Moi Dinya
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 1,296
- 826
![]()
Lowassa hebu na wewe onyesha umma kama hao wakuu hapo juu. Walahi ukipiga push up moja tu, mimi nahamia UKAWA.
iga unye
![]()
Lowassa hebu na wewe onyesha umma kama hao wakuu hapo juu. Walahi ukipiga push up moja tu, mimi nahamia UKAWA.
Mkuu nilikuwa namtania jamaa, nilijua alitumia a diplomatic language kuonyesha kwamba Dk.Magufuli kupiga push-up hakutabadirisha misimamo ya wapiga kura wa UKAWA!! Lakini nataka kuwakumbusha kwa nia nzuri tu kwamba come October Dk JPM atawashangaza wengi ata scoop Zaidi ya asili mia 75.5% za wapiga kura - push up, push pull, inside out or upsidedown notwithstanding.Vitoto vinapiga push up Siku nzima.......
![]()
Mkuu nilikuwa namtania jamaa, nilijua alitumia a diplomatic language kuonyesha kwamba Dk.Magufuli kupiga push-up hakutabadirisha misimamo ya wapiga kura wa UKAWA!! Lakini nataka kuwakumbusha kwa nia nzuri tu kwamba come October Dk JPM atawashangaza wengi ata scoop Zaidi ya asili mia 75.5% za wapiga kura - push up, push pull, inside out or upsidedown notwithstanding.
![]()
Lowassa hebu na wewe onyesha umma kama hao wakuu hapo juu. Walahi ukipiga push up moja tu, mimi nahamia UKAWA.
Lowassa yupi anaye ibomoa CCM? Yule wa Ufisadi na Richmond au yupi huyo? Maana kama kweli angekuwa muadilifu, angehama CCM kabla ya kupigwa panga.Simpendi Lowassa. Ila kwa sababu anasaidia kuibomowa CCM sawa tu.
Kama Rais hata mie ningelitamani awe Magufuli ill Bunge liwe la Chadema....au Ukawa.
Kwakweli rais lazima awe physically na mentally fit
Mwanaume na kiongozi thabit lazima afanya zoezi. In fact, Marais wote wa dunia ya kwanza wanaenda gym every morning.baki uko uko na gamba lako, utu uzima dawa ila uwe timamu,natilia shaka uwezo wako wa kupambanua mambo mkuu!! ikulu sio ulingo wa mapambano au gym ndio maana kina cheka,matumla cena,nash,undertaker,kane,maywheather na wengine wanaowezea push ups wako kwny ndondi au mieleka au maeneo yanayofanana na hayo na sio marais wa nchi zao.
Lowassa yupi anaye ibomoa CCM? Yule wa Ufisadi na Richmond au yupi huyo? Maana kama kweli angekuwa muadilifu, angehama CCM kabla ya kupigwa panga.
Si ana PhD huyu mheshimiwa?
Mimi labda nifahamishwe tu, what point was he trying to prove, and why. Basi. Nisaidieni kujua hili.
JPM ni chemical engineer. It has nothing to do with wisdom.
Mwambie apige push up moja tu, walah mimi nahamia UKAWA.
Si mlisema mna mchagua Magufuli. Sasa tatizo liko wapi maana tayari kesha waonyesheni Ubora wa kuwa Rais wa Pushapu. Ila hao wenzake wawili wana jua kuongea Kiingereza.