Magufuli na Muhongo, hii sio confusion?

Magufuli na Muhongo, hii sio confusion?

Hii ndio nchi pekee na ya kwanza kusikia Waziri na Rais wanatofautiana kwenye sera nyeti kwenye wizara nyeti kama hii.....

Yaani tuna nchi ya ajabu sana....

Unaweza tu kujiuliza swali la kijinga,kama wewe The Boss umeona huu mkanganyiko inakuwaje rais au waziri hajaona?

Yaani taarifa unaanza kuzipata wewe kabla yao au inakuwaje?

Yaani kama ni hivyo tunaishi kwenye nchi ya ajabu kabisa kuwahi kutokea duniani.....

Uthibito kuwa unaish kweny nchi ya ajabu!!!?...
 
Ile hotobu ya wakuu wa mikoa ndio aliharibu sana,
Yale maagizo ni asset sana hapo baadaye
Hakuna mtu anajaribu kumsahihisha mpaka wasome JF

Ile hotuba ni ushahidi unaoweza hata kuja kutumika kumhukumu
Magufuli huko baadae
anawaagiza wakuu wa mikoa waweke watu ndani kwa masaa 48
wakamate watu kisa wanacheza pool...ni hatari sana
mtu mmoja anaweza sababisha maafa akajitetea anatii maagizo ya mkuu wa nchi
tusije fika The Hague siku moja
 
Mkuu ndani ya huu mkanganyiko hebu imagine wewe ndo mkurugenzi wa TANESCO
ambae unaonana na waziri kila mara kumbe anayoyasema ni kinyume na msimamo wa Rais

pata picha utakuwa unamtii vipi?
usipomtii utabaki salama?
Wawekezaji wangapi wameshaanza planning ya kuja bongo?
Kila mtu yuko busy mikoani kusema hili kumbe boss wao yupo tofauti na wao
 
Uongo unajulikana kwa contradiction.

Dhana ya kwamba tuna uongozi makini ni ya uongo, ndiyo maana tunaona hizi contradictions.

Kama kungekuwa na uongozi makini, wangepatana nini cha kufanya na kuongea katika baraza la mawaziri na mawasiliano mengine kiasi kwamba kusingekuwa na contradictions, angalau kusingekuwa na contradictions kubwa kama hii.

Mimi hupenda sana kutafuta uongo kwa kuangalia logical consistency na contradictions 🙂

Ni kweli mkuu...

Kwa mambo serious kama hayo kusubiri camera ndo useme ni wazi hakuna seriousness!!! Ndo Yale ya Ummy mwalimu kusubiri siku ya wanawake ndo aseme hadharani kuwa anamtaka mkurugenzi wa TWB ampelekee maelezo why riba ni kubwa!!! Kwa kiongozi mzuri nafikiri angekaa chini na timu yake wajadiliane kisha kufikia mwafaka kuliko kusubiri camera ndo uropoke!!!

Sasa ya Leo ndo hayo Rais anatoa kitu tofauti na waziri wake!!!
 
Uongo unajulikana kwa contradiction.

Dhana ya kwamba tuna uongozi makini ni ya uongo, ndiyo maana tunaona hizi contradictions.

Kama kungekuwa na uongozi makini, wangepatana nini cha kufanya na kuongea katika baraza la mawaziri na mawasiliano mengine kiasi kwamba kusingekuwa na contradictions, angalau kusingekuwa na contradictions kubwa kama hii.

Mimi hupenda sana kutafuta uongo kwa kuangalia logical consistency na contradictions 🙂
Kwa hili sawa lakini sio kwa lile lingine.....🙁
 
Lakini hii inaashiria nini? Inatoa picha gani kwa Magufuli? Sio Rais alipaswa tangu awali kabla ya kumpa hiyo kazi angempa Sera....mwelekeo na imani yake ktk sekta hiyo? Hii haituoneshi Mzee Magu Mzee wa ghafla na kuripuka?

Inakuaje Boss hukai na timu yako na kuwaambia unataka Ku achieve nini?

Hii inaonesha dhahiri Mr. President hana vision!

Mkuu uko sahihi kabisa
nime avoid kum attack ili tuweze kujadili bila wale 46
kuja kuharibu thread...

Ndo maana nimesema anaongoza kwa style ya kuwafanya mawaziri wake
wawe wana guess misimamo yake
ni kama hawapi clear visions na maagizo ya nini anataka na wapi wapite
 
Kwa hili sawa lakini sio kwa lile lingine.....🙁
Hahaha, hiyo inaitwa "selective objectivity".

Umeweka standard kubwa kwa hawa mere mortals kuliko kwa yule mwisho wa habari zote?

How absurd!
 
Ile hotuba ni ushahidi unaoweza hata kuja kutumika kumhukumu
Magufuli huko baadae
anawaagiza wakuu wa mikoa waweke watu ndani kwa masaa 48
wakamate watu kisa wanacheza pool...ni hatari sana
mtu mmoja anaweza sababisha maafa akajitetea anatii maagizo ya mkuu wa nchi
tusije fika The Hague siku moja

Ningemshauri Magufuli angekaa kimya kwanza apate twisheni ya urais baadae akiwiva ndo aanze hizo mambo zake...

Magufuli ameishushia hadhi sana nafasi ya urais kwa kauli zake kurupushi!!!

Nashangaa wanaomwita Nyerere ni wakweli kwake au wanataka vyeo?
 
Lakini hii inaashiria nini? Inatoa picha gani kwa Magufuli? Sio Rais alipaswa tangu awali kabla ya kumpa hiyo kazi angempa Sera....mwelekeo na imani yake ktk sekta hiyo? Hii haituoneshi Mzee Magu Mzee wa ghafla na kuripuka?

Inakuaje Boss hukai na timu yako na kuwaambia unataka Ku achieve nini?

Hii inaonesha dhahiri Mr. President hana vision!
Ile ilani yenye page ngapi sijui katupa kule, kwa sasa ni RAIS ndio anawaza nini kifanyike,
 
Wawekezaji wangapi wameshaanza planning ya kuja bongo?
Kila mtu yuko busy mikoani kusema hili kumbe boss wao yupo tofauti na wao

Alishafanya mkutano na wawekezaji na ulitangazwa na media
wawekezaji wa nje na ndani
na akawaeleza huo msimamo

kuwa muelekeo ni Tanesco kuacha kuzalisha..iwe inanunua tu...
 
Ile ilani yenye page ngapi sijui katupa kule, kwa sasa ni RAIS ndio anawaza nini kifanyike,

Na sasa ni kama anapiga mwenyewe kinanda na anakisikiliza kilivyo kitamu..
ni hatari sana....
 
Hahaha, hiyo inaitwa "selective objectivity".

Umeweka standard kubwa kwa hawa mere mortals kuliko kwa yule mwisho wa habari zote?

How absurd!
Hapana,

Kule hakuna contra-diction kwasababu hiyo hili sio sawa na lile....

Itakuwa absurd kama ingekuwa kama unavyofikiria....

"YULE" Hana mikinzano.....
 
Ningemshauri Magufuli angekaa kimya kwanza apate twisheni ya urais baadae akiwiva ndo aanze hizo mambo zake...

Magufuli ameishushia hadhi sana nafasi ya urais kwa kauli zake kurupushi!!!

Nashangaa wanaomwita Nyerere ni wakweli kwake au wanataka vyeo?
Ulikuwa unatarajia kipya kutoka kwenye hii serikali mkuu?
 
Hapana,

Kule hakuna contra-diction kwasababu hiyo hili sio sawa na lile....

Itakuwa absurd kama ingekuwa kama unavyofikiria....

"YULE" Hana mikinzano.....
Tatizo umemtengenezea uwezo wa kutopimika ambao haupo, of course atakosa mikinzano hata kama ipo.
 
Alishafanya mkutano na wawekezaji na ulitangazwa na media
wawekezaji wa nje na ndani
na akawaeleza huo msimamo

kuwa muelekeo ni Tanesco kuacha kuzalisha..iwe inanunua tu...
Jamaa asipotuliza kichwa, atayumbisha zaidi huu uchumi wa mabox,
Symbion walitangaza $700m kama investment kwenye umeme wa gas kuanzia sept 2016,
 
suala la ku deal na malaya limewapa polisi ulaji,wanavamia hadi ma lodge sasa hivi na hili la pool table ni deal nyingine...hehehehehehe...ptuuuuu
 
Jamaa asipotuliza kichwa, atayumbisha zaidi huu uchumi wa mabox,
Symbion walitangaza $700m kama investment kwenye umeme wa gas kuanzia sept 2016,
Atakanusha tu.

Kuna mikataba mingine kuivunja ni kama kuuza nusu ya nchi kwa miaka kadhaa.
 
Atakagua mpaka chupi kama watu wamefua, bila kuwapa maji wala sabuni.

Ndio tutaona wanaomshangilia watashangilia vizuri.

Unajua siku Magufuli atakapo badilisha katiba ajiongeze mda kuna watu
watastuka kama vile hawaoni huu mwanzo...
hao mawaziri kina Makamba wanaomsifia kinafiki now huku
wakimsubiri amalize miaka 10 wagombanie kumrithi watabaki mdomo wazi
wakati hili lipo waazi kabisa ukilitazama
 
Tatizo umemtengenezea uwezo wa kutopimika ambao haupo, of course atakosa mikinzano hata kama ipo.
Ningekuuliza swali lakini ngoja niache tu....

Tunachakachua thread ya watu bila sababu ya msingi....

Tuendelee kujadili kilichopo mezani haya mengine tukutane kwenye thread husika.....
 
Back
Top Bottom