Magufuli Mitano Tena

Magufuli Mitano Tena

2015 hakushinda, alitangazwa tu hadi mwenyewe akasema alisukumiziwa tu.

Huu utakuwa uchaguzi wake wa kwanza, pia hawezi kushinda.

Aliitafuta legitimacy kwa nguvu, sasa alijiona anapendwaaa, Lisu kafanya mikutano michache tu, Magufuli hoiii.

Hahaha
 
Ndio ukweli huo, mtu apende ama asipende Ila ndo hivyo. Tofauti na wagombea wengine, JPM ataendelea kuwa Rais hadi 2025.

Sababu za kumpa ushindi ni nyingi wala hazihesabiki, akianguka sana ni amepata robo tatu(75%) ya kura zote. Kwa hiyo ni uamuzi wa wapiga kura kuweka kura zao kwenye kapu la ushindi ama kuzitoa kafara.

Kuhusu wapinzani, kwanza watambue hamasa yao mitandaoni hailandani na uhalisia wa mitaani. Pili wasikate tamaa maana uchaguzi ni haki yao. Tatu, wawe tayari kukubali na kusaini karatasi za matokeo.

Kwa wale wanaopingana na huu uzi niwasihi wazitunze comments zao hadi mwezi November.

View attachment 1538043
Mmawia, Daudi Mchambuzi , Erythrocyte & Co. mmakaribishwa ktk ante party ya kusherehekea ushindi wa kishindo wa jpm 2020.
 
Bora nikampigie kura Hashimu Rungwe Spunda ambaye anatambua ni nini hasa mwanadamu anacho kihitaji zaidi katika maisha yake! CHAKULA! Ila siyo huyo anayewaza kununua tu ndege na kujenga flyovers akiamini ndiyo maendeleo ya kweli.

Tumchague ili iweje? Tuendelee kuishi kama mashetani halafu yeye mwenyewe, familia yake, watu wake wa karibu, marafiki zake na vibaraka wake ukiwemo wewe mtoa mada, ili tu muendelee peke yenu kufaidi mema ya nchi hii kwa kupitia njia ya kizamani na ya kinafiki ya kumlamba miguu yake!!

Big NO [emoji777]
Huwa natoa LIKE mara chache sana kadri navyooma inafaa kamata LIKE hiyo jamaa angu 👍
 
Kama mnaamini Pombe atashinda kwanini mataga mnatuma wahuni wavamie shuhuli za vyama vya upinzani?
Hao wanaovamia ni matukio yanatengenezwa na chadema ili kutafuta kiki kuwa wanaonewa ktk jukwaa la kimataifa...sinema limebugi...
 
Hao wanaovamia ni matukio yanatengenezwa na chadema ili kutafuta kiki kuwa wanaonewa ktk jukwaa la kimataifa...sinema limebugi...
Ni kwa nini mnapiga fine maradio na tv wanaorusha habari za Lissu?
Kwa nini mnatuma mapolisi kuvizia form za wagombea wa upinzani?

Ni nini hicho kinachowaogopesha sana hadi mnatamani jina la Lissu lienguliwe??
 
Hofu yenu ndio ugonjwa wenu. Mnapita karibu na kituo cha polisi ukimuona polisi unahisi anakuandama wewe.
 
Bora nikampigie kura Hashimu Rungwe Spunda ambaye anatambua ni nini hasa mwanadamu anacho kihitaji zaidi katika maisha yake! CHAKULA! Ila siyo huyo anayewaza kununua tu ndege na kujenga flyovers akiamini ndiyo maendeleo ya kweli.

Tumchague ili iweje? Tuendelee kuishi kama mashetani halafu yeye mwenyewe, familia yake, watu wake wa karibu, marafiki zake na vibaraka wake ukiwemo wewe mtoa mada, ili tu muendelee peke yenu kufaidi mema ya nchi hii kwa kupitia njia ya kizamani na ya kinafiki ya kumlamba miguu yake!!

Big NO [emoji777]
Tumia angalau 10% ya akili yako, hicho chakula kinatoka mbinguni, so ufanye kazi uweze kununua hicho chakula au ukizalishe
 
Mmawia, Daudi Mchambuzi , Erythrocyte & Co. mmakaribishwa ktk ante party ya kusherehekea ushindi wa kishindo wa jpm 2020.
Kitu pekee cha kumfanya JPM aonekane Rais wa ajabu ni iwapo atakosa usingizi kwa hofu na stress za huu uchaguzi. Eti ashindwe uchaguzi wa term ya pili? Hilo halijawahi kutokea kwa yeyote aliyemtangulia kwenye urais.
 
Meko ni lazima akae pembeni na madaraja yake.

Watanzania wanahitaji ustawi katika maisha yao ya kila siku sio madaraja pekee ambayo hayamfanyi mtu ashibe.
 
Meko ni lazima akae pembeni na madaraja yake.

Watanzania wanahitaji ustawi katika maisha yao ya kila siku sio madaraja pekee ambayo hayamfanyi mtu ashibe.
Duh..
Hii sasa ni kama playStation ya uchaguzi wa 2020. Naona mnafheza playstation tu...
 
Back
Top Bottom