nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
...kwangu mimi credibility ya Muhongo ilipotea tangu wapige escrow....haya mengine yote ni matokeo tu....Nilishangaa sana huyu mtu kuwepo kwenye baraza la JPM...maana hata bunge lilimuhukumu kwenye yale mapendekezo ya bunge dhidi ya wapiga escrow(ikiwemo IPTL)...
...huwa ninajiuliza sana...kama kuna mawaziri kama Tibaijuka waliadhibiwa kwenye escow...ilikuwaje huyu jamaa akapona na hata kurudishwa uwaziri?...mi naona kuna mengi nyuma ya pazia yanafichwa kuhusu huyu jamaa...maana wala hajali kauli zake....mfano wakati ule akiwa kwenye baraza la mkwere alisema wazawa hawana jeuri ya kuwekeza kwenye nishati/gesi....leo akiwa kwenye baraza la JPM anaimba wimbo wa wazawa kuweza kuwekeza kwenye nishati...
...ifike mahali sasa viongozi vigeugeu hawa wasutwe live na bunge...kama mteuzi wao atawakalia kimya....