ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,265
- 14,848
- Thread starter
- #41
Madaraja yatajenga Sana tu ndio njia ya kustawi hiyo....bado la kutokea Dar hadi Zanzibar tuwe tunajogging hadi Zenji😁Meko ni lazima akae pembeni na madaraja yake.
Watanzania wanahitaji ustawi katika maisha yao ya kila siku sio madaraja pekee ambayo hayamfanyi mtu ashibe.
Lingine ni la Kigoma hadi Goma DRC....kuwa na subira mkuu utayaona.