
kuzalisha umeme na Tanesco kununua tu

akisema ndo solution ya matatizo ya umeme Tanzania

Leo Rais Magufuli kasema hataki kusikia tena biashara za kununua umeme na kukodisha
mitambo na mambo ya mikataba na kampuni binafsi
Tanesco ijiimarishe izalishe yenyewe....

Sasa najiuliza je hii sio confusion now?
why Muhongo aendelee kuwa waziri?
why Magufuli asimteue anaemuona anaelewa sera zake?

Je wawekezaji waliomsikiliza Muhongo waki invest mabilioni wakiwa
na imani kuwa 'muelekeo ni Tanesco kununua tu na si kuzalisha yenyewe si wataingizwa mkenge?

Niseme ingawa binafsi naona Magufuli yuko sahihi kwa hili
lakini hii 'confusion' inaweza leta shida huko mbele....

Kama Muhongo anatofautiana kimtazamo na Rais Magufuli kwenye sera za nishati ni bora
aondoke au aondolewe haraka asije sababisha 'mkanganyiko' huko mbele

Na Rais Magufuli awe very clear na sera ya nishati
tueleweke muelekeo ni upi? ili hata TANESCO nao wajipange huku wakijiamini kuwa
wapo sawa kisera na mkuu wa nchi
Kuliko kuwa na waziri anaewaambia 'wajiandae kuachia uzalishaji'
huku Rais anawaagiza 'wajiimarishe kwenye kuzalisha'
hii confusion ni jipu kubwa
muhongo ni jipu cjui magu amemsubilisha nn
 
sioni sabab ya muhongo kuendelea kushikilia nafas ya uwazir ameshaonesha waz kuwa anatakrimisha sn rushwa na ufisadi waziwazi
 
Tatizo kubwa ni Magufuli, sio rais yaani mara mia wangebadilishana kiapo na Majaliwa.
Watanzania tuna tabia ya kusifu tusivyovijua badala ya kuhoji na kuviogopa, taifa lipi sehemu mbaya zaidi sasa tunahitaji vision ya kututoa hapa visasi tutarudi baadae majipu hayana tija kwa sasa kuwa agenda.
Visasi vipi??una ushahidi majipu haya ni visasi??au na wewe ni mmoja wa waathirika??majipu ni muhimu yatumbuliwe ili wanaotukwamisha wakae pembeni...hao unaowatetea hakuna hata mmoja alienda mahakamani kulalamika ametumbuliwa maana wanajua kuna sehemu wamekosea na pia nafasi walizokua nazo ni za kuteuliwa,hawakuziomba na taasisi iliyowapa nafasi izo imeona haiwahitaji tena..so muache kulalamika waambieni wakafungue kesi mahakamani kua wamefanyiwa visasi hawakua majipu...n lastly taifa halipo ktk hali mbaya km unavyotaka tuamini,now tunalipa wakandarasi & miradi iliyokwama now imeanza kutekelezwa,tunakusanya kodi vzuri,hatukopi kulipa mishahara ya watumishi,umeme ndo km ivo megawat zinaongezwa...tupo ktk hali mbaya ipi labda??tusiwe watu wa kulaumu tu kila siku..
 
Good leader should have vision and proplem solver sasa ukiona tbc wako hewan ndo unatoa mataamko
Sema tumpa wenyewe ngoja tuisome namba
My be ataeleweka
 
Muendelezo wa siasa za fisi....kufuatilia mambo yasiyo na mantiki.
Unadhani hii hoja haina mantiki, kweli??? Tanesco ni moja ya taasisi inayohitaji umakini wa hali ya juu sana.
Kumbuka kuwa, maneno ya waziri yanaweza kuvutia wawekezaji ambao watainvest billions of shillings, then raisi aje na sera tofauti, itakuwa catastrophe kwa wawekezaji.
 
yaani siku hizi nikisikia mtu ni professa hata sishtuki. wengi ni wajingajinga uelewa finyu.
 
Wale mliomsikia Rais Magufuli alichosema leo kuhusu sera ya nishati ya umeme
mtakubaliana na mimi alichofanya leo Magufuli ni 'kumpinga waziwazi'
waziri wake wa nishati ndugu Muhongo....

nimewahi kuleta thread humu nikiuliza anayoyasema Muhongo ndo aliyotumwa
na Magufuli?Anayoyasema Muhongo katumwa na Magufuli?

Tunaweza kusema sasa kuwa Muhongo alikuwa 'ana sera zake binafsi'
za nishati alizokuwa anazitekeleza na sera za Rais Magufuli ni tofauti
na za Muhongo

Muhongo toka ateuliwe amekuwa anazungumza kuhusu 'wawekezaji binafsi'
kuzalisha umeme na Tanesco kununua tu

akisema ndo solution ya matatizo ya umeme Tanzania

Leo Rais Magufuli kasema hataki kusikia tena biashara za kununua umeme na kukodisha
mitambo na mambo ya mikataba na kampuni binafsi
Tanesco ijiimarishe izalishe yenyewe....

Sasa najiuliza je hii sio confusion now?
why Muhongo aendelee kuwa waziri?
why Magufuli asimteue anaemuona anaelewa sera zake?

Je wawekezaji waliomsikiliza Muhongo waki invest mabilioni wakiwa
na imani kuwa 'muelekeo ni Tanesco kununua tu na si kuzalisha yenyewe si wataingizwa mkenge?

Niseme ingawa binafsi naona Magufuli yuko sahihi kwa hili
lakini hii 'confusion' inaweza leta shida huko mbele....

Kama Muhongo anatofautiana kimtazamo na Rais Magufuli kwenye sera za nishati ni bora
aondoke au aondolewe haraka asije sababisha 'mkanganyiko' huko mbele

Na Rais Magufuli awe very clear na sera ya nishati
tueleweke muelekeo ni upi? ili hata TANESCO nao wajipange huku wakijiamini kuwa
wapo sawa kisera na mkuu wa nchi
Kuliko kuwa na waziri anaewaambia 'wajiandae kuachia uzalishaji'
huku Rais anawaagiza 'wajiimarishe kwenye kuzalisha'
hii confusion ni jipu kubwa
Mbona huja quote alichosema Magufuli. Ulichofanya ni kusema ulivyoelewa wewe. Usibadilishe neno hata moja la hiyo segment ya hotuba utaona inaleta maana tofauti.
 
Weka hapa tuone kama unayo clip
 
Ile hotuba ni ushahidi unaoweza hata kuja kutumika kumhukumu
Magufuli huko baadae
anawaagiza wakuu wa mikoa waweke watu ndani kwa masaa 48
wakamate watu kisa wanacheza pool...ni hatari sana
mtu mmoja anaweza sababisha maafa akajitetea anatii maagizo ya mkuu wa nchi
tusije fika The Hague siku moja
Mkuu imagination yako inakutangulia.
 
Mkuu Nguruvi3 bora wewe umetusaidia kuorodhesha madudu haya ya Muhongo
ndani ya siku 100 tu

kinachoshangaza ni kuona why Magufuli hamuondoi haraka?
Mkuu umesikiliza hotuba ya Magufuli Kinyerezi kweli? Ameshasema mnaolalamika juu ya Muhongo mna yenu ya ziada na yeye hamwondoi!
 
Haha, kuna watu wanaona haya matamko na maagizo ni mapya ...

TANESCO Leo haina hata chuo cha kuzalisha wataalamu wake......
Acha uongo wewe vyuo vipo tena vyakutosha mali ya tanesco kuna tts na vinginevyo tts-tanesco training school
 
Back
Top Bottom